Hivi mudi wewe ndio huyo anayerushwa humo? Kisha naomba ile inaimbwa hivi( eti kasafiri yupo yurop anatwanga na kupeta ktk harakati yakutafuta maisha -mpaka hapo naamin umeshaijua hiyo nyimbo nakumbuka mbali sana kaka nilikuw nimefiw na baba yangu maisha yakaw ya ajabu nipo primary school lakin najitegemea hapo ikanilazimu kila jua linapozama mim nakuwa sokoni nazuga kwa rafiki yetu mmoja yeye anakaang viazi/chips mpaka pale anapofunga ndio tule vilivyo baki hiyo uck wa saa 5,6au saba alafu asubuhi shule we acha tu.
mzee baba tuwekee topaz DUNIA WATU nashangaa sana kusimamishwa mbele ya mahakama na kufunguliwa kesi ya kuvunja na kuiba mieeee
❤🎉❤ilikuaga, poa
Kitambo sana"
Nilikua siikosi Albam ya Atomic
Kilainayotoka lazima niwenayo"
Hongera sana MUDDY
Pamoja sana, ndugu!
Hivi mudi wewe ndio huyo anayerushwa humo? Kisha naomba ile inaimbwa hivi( eti kasafiri yupo yurop anatwanga na kupeta ktk harakati yakutafuta maisha -mpaka hapo naamin umeshaijua hiyo nyimbo nakumbuka mbali sana kaka nilikuw nimefiw na baba yangu maisha yakaw ya ajabu nipo primary school lakin najitegemea hapo ikanilazimu kila jua linapozama mim nakuwa sokoni nazuga kwa rafiki yetu mmoja yeye anakaang viazi/chips mpaka pale anapofunga ndio tule vilivyo baki hiyo uck wa saa 5,6au saba alafu asubuhi shule we acha tu.
Yuham Rwambo kaka huo wimbo ulikua gumzo maana kipindi kile mambo ya watu kusafiri kwenda ulaya au south Africa yalikua yamepamba moto sana
Wanadamu ndivyo walivyo
R. I P Omali
R I p m Mama yangu Helena nakumbuka mbari mbari Sana ( sauti ya utawara ) rip omary omary.
Pole sana, ndugu!
@@TamuzaKale Asante Sana
Pole sana
Anasema 'YENU DUU YA WENZENU MIDOMO JUU'
Nitapataje albam ya acha wachemshe mawe
❤❤
Ana maziwa makubwa utazani kachukuwa tenda kunyonyesha watoto yatima (mudyeb sikiliza kinanda icho)
Asiyeupenda mnanda ataenda motoni
Nakumbuka kipawa primary
Ila kuna nyimbo mbili bado zinaniuma kutozikia nangu mwanda na sungusungu sikulinda
Ha 😂😂😂
Mzee unatutendea wema usio na kifani kwa kutumia muda wako kutufurahisha kwa kutupa kumbukumbu nzuri .....endelea na moyo huyo kaka
pamoja sana kaka
Haina noma
Dah hizi ngoma tulikuwa tunasikiliza kitwa mzima
2021💃💃💃💃
duh! mpaka raha.weka zote za atomic na topaz kiwembe kikali
Hahahahaha
@@TamuzaKale kweli kaka. kuna zile yopo yuropa mzee nanga
Kitambo hicho imetoka hii mikoroshini kila kona inapigwa Tmk
Pa 1
jamaa alikuwa anajuwa sana weka zile za topaz adventure
Poa
💥💥💥💥
Mkuu je unayo ile ya atomic Mzee nanga kafichua siri nyumbani kwangu?
Nafikiri ninayo. Ngoja niitazame!
Ahsante Sana brother
@@TamuzaKale wengine tupo mbali, hii ndio njia pekee ya kuwa karibu na home
@@brownee20007 Nakubaliana na maneno yako, kaka!
Ngoja nichek