hii video angepewa m2 kama Nisher ingekua kali sana. but director wa hii video ajaitendea haki kabisa kama unaamina Nisher ni mkali wa hizi kaz like hapa
bonge LA ngoma Rosa ree amepita fresh na huyo mshkaji wa verse ya tatu lakini Young lunya angerap kwenye hii beat ingekuwa noma sana achana tu na chorus big up s2kizzy
Kupitia #omg akuna story za weusi so omg kill it on beat Kila track ina hit sana na wapata toka canada🇨🇦 am the big fans wenu #younglunya #cowboy na #kaka mkubwa so inge kuwa vyema cster #rosaree ajiunge in
Video nzuri sana OMG TANZANIA ila idea ambayo nilihisi ingependeza zaidi ingekua Iv Rose lee angetakiwa aonekane na wanae ambao anawaongelea namaanisha kama wale mademu anaokuaga nao kwenye video zake kama up in the air wale wadada flan Iv alafu wanafanya mishe km zile zilizoneshwa kwa video, kwa ndugu zangu OMG TANZANIA mngefanya yenu pia na wanenu. Just comment tu
Alafu kuna mda rose lee anaonekana yuko pale kaunta kashapiga mikwanja dizain kama anawastua wana tucheze dizain me nishamaliza Iv, ila ukimuona yule dada ambae yupo pale kaunta ana hata habari kama ajatekwa Iv pale sijapenda Director ni makosa yako
OMG ni habari ya Tezee kudadadeq nyie jamaa mnajua hadi mnaudhi... Salmin, I used to tell you this since those days kipindi cha "Fly Away"... You what I'm saying??????
Wanangu wa 2013 sokoine moshi mashaka apa siwapingi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
hii video angepewa m2 kama Nisher ingekua kali sana. but director wa hii video ajaitendea haki kabisa
kama unaamina Nisher ni mkali wa hizi kaz like hapa
Grayson Boniface amin blo
T E A M. OMG gonga L I K E apoo
No kufananisha wana
Kama unakubali kazi s2keezy ndio ametisha gonga like
anhaaaaaaaaaaa,rosa ree bhn,,we noma sana sisita angu,,big up omg wanangu,,good music all the way from +255
Dah asee machaliii hapo nimekubali...Wimbo wakulia dawa kabisa na machalii hapa mtaa arf...Yap yap hapo huu mwaka mmeupa creadty ya juu sana
Usiwafananishe wanangu na wanao hii nyimbo inadeserve views nyingi
Greetings from Portugal! Tanzanians friends☺
Naikubali mpaka leo 2024
Hii ngom dem hawez kuskz mara mbili, ukimskilizsh mtt lazma alie au akimbie, big up
bonge LA ngoma Rosa ree amepita fresh na huyo mshkaji wa verse ya tatu lakini Young lunya angerap kwenye hii beat ingekuwa noma sana achana tu na chorus big up s2kizzy
Rosa Ree umekua goddess..... umeingia bahari usoiweza
Rosa ree kwan usiwe demu wangu kamn ila jatutoish vzur mana wote tunachana ila vesi yakwanza umeuw yan nairudi ridia unaweza bhna
Mimi nikiwaelewa Tanzania hope itawaelewa pia!Mnajua.@Hippop Revolution
Kupitia #omg akuna story za weusi so omg kill it on beat Kila track ina hit sana na wapata toka canada🇨🇦 am the big fans wenu #younglunya #cowboy na #kaka mkubwa so inge kuwa vyema cster #rosaree ajiunge in
B2k zero we choko kweli
ipyana msomba kiaje me niwe choko
jaman Rosa ree kawauwa Hawa jamaa good vess
greater respect from indonesia
Tisha Sana tu supporting n sisi
Rosa ree🙌hatar uyo shosti!
Love from india best part is 2.02 🔥🔥me and ma dawg
Sure usiwafananishe wanangu na wanao big up .
Wanangu masela waroho
Wanao maboya kisha wachoyo
Hello Uzbekistan 🇺🇿
2024 anyone else
Meee here
🔥🔥🔥
Ngoma kubwa sana... Unyamwezi kama wote ... Ila video haijatendewa haki...
2025 here we go🎉
Nadhan kun tatiz kidog na video, kuna kitu ina miss and am nat sure what iz it ila haijabalance na audio kwa kias fulan. Da shit iz a bomb tho! 🙌
Wanangu mmko wapi
Video nzuri sana OMG TANZANIA ila idea ambayo nilihisi ingependeza zaidi ingekua Iv
Rose lee angetakiwa aonekane na wanae ambao anawaongelea namaanisha kama wale mademu anaokuaga nao kwenye video zake kama up in the air wale wadada flan Iv alafu wanafanya mishe km zile zilizoneshwa kwa video, kwa ndugu zangu OMG TANZANIA mngefanya yenu pia na wanenu. Just comment tu
Video haijaitendea haki hii ngoma ... audio pini
Nyimbo nzuri sana 2018-2023
Hip hop ni unyama sana
uniggar mwingi😂
Salmin hii ngomaa amefunika kinomaa
Huyo s 2keezy so wa nchi hii
Goma fresh kabisa da Rosa Ree kapiga ka mmarekani vile fresh big up
usiwafananishee wanangu na wanaoo na wanaoo naoo naoo😍😍😍
Young Lunya 🔥🍾 kinyamwezi ile ile 😎
Omg ni hatari jamani kwa hii njoma wametisha
tanzania rap is dope S/o from kenya
Unyamwezi xanaaa 👍👍👍!!!
audio Kali ila video
sio kalisana ila mko motoo
Wanangu na wanao..
Yaa lil aidia big up
Lunya is Quevo huncho, Salmin Swagz is Offset and ConBoi is Takeoff S/O to Rosa Ree The Cardi B the shit is Dope
You are a real one yourself kwa kutambua hii
migos wa tz tishaa Sana wana OMG Tanzania
Beat is hard and they flowing really well to it .. s/o to my Tanzanian brothers and sisters #Nigerian Blood
kazi nzuri sanaaa wote wakali
dope trap track hit EM up big up
Yeah
Kitu Amazing sanaa 🤘🤘👌🔥🔥👌💙💯
salute nigaz...its dope
Kichupa kikalii
wanaguuuuuuu
Damn! Lunya na Conboi mmetishaa Sana'a🙌🔥🔥
Kampun iyosht video eti inaitwa bangi flam embuangalien kwa umakin
Best creativity 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Ngoma kali sana ila video daaah!
bongo migos mnaniangushaga upande wa video tu
Unyamaa xnaaa
Wananguuuu
killer chorus...killer verse from rae plus the last guy
Safi sana
Rosaaa reee de baddest
Nyie mafundi daima noma sana
the baddest
Cone boy you de baddest
nice song
director ameshusha hadhi ya nyimbo by the way hii nyimbo kari sana
s2keezy kaua ....
OMG mmeua ...
Rosa kaua...
video mbovuuuuuuuuui
damn this is really dop , big up from morocco 🇲🇦
Omg blessed wanangu
kazi nzuri natamani tz wangewaelewa
aaah watanzania ni wachache Sana wanaelewaga huu mziki ila ni mziki mtaam Sana
+Andrew Malisa ipo poa sanaa
Suzana John
saaana Hawa jamaa nawaelewa sana kiflow
wanaweza wakilisha Tanzania kimataifa Kamaa ilivyo kwa S Africa Akina Emtee, kul chana na A. k. a
HOW M I COMING CROSS THIS NOW?
LYRICS PLEASE! MAD LIT
Rosa ree😘😘😘
Alafu kuna mda rose lee anaonekana yuko pale kaunta kashapiga mikwanja dizain kama anawastua wana tucheze dizain me nishamaliza Iv, ila ukimuona yule dada ambae yupo pale kaunta ana hata habari kama ajatekwa Iv pale sijapenda Director ni makosa yako
Ngoma kali sana
skkkrrrrrrrr pop pop OMG killing it every tym u pop a track its lit #salute brothers#MIGOOOOO!!!!!!!
Godes of rap na omgwazo ni baraaaa vjana
This is a banger...big up to the minds behind this👏
Grand respect au Rap Africaine 💪
Dope visuals match the song
mnazinguaga video wanangu
Ooh My God!!
OMG ni habari ya Tezee kudadadeq nyie jamaa mnajua hadi mnaudhi... Salmin, I used to tell you this since those days kipindi cha "Fly Away"... You what I'm saying??????
Mmenishinda tabia nyi wanangu
High
Dic song z lit,,,bust up OMG,,lop you since day one ish
iyo chorus maaamaae. lunya co mtu mzuri
flames !!!!!
Another Hit From Hitters 💯
2024 still remember this shit...
OMG..Oi Oi
Big up to underground artist #OMG#RosaRee
Bless up
Wambie ndug ze2 maan kun miji2 mingn inaker xan.
video imepoa sana! waze
Makin
rosa reee ni mashineee
Daaaa wana mnajua
director muongo sana ...nyimbo Kali colour Kali shots mbovu ....OMG
Iko poa
nyimbo kali ila video mmefeli sana watu wangu kwa nn lakin??