ZIYARA YA HABIB SAYYID HUSSEIN BADAWY-MAMBRUI-KENYA PART 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @JustMe-ip9xn
    @JustMe-ip9xn 2 ปีที่แล้ว

    الله أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد يارب العالمين، الفاتحه

  • @salhiakhamis2577
    @salhiakhamis2577 3 ปีที่แล้ว +1

    Sii kwa uwezo wake bali ni kwa uwezo wa allah (sw). ماشاءاللہ

  • @juniorborbo
    @juniorborbo 3 ปีที่แล้ว

    MahaaAllah MashaaAllah ndio Ustadh Masoud nice one

  • @salmawangu2589
    @salmawangu2589 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah tabarakallahu

  • @muhammadsaidi4872
    @muhammadsaidi4872 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH AMLAZE PEMA PENYE WEMA AMIN AMPE JANNATUL FIL FIR DAUSIL AALA YARAB AMIN 🤲😭
    HATUWRZI MSAHAU NI MWALIMU WETU AMETUPA ILMU KUBWA SISI ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA NA ATUKUTANISHE NAE NA WAZAZI WETU NA JAMIAL ISLAM WOTE TUSEMENI AMIN AMIN AMIN YARABAL ALA MIN 🤲😭😭😭

  • @samiralaakif
    @samiralaakif 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah, Allah aklipe kwa kujua umuhimu wa mwalim

  • @عباسعباس-ش9ه4ت
    @عباسعباس-ش9ه4ت 3 ปีที่แล้ว

    Amina yarab mungu amlaze mahar pema peponi

  • @swabirattwas6385
    @swabirattwas6385 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kheri kuu hio mungu amrahamu🤲

  • @النورالمبين-ظ9ص
    @النورالمبين-ظ9ص 3 ปีที่แล้ว

    رحمه الله وغفر له واسكنه فسيح جناته

  • @bakarimtambo8381
    @bakarimtambo8381 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amuweke mahali pema peponi Sharif wetu Hussein badawi

  • @aminaibrahim4148
    @aminaibrahim4148 3 ปีที่แล้ว

    Subhhana Allah

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 5 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLAH ALLAH AMJAZE KHERI

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @ummhaneen1928
    @ummhaneen1928 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah Allah akuhifadhi akupe umri na afya njema Ameen yarraby

  • @almashally8808
    @almashally8808 3 ปีที่แล้ว

    ماشاءاللہ

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu amuweke ampe afya nasi tumone inshaallah

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH AMJAALIEE PEPO YA DARAJA LA KWANZA

  • @amandaantonio5893
    @amandaantonio5893 5 ปีที่แล้ว +1

    Amiin inshallah

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 5 ปีที่แล้ว +1

    Subbuhana Allah

  • @al-nadhirstudio3400
    @al-nadhirstudio3400 3 ปีที่แล้ว

    Allah Amrahamu

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 5 ปีที่แล้ว

    Mashaaall allah akuzidishie afya

  • @muhammad_alhinai
    @muhammad_alhinai 3 ปีที่แล้ว

    Allah yar7am ❤️💔

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 5 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH MMUNGU AMPE KILA LA KHERI MZEE WETU

  • @saidkhamis8103
    @saidkhamis8103 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna baadhi ya maneno hayanaumuhimu kuyasema wazee hawalinganishwi namtu yoyote hata kama sheikh amekufanyia mengi basi wazee wako usiwalinganishe just mpe heshma lkn usitaje wazee nakuwashusha darja

  • @edsonndomba1049
    @edsonndomba1049 3 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha Yetu

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 3 ปีที่แล้ว +1

    Chochote kile ni kadar ya Allah! Siyo huyu wala mtu yeyote

  • @elbusaid5402
    @elbusaid5402 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni simba wa qaswida na qarii na amechukuwa ilmu hio kwa wazee wetu eg babu yng bwana ami hata mm namsaluti sharif Hussein

  • @dullatawakal1492
    @dullatawakal1492 5 ปีที่แล้ว

    Doooooh

    • @abuukaniki2710
      @abuukaniki2710 5 ปีที่แล้ว

      Mwamba heshma kubwa sana umempa Shariff Hussein nasisi tuko nyuma yako tunampa heshma na mungu amuafu inshallah

    • @barikaamoudysawdadanimekup6649
      @barikaamoudysawdadanimekup6649 5 ปีที่แล้ว

      Mashallah kaka uyo

  • @maamunhassan7951
    @maamunhassan7951 5 ปีที่แล้ว +4

    "Lakini yoyote hanitishi,si wazee wangu,ntawafanyia adabu tu....wa kumshinda huyu kwangu hakuna".Hiyo ndio adabu na heshima uliyofundishwa?Hata ukawa maarufu europe nzima ukajulikana,usipopata radhi ya wazee wawili huna faida duniani na Akhera.Mtume asema baada ya Allah na Mtume,ni wazee wawili,tena mama kwa daraja tatu zaidi kisha baba.Sio aliekufundisha mashairi .Fanya heshima na adabu,hakuna zaidi ya wazee wawili.Unaona unaongea maneno mazuri but unajimaliza.Ukikosa radhi ya wazee wawili umekosa radhi ya Allah na ukiwaudhi wazee wawili umemuudhi Allah,huna raha duniani na Akhera.Hapo wazee wawili hawakutishi,umekusudia mama na baba,kiswahili ni lugha yetu.Mwambie huyo mzee hapo akuelimishe vizuri juu ya wazee wawili.Uache kuongea maneno ya kipumbavu.Shame on u!

    • @hanankarama1222
      @hanankarama1222 5 ปีที่แล้ว +1

      Maamun sadaqta very true aona ni sifa. Shame on him. Kama si wazazi wako hao wasokutisha hawakukuza na kukulea ungefika hapo. فلا تقل لهما اف ولا تنهرهما وقل لهما قولا كريما. Hiyo hawanitishi hiyo si uffin? Na je hayo unayoyasema juu ya wazazi wako ni "qawlan Kareeman?"

    • @nurdinmfamau9920
      @nurdinmfamau9920 4 ปีที่แล้ว +3

      Maamun Hassan Usihukum Maneno Haujui Yaliyo ndani yamoyo wake Hicho alichotumia Nikinaya Bimaana Baba yake namama Wanamuheshimu Sharif Hussein Nae Akimuheshim Atakuwa Automatic Ashawaheshim Wazee Wake WALLAH AALAM

    • @mzamilumusa8504
      @mzamilumusa8504 4 ปีที่แล้ว +1

      @@nurdinmfamau9920 wee kiswahili chetu. Jamaa kapita mipaka kwa kutaka aende hewani juu ya kumsifu mwalimu wake. Si vibaya lakini kwa mipaka. Kakeuka mipaka ya kitabia na kiilimu. Ume chota elimu kwenye kisima kimoja basi ndio kime kupwa? La wa hasha . Elimu bahri ya sheikh. Ume toka pwani yetu ukenda Europe. Europe haipo kwenye map yetu ya Elimu. ipo miji ukitajiwa utashangaa . Tembea ya sheikh usikae tu kwenye snow

    • @husseinjoumor7477
      @husseinjoumor7477 3 ปีที่แล้ว

      Af jama anasema kama si yeye iyo ni kufru anatakiwa aseme huyu ndo sababu ya mimi kufika apa