SEMINA YA NENO LA MUNGU DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @mwl.jacksonmollel1955
    @mwl.jacksonmollel1955 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina Kifaa kizuri cha Bwana Yesu na Mtumishi mpendwa baba mlezi wa wengi wa kiroho.....! UISHI UISHIUISHI SIKU NYINGI KATIKA DUNIA KWAAJILI YETU NA KWAAJILI YA UFALME WAKE MUNGU....!

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwakasege yuko huko nao wateja wanapanga foleni😂😂😂baba yangu uishi milele much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰

  • @danielpangani3540
    @danielpangani3540 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape maisha marefu hata 10000000 mwakasege na diana mwakasege muhiubiri injili ili tanzania imjue yesu

  • @evecristiano
    @evecristiano 4 ปีที่แล้ว +7

    Day 1 mwl uliongelea wale walioambiwa kuhusu ahad ya Bwana na neno wanalo na bado haijatimia na wamefika mahali wamezira hakika mm ni mja wapo ni miaka 2 ss ama mmja na nusu na neno ninapewa lile lile lakin kila mwala ni aheri ya mwaka uliopita....naishia kukaa kumuuliza Mungu ziko wapo ama iko wap hyo ahadi mpaka imefika mahal kiu ya kusali imekauka nasali kwa kuwa nimeamka asubh nalala jion ila vingine nimeacha. Asante kwa neno na naomba Mungu aniuhuishe anisamehe na anipe kuiongojea ile ahadi kama vile ilivyo katika mistari aliyonipa. May you be blessed man of God and your ministry be enlarged🙇🙇

    • @micahpaul8632
      @micahpaul8632 4 ปีที่แล้ว

      Ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kutii na kunyenyekea mbele za BWANA ili kutulisha chakula Cha kiroho ambacho kinatujenga kiroho na kutupa kiu kuu yakumtafta Mungu.kila saa na kila siku Ubarkiwe sana wewe ni Paulo na mimi ni timotheo wewe ni musa mimi ni yoshua Amina. Na kwa maana hiyo nnachukiwa na baadhi ya watu kwa kuwa nakaa na kuyaskiliza mafundisho yako mara kwa mala wanajifanya wanaelewa wakifikili wanaelewa kumbe hawaelewi nnachokuwa nakipata nnapokuwa najifunza.mafundisho yako.

    • @kloppnnko6664
      @kloppnnko6664 4 ปีที่แล้ว

      kwel nimerud nyuma xn kiroh ili nikisikilixa maubr nasikia 2u kulia jmn

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +16

    Mimi ni mkenya kwa kweli naomba sana Mungu anipe mume Tanzania haswa anayependa huduma ili niwe napatikana hapa mahali kila siku kila saa nina hamu saana kukaa mbele za Bwana 😢

    • @wistonaugustino7606
      @wistonaugustino7606 4 ปีที่แล้ว

      Please text me 0782410222

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว

      @@wistonaugustino7606 how old are you?

    • @wistonaugustino7606
      @wistonaugustino7606 4 ปีที่แล้ว

      @@lynelee5846 25yrs how about you

    • @theodorajohn3039
      @theodorajohn3039 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu anasikia na anatenda ,atakupa kwa jina la yesu ,siku utakuja kutoa ushuhuda

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว

      @@theodorajohn3039 AMEN

  • @keosanga8691
    @keosanga8691 4 ปีที่แล้ว +5

    Amina mwalimu mungu awabaliki na kuwapa nguvu za kufanya kazi yake yeye mwanzilishi na mkamili shaji Sifa na utu kufu ni kwa BWANA

  • @immanuelurio7957
    @immanuelurio7957 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba pamja na mama Mwakasege uwepo wenu kwangu ni baraka tupu

  • @ireneemmanuel3652
    @ireneemmanuel3652 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilipat kuhudhuria moja ya makutano yako live kimara nilifarijika sana siku ile Mungu usiache njia zangu nitapotea mkono wako unishike wakati wote

  • @jasminemussa
    @jasminemussa 4 ปีที่แล้ว +4

    🙏🏾 mungu akubarik mwalimu mwakasege unatubark sana

  • @ndenitoriakimaro6090
    @ndenitoriakimaro6090 4 ปีที่แล้ว +4

    AMEEEN! Ninamjua alieniokoa ni Bwana YESU 🙏🙏🙏

  • @babrakashindye1548
    @babrakashindye1548 4 ปีที่แล้ว +6

    Mama Diana Mwakasege, thanks for this blessings.

  • @safy2225
    @safy2225 3 ปีที่แล้ว

    Ameeen Napokea kwa jina la yesu kristo wanazarethi

  • @athanasfrancis2021
    @athanasfrancis2021 4 ปีที่แล้ว

    Amina nilifanya kama ulivyo fundisha wiki lile nami nilimuona mungu kwa ukubwa ubarikiwe

  • @ireneemmanuel3652
    @ireneemmanuel3652 4 ปีที่แล้ว +1

    This word is for my family i see 2021 Thank you Jesus with this from Mtumishi wa Mungu

  • @luckasmjema5722
    @luckasmjema5722 3 ปีที่แล้ว

    Natamani sana na naamoni mungu ataweka connection kat yangu na madhabahu hii anayoitumikia mwakasege

  • @brendaluvanda3289
    @brendaluvanda3289 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atawategemeza/ atawawezesha hao watu kwakua Mungu ndiye aliyekupa maelekezo hayo na ndie aliyekupa hao watu

  • @joymdemeka4036
    @joymdemeka4036 4 ปีที่แล้ว +9

    "Kuna watu wengi hawana dini lakini wana hofu ya Mungu, na wengine wana dini lakini hawana hofu ya Mungu"🙏🏻

  • @faridasilwani9676
    @faridasilwani9676 4 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU nijaze imani moyoni mwangu

  • @livingfrank5296
    @livingfrank5296 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana na ujumbe kutoka kwa mtumishi wa MUNGU

  • @florajaphet139
    @florajaphet139 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa baba mwl was neno la MUNGU,hakika unanibariki

  • @carlinekahigwa333
    @carlinekahigwa333 3 ปีที่แล้ว +1

    YESU NI BWANA

  • @faridasilwani9676
    @faridasilwani9676 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda yesu wangu

  • @سادهمحمد-ب1ض
    @سادهمحمد-ب1ض 4 ปีที่แล้ว

    Mama Diana MUNGU Akubariki nakupenda mama

  • @ndenitoriakimaro6090
    @ndenitoriakimaro6090 4 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu wakuathimisha Bwana 😭😭😭peke yako wastahili

  • @micahpaul8632
    @micahpaul8632 4 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaaaaaaaaaa!

  • @ireneemmanuel3652
    @ireneemmanuel3652 4 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwema sana nina imani ya kuwa hakuna neno litalosalia juu yaa maandiko yake hakika mtumishi

  • @tuyisengeabiyingoma7838
    @tuyisengeabiyingoma7838 4 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA MWL MUNGU AKUBARIKI WENDELEYE NA KUMUTUKUZA MUNGU NASIYE WENDEYE KUTUOMBEYA JU YA CORNA.

  • @danielpangani3540
    @danielpangani3540 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli unastahili kuabudiwa

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 4 ปีที่แล้ว +4

    Please Prayer Warriors...I cannot do this on my own...please save my family and I in Jesus mighty name, from the "Demonic Spirits" sent to destroy us...
    Exodus 22:18 Any woman using unnatural powers or secret arts is to be put to death.

    • @johnmugisa7545
      @johnmugisa7545 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akutie nguvu mutumishi wa mungu

    • @lovenesswalter6650
      @lovenesswalter6650 4 ปีที่แล้ว +1

      Accept Jesus, Call on his blood only Jesus can save you in that situation... Enter to fast and prayers, read his word more than anything... Fight the battle

    • @lovenesswalter6650
      @lovenesswalter6650 4 ปีที่แล้ว

      You have Jesus do not be afraid follow the rules he is waiting on you

    • @mercykombe
      @mercykombe 4 ปีที่แล้ว

      JESUS is in control..trust him

    • @gracembise906
      @gracembise906 4 ปีที่แล้ว

      Be strong....You have the name of Jesus Christ...blood of Jesus and the holy spirit...
      Remember walio upande wako ni wengi kuliko walio upande wa Adui...Pokea Nguvu yakushinda kwa Jina la Yesu...Mithali 28:1

  • @tumainmsafir2014
    @tumainmsafir2014 3 ปีที่แล้ว

    Mahubiri ya mwakasege

  • @gracembise906
    @gracembise906 4 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu wakuadhimisha BWANA 👏👏👏👏

  • @hanamogiro1001
    @hanamogiro1001 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen nakusikiliza nikiwa Qatar

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 3 ปีที่แล้ว +1

      Niko New Salata uko wapi

    • @hanamogiro1001
      @hanamogiro1001 3 ปีที่แล้ว

      @@lynelee5846 doha

    • @lynelee5846
      @lynelee5846 3 ปีที่แล้ว

      Jina la place coz hata mimi niko Doha Jedid

  • @honorinamashingia7515
    @honorinamashingia7515 4 ปีที่แล้ว +1

    No vema mkarekodi somo.moja kwa moja ndo wengine wanavyofanya. Haya mengine yanaweza ngoja

  • @leonciasalakana7051
    @leonciasalakana7051 4 ปีที่แล้ว

    Ninamjua aliyeniokoa ni BWANA YESU

  • @danielpangani3540
    @danielpangani3540 3 ปีที่แล้ว +1

    naomba unipe amani

  • @pst.raphaelnorbert122
    @pst.raphaelnorbert122 4 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God. Hallelujah hallelujah

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 4 ปีที่แล้ว

    Aminaa barikiwa sana mwalim Christopher mwakasege

  • @haikacallist4155
    @haikacallist4155 4 ปีที่แล้ว +1

    Maombi 1:13:10
    Mahubiri 1:43:17

  • @faridasilwani9676
    @faridasilwani9676 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @coreyjared8813
      @coreyjared8813 3 ปีที่แล้ว

      i guess I'm pretty randomly asking but does anyone know a good place to stream newly released tv shows online ?

    • @chancekellen24
      @chancekellen24 3 ปีที่แล้ว

      @Corey Jared flixportal =)

    • @coreyjared8813
      @coreyjared8813 3 ปีที่แล้ว

      @Chance Kellen Thank you, I signed up and it seems to work :) Appreciate it !

    • @chancekellen24
      @chancekellen24 3 ปีที่แล้ว

      @Corey Jared you are welcome :D

  • @daniuskagaba4727
    @daniuskagaba4727 4 ปีที่แล้ว

    Ooo my God! Ni lini utakuja kunichua. Natamani kuishi na wewe Milele

    • @dominickjoseph7667
      @dominickjoseph7667 4 ปีที่แล้ว +2

      No baby hujamaliza mda wako na kazi uliyopewa na bwana maliza kwanza then atakuchukuwa

  • @furahiamtawa4059
    @furahiamtawa4059 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen, Amen, Amen

    • @deboramassawe5143
      @deboramassawe5143 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana Bwana maana moyo wangu unakuadhimisha wewe Bwana

    • @kloppnnko6664
      @kloppnnko6664 4 ปีที่แล้ว

      amen

  • @francismfinanga2588
    @francismfinanga2588 4 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @lusekelonikumwitikangondo4707
    @lusekelonikumwitikangondo4707 4 ปีที่แล้ว

    Groly to Lord

  • @سادهمحمد-ب1ض
    @سادهمحمد-ب1ض 4 ปีที่แล้ว

    Shalom mtumishi wa MuNGU Mwakasege baba ninashida nataka kuongea na wewe baba nimesevu hii namba +255715511633 haikubali wsp nahitaji msada wako baba

  • @rachelpilos6964
    @rachelpilos6964 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @lizlinder_
    @lizlinder_ 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 4 ปีที่แล้ว

    amen amen

  • @lizlinder_
    @lizlinder_ 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @elizabethkasimila9771
    @elizabethkasimila9771 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @stanleykishiwa9141
    @stanleykishiwa9141 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen.

  • @ezekielshaban1538
    @ezekielshaban1538 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @dominickjoseph7667
    @dominickjoseph7667 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @kennedyolenyo3960
    @kennedyolenyo3960 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @severinashirima6530
    @severinashirima6530 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @rayman111
    @rayman111 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @siaedward2191
    @siaedward2191 ปีที่แล้ว

    Amen