Yuko wapi Magufuli?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2021
- #Kenya #KTNNews #KTNPrime
SUBSCRIBE to our TH-cam channel for more great videos: www.youtube.com/
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
For more great content go to www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
std.co.ke/apps/#android
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live www.ktnnews.com/live
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews
One of the most astute leaders Africa needs. It is our responsibility to guard what is best for us jealously and with prayers. Sankara reborn. With love from Kenya Ndugu rais.
As Add
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
so powerful.
Kweli nimeamini JPM Ni mtu muhimu Sana ndani ya Africa dunia nzima imechachamaa juu ya Magufuri duuu mmmmh Mungu amuinue zaidi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Umeona eeeeh
Amen🙏
Aamiin yarabi
Ni muhimu kabisaaaa
Magufuli munguuuu akulinde
Naipenda 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nampenda MAGUFURI rais wangu,
Pia watanzania huwa mwafwatizia taarifa za KTN... kiukwel mnaipenda Kenya 👉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni magufuli ama ni magufuri hai
Kwa kweli Mungu azidi kuimarisha afya ya mpendwa wetu JOHN magufuli amina
Wachen unafiki wajinga nyie
@@dennismacdenniton5943 tunafatilizia kwa sababu inafatilizia Mpendwa wetu Mh Rais JPM Mwamba Wa Africa Wachen Umbea.
Speed recovery John pombe magufuli Tanzania people need you
Kwani anaumwa?
He's not sick tho
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Waandishi wa habari, it seems you're gloating over the issue. Shame on you!
Rais sio wenu aumwe asiumwe inawahusu Nini? Au mnamutamani Niniiii!! Sisi tumekaa kimya mbona mwavaliya shera harusi isiyo wahusu
We magufuli wa Nini? Kwako huli?mwekiti wako mtaani humuulizi namna hiyo?wabongo fanyeni kazi acheni majungu haya ukishamuona unataka kumwambia Nini?
@@cezarmelimeli5376 labda wanataka kumuomba pesa ya kula
Sometimes, silence is the best answer, people are busy creating trolls online about this while someone was fighting for his life.Rest in Peace 🙏🏽 Mr President.
Rest in peace My President
@@nickymore4251 ,
you probably dont care at all but does anybody know a tool to log back into an instagram account..?
I was stupid forgot the password. I would love any tricks you can give me!
@Avi Connor instablaster ;)
@Benedict Samir Thanks for your reply. I got to the site on google and im in the hacking process atm.
Seems to take a while so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
He needs to watch his food, drinks, and everyone around him. This man has made great decisions for Our people and now (they) are trying EVERYTHING to take him down... we just need to keep our eyes open 👀
Absolutely true. Our prayers for his safety!
Watch this response to these rumors and please like and subscribe to my Channel: www.youtube.com/watch?v=0DKGUzGuG
Everything is good in Tanzania
Thank you.
You saw this spritually Good job
Poleni ndugu zetu watanzania kwa kifo cha rais wenu JPM.
Asante ila imetuuma
Mungu amuondolee haya Kama ni kweli.
tumsfubwana
tumusf
Kumbe nimeelew maguful
ni simba wa afrika watu wanapenda speach yake😁😁😁
JPM ni kiongozi Bora barani Africa,Kama kweli msemayo MUNGU atamponya mtoto wake
Na akipona aeshimu korona awache kudanganya wananchi na maombi ambayo hayakubaliwa Kwa mungu.#vaa barakowa kubali chanjo epuka msongamano wa watu.corona ipo
@@isareje8579 chanjo chomwa wewe na familia yako ,covid 19 is not a problem ,problem is a fear of Corona , believe God and you'll be ok
@@isareje8579 Tuchomwe kwani Tunautapia mlo , kama nyie ???
Akili huna k ww
@@madamloveness7274 those who believe in ggod and prayers are sick and they are being injected privately covid19 dose.and still you don learn it.
Nyinyi inawahusuu nn kengeeee nyieeee 😃
kelele Kafa mzee RIP
Unfortunately it not first time you wished death to magufuri....you can look up to your libraries
Yes a good lier is he with good memories
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Why should his missing be your business Kenyans you need to mind your own businesses kimbelebele too much
✔️ ✔️ ✔️
@@diamondplatinumz2043 hey broo I love you so much baby boy
Ans plz I want 2 join wasafi
@@agricolammasy8019 🤣hakuna Cha kujoin wasafi hapa,ishu Ni kwamba try to mind yo business you kenyans, forget about our President
Had huruma wakenya mnavyoteseka nakuizushia uongo Tanzania yangu,,🤣🤣🤣🤣
Hapo sasa. Si ndugu zao wa pande zile za Tanzania ndio wanawalisha chuki na umbea🤮🤮
@@Amani715 Hata wao pia sio watu wazuri wanashirikiana saana lakini mungu ndio atafanya kazi yake
Wanafki utawajua tu
Kwa hiyo Nairobi ndo Rais wetu aje kutibiwa
@@ghatibiganio3551 Adabu hawana tatizo nyota zao za. punda hawajiamini kabisa
Simple minds discuss people, complex minds discuss issues, dear KENYAN think about that!!!! Acheni umbea bana
Exactly
Hiyo corona iliyoenea Tanzania umeileta ww acheni kuzusha msiyoyathibitisha nyie
Cruct we have a
Amini kwamba ✊
amefariki sasa amefarik rais wetu mpendwa
Pambaneni na yali yenu, tz ni tz na mambo yatu, huko kwenu wasiookekana ni wangapi! Mbona hamjasema kuwa hawaonekani. Mlikuwa mnaonekana wa maana sana lakini kwa hili mko zero, umbea kama wote!
Kenyans mind yah own bznss cc hatuwaaabudu wazungu km nyie😂😂😂
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Pole Kenya walijua mapema kua something was wrong but tanzania you kept silent
Raisi,Samoa,Leo
Pilipili ya shamba yawawashia nini nyie +254? Mind your own business!
Ako kwetu ndo sababu 🤣🤣🤣
Wana hila sana wakenya ila ndo limeshawabana
Sasa mnasema ako majuu ama ako wapi
@@waynecarlos5804 kwenu nidodoma au kwenu Kenya Amekuja naungo au???
Wa nauliza coz Uhuru Kenyatta is the president of Africa. So lazima ajue watoto wake wako wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤗🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Why, why, why discuss about another country's president? Nani ameichagua Kenya kuwa kilanja wa East Africa! Raisi wa Burundi alikula ni lunch jana? Every negative news about Tanzania, the source is Kenya, jirani vipi? It makes me question whether we are wasting time with this second East Africa Community thing. The first community Kenya pulled a KEN-EXIT at the cost of the other member state! I wonder what the self appointed kilanja is about to pull out his TIRIKiSI bag? Last week was Tanzania maize, intentions to devalue the product, then buy it and sell it as a Kenyan product! Janja yake paka!
Finally someone speaking facts ...they are just mad jealous neighbours
Sio Kenya ina discuss JPM ni vyombo vya habari na vingine owners ni wageni wakutoka ulaya. Sisi hap Kenya tunapenda uongozi wa JPM wakuteteta wanyonge. Kumbuka JPM sio sasa Rais wa TZ pekee bali Jembe la Africa.
@@hamsinisitini6613 hongera brother for seeing this and i do agree with you let love spread around us cause we are more common in alot than in our difference
@@khamismohamedjr5666 👍👍👍
Hawa neibas need to be disowned. Chuki ndio imejaa. Yani Magu kweli ati huyooo anaenda Nairobi🤣🤣🤣🤣🤣...the thought of it makes me puke 🤮
Might be he is in honeymoon or on personal business.
😂😂😂😂honeymoon!?
Hes in life support plus honey moon
@@greatiq7835 ,he is in hospital and said to be in stable condition.
@@kipkiruikoech2069 ok.
JPM is doing kwaresma. Mmesahau magufuri ni muumini mkubwa wa ukiristo? Yupo ikiisha kwaresma mtamuona. JPM ni mtu wa Mungu.
WaKenya tunampenda Raisi Mheshimiwa Magafuli na Ndugu zetu wa Jamhuri ya Muugano ya Tanzania. Waandishi wa Habari ni haki zao kutangaza lakini maoni yao isi Wakenya wote.
ume ongea la maana jaribu kuwa elimisha wakenya wenzako juu ya uzalendo wa nchi na africa kiujumla tusiwe tuna fuata kila kitu cha wazungu...
Get well very soon dad ,we love you so much
acha kingereza zungumza lugha ya mama Msenge wewe
Kama ni mgonjwa mungu amupe afueni ya haraka.
Jamani namuomba Mwenyezimungu kama anaumwa amponye haraka mimi sio mtz au mkenya lakini Magufuli tunamtegemea Africa
@@ashuraabdulmaalik5319 ww mjinga unamtegemea kwani nimuungu yy au nabii acha usenge ww anakupann chakujivunia afya pumzi uzima rizki nguvu uhai usingizi ugonjwa ujasiri au nn tuwambie unoacha kumtegemea alokuumba anaekufanya ufike hapoulipo unamtegemea kiumbe mwenzio kenge mmoja ww
Amen
Mungu mmpe shufaa apone harak kama nikweli tuna mtegemea sana
And how is that Kenyans business? Please give us Kenyan news please.... If he is not feeling well he is human and we wish him well. But KTN stop gossip news give us our Kenyan News. This is war you are starting.
Kenya is a free country freedom of expression is guaranteed in the constitution.
@@pinchesmbuche4354 Good to know you know that but since when was Tanzania's president and news in Kenyan constitution?
@@carolinekasiemeka9848 it doesn't matter even American president we have a right to know what's happening. As long he might be in our territory.
Kenyans your playing dirty alot against tanzania. Mind your business for real..
People who have brainwashed. They think they are the best by being puppets of the muzungus, by playing the games of muzungus, by being told you are the best by the muzungus and still have very unfriendly life. People are stuffing, people are dying by hunger, children are not going to school,life is expensive,and the government is corrupt. Still they love the improvisor...the muzungu and hate the brother just in neighborhood. What kind of evil have entered in you?
Magufuri hawezi kuja Kenya hata siku moja,kwani Kenya kuna nn?.
Mpango wa kando yake
alafu Tanzania mko na matusi sana bt wajanja hatuwezi kuwatusi
Hana mpango wa kando yeye ni mtu mwenye kumuamini Mungu na kumhofia Mungu.
Kenya kuna mambulula tu😏😏😏
Kenya leave us alone ur not good neighbours +KTV Sort ur coronavirus infection. Mnafigisu nyingi bure.Watanzania tupo vizuri Jealousy is another Corona.Poleni
Chuki ya Nini??😂😂😂
WHo lazima wakasilike coz Biashara Yao Ya corona Na chanjo yakijanja. Imegonga Kwa mkemia Dr. Magufuri
Mungu atamsaidia Rais Magufuli. Shetani Ashindwe!
@@autographics2023 si UANZE na WAZAZI wako ? Au huwapendi?
@@minskbelarus7255 🤣🤣🤣
@@autographics2023 Wakwanza nimamaako shetwani mnuka damu pepo mchafu Ushindwe naulegee kinuka mkundu ww
Inashangaza shirika la utangazaji la ktn news mnarudia rudia kuitangaza habari ya kizushi inaonekana wakenya mnatangaziwa habari nyingi tu za uwongo na awa ktn news.
Mumeahajua Alipo !!!
Mmepata ninii sasa
💉💉💉💉💉😭😭😭
Wakenya mnataka Magufuli afe coz kawazidi mbinu, ogopeni Mungu nyie
Hakika ""kaa kimya ujue maadui zako"".
Mungu tuongoze njia watanzania na mlinde rais wetu JPM
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Ninachoona Rais wetu mpendwa Magufuri ni kiongozi wa mfano inawezekana anaongozwa viongozi wengi kwa kumuiga ndyo maana wanapenda awekazini kila wakati waweze copp na pester kwao Sasa kaakimya wamekosa la kuiga
Makufuri ata akiumwa kwel lkn uyu mwanamme wakweml hatokubari kuja uko kwa mashoga
Kwa taharifa yako yuko huku,ametukashif ila kajileta,mwanadamu usiongee kumaliza hujui kesho yako.
@@mustafarashid2484 unao ushahid au ndio mitandao
@@SalmaSalma-nb2cv Wakenya wanadharaulisha wenyewe, yaani habari ya serikali wanatoa kwa tetesi kama usajili wa mpira au udaku, aisee kweli hawa jamaa bado wapo na shida za kiakili.
don't try to diss magufuli.. kenyan what's problem on you.
Kabisa
KENYA MMETOA IDADI MPAKA SASA MNAWAGONJWA WANGAPI
254 mind your own business. He is our president of Tanzania and not your
Uwaambie maana wanahangaika sana kama vile Mhe JPM walimchangua wao. Fuateni mambo yenu. Raisi wetu ni wetu hawahusu!!!!
Wanateseka, lini cc tulijadili fujo za kwao huko? Mara ugaidi Mara kuchinjana wenyewe,,,,iko hiviiiii Iacheni Tanzania yetu💪Taifa teule duniani
Ni wivu 2!!!
Habari za tanzania zinawahusu nn?
Mbona hamtangazi habari za kenyatta au nyie ni malaika!
Usifanye nikacheka😂😂😂😂
Tangu lini wakenya wakawajali watanzania,nyie ktn makuchu hasa na hata iweje raisi wa Tanzania hawezi kwenda kutibiwa Kenya
Uliza ma bwenyenye ea WA Tanzania wewe huwezi afford.
@@pinchesmbuche4354 ushasema ma bwenyenye, hao ndio wanaokimbia nchi ni puppets wa western but real tz hawezi kuja
@@noahvan6890 so magufuli isn't a real tz?
@@kassimmwamambeya4489 we umemuona uko kenya au ni uvumi tu kama huna uhakika na jambo kaa kimya tz. Hospital zipo na akiumwa anaeza enda india not kenya poor couñtry
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Ati be your brother's keeper, isee how People cares for Mr pombe, may your soul rest in peace 😭😭
Alifia Kenya ,apumzike Salam tutakumiss sana🇰🇪
Real?
@@jescajulius8023 a
Unafirwa wewe!
how sure you are? and who are you by the way? angetaka kwenda nje ya nchi angeenda India, au hata South Africa ila sio kenya. punguza kiki.
Innalillah waina ilahi rajeeon. Go well son of the soil, son of Africa, Africa is proud of you.. We may not come from the same country, but we shared your vision. A great Leader you were, a proud African. I am not Tanzanian, but your love for the Africa continent spread all over Africa. You gave us," the young politician ", the reason to join politics. Your Leadership style, touched a lot African people. You believed in your people, you decided to die in your own country, your own Hospital and in the eyes of your own people. May GOD receive you well and forgive your short comings. RIP John. We will forever remember you.
correct 100%
Inawahusu?? Ni nchi Yenu hi??
BBI imewashinda??
This is none of your business , Mind your business....
Haya tushajua baba yetu alipo sasaiv💔...Amepumzka basi msiseme tena jmn, Mwenyezi Mungu ndo anapanga kila kitu kimpendezacho🙏🏽...Ulale mahali pema peponi Our Father....The whole country love you UKWELI KABISA😭😭💔
🙏
Yani hawa waandishi wa habari kenya wote ni Baba levo 😂😂. Corona imeenea Tanzania ipi mbona mi nipo huko Tanzania na sijaiona
🐵😂😜😹🎭🤡🐶
Hawa wanachuki kumbe habari ya kuwatwanga Bei kwenye mahindi iliwaumiza sana
Korona ipo we ongea sbb haujaumwa
Corona ipo ndio sa kwanini wasiseme mimi ninayo na hawajaniona siku nyingi mpaka wamzushie rais wetu 😂😂🏃@@markojohn6771
hhh
Kitu cha thamani cku zote hutafutwa sana!
Ama kweli Magufuli unapendwa hadi majirani zetu Wakenya wanakutafuta!
@@changamwe Hata wwe pia utakufa huta ishi milele
@@changamwe Msenge niwwe na wenzako wakenya
Pole sana kwa wa ndugu wetu wa tanzanian
Kwaiyo mmekosa habar za kufatilia hadi mumtafute yeye,? Ni binadamu gani ambae haumwi ? Au mmekosa habar za kuandika.
Yaani.hata mimi inanishangaza. Ni binadamu gani asiyeumwa. Jee mtu akimwa tu nikorona especial hawana uthibitisho. Mimi hawa wakenya siwaelewi naona wamepoteza akili zao na hiyo corona imewawehusha na njaa pia.
Kabisa Yani wajinga sn
Ivi ukishajua Aliko anakusaidia nn
@@hudumayamnarawamaombitanza7004 Mzee Wetu Naona Ameshakua Adui wa Mabeberu !! Kwaio Wanataka wajue kila hatua anayopiga ili wajue wanadili nae vipi
Wah aki watu wanamatusi kweli jamani munguctusaidia tu juu sote ni binadamu
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Emmanuel too....my best friend.....poleni Tanzania......
Wakenya naweza sema tu ni wapuuzi wakubwa.
Na Tundu wao wa Lissu.
Kkkk
Twashukuru😂🇰🇪
Hivi nyie KTN mbona umbea umewajaa, midomo kama kunguru. CHUKI za nini? MAGUFULI mnamtafuta wa nini? Kwani nyie hamna RAIS wenu? PUMBAVU
punguzeni pressure
Ishengoma M. Tumia lugha nzuri ndugu yangu, wanahabari ndo walivyo!! Waache waseme watakavyo;je hujui hata Yesu kristo aliambiwa na wazushi kuwa anatoa pepo kwa msaada wa mkuu wa mapepo (Beelzebub) hao hao waandishi!!
Mbona mnajadili sana JPM 🇹🇿 kioo chetu waTanzania wa kwenu vipi mjadilini rais wenu sio wa kwetu,🇹🇿🇹🇿
Just like BBC Swahili full of evil...
hafadhali KTN wameleta izo news tukajua uchungu wa watanzania kenya 😂😂😂😂
Hivi rais wa Kenya anaitwa Nani??
Maana wanatufatilia Sana sisi hatumjui hata raisi wao
Wenyewe porojo polojo tu
Magufuli magufuli
Mind your own business
Rais w Kenya anaitwa tindurisu
We umbwa shillingi moja ya Kenya ni shillingi 30 za Tanzania Ivo uchumi wenu hautawahi fikia wa Kenya wewe mbwa
Msitufatilie Sana kuku nyie
@@kbboytv6815 Nani alikuambia tunawafwatilia uku Kenya sio kama Tanzania hamna Uhuru wa kushare information mnaogopa kufungwa Ivo wacha tunawasaidia
@@enockwanyonyi8052 Evidence
innallilah wainailaih rajiun Allah ampokee kwa wema ktk maisha yake mapya. ❤️😭😭😭😭
Kenya can never compete with Tanzania respect Og please
did my eyes see right 😀
@@mkenyammoja1 hipes yes may you dint hear well
@@princebuganzilut2047is that english you have written? since when can someone hear what has been written 🤣🤣
Kama unaumwa raisi wetu Mungu akuponye akutie nguv wanaokuombea mabaya ya kukute Mungu awasamee tu🙏🙏
amefariki raisi wetu dah
@@Emedroadtocanada dah,cna nguvu Leo,mwili wangu umelegea cwez kula
Muda uwa ni jibu pia.Tupendane wote sisi na uzao wa Ibrahimu.Tuombeane mema hakuna mwamba hapa duniani woteeee tuko safarini.
Eeee Mungu mponye Baba yetu Wa Taifaa popote alipo nenda Mponye popote alipo
Magufur haumw ww
Stop saying at alifia kenya na maneno ya uchochezi tunachokiamini sisi Watanzania ni kile kinacholipotiwa na serikali yetu na sio hizo rumors zenu
Huyu ndio President of Africa najua kua yupo katika ali ngum sana ishaallh mungu ampe nguvu huko alipo.😭😭
2:46 Juzi tu umemwona raisi magufuli akizungumza halafu leo una uliza yuko wapi,au juzi maana yake si siku 3 zilizopita
hehehe
Wapi? Rais sijamwona mm majuma mawili ss
😂😂😂😂😂😂
@@chosen1. Hata Kagame wanasema kuwa amekufa, hivyo hatushangai fake news!
Si mtu ajitokeze kumaliza hiyo story.
Our President is healthy, happy, and sound. Stop those nonsense please!
I am not speculating much about his well being, but asking for people to pray away the virus is alarming, illogical and inane from him.
Now come tell us how the drama unfolded... it's now unmasked...
Nyinyii rais wenu ameonekana lini kwa mara ya mwisho?
Leo
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Wacha matusi pia
@@jedidahmiren3839 Sawa mzalendo wa tz
Mimi mkenya nilikuwa na jibu tz who were asking the last time we saw our president
Mpaka sasa hivi nime-proof adui wa WATANZANIA ni WAKENYA
so for TANZANIANS be carefully with KENYANS because they enjoy when see TANZANIA drop down
Dotto hata mimi leo nimeamini wakenya ni maadui wakubwa wa Tanzania
Exactly
Na ikitokea kweli yuko Kenya anatibiwa mtasema nini
True
@@aliyahkhamis7472 wangp wanatibiw and u people mnakuwa kmya, buh for the issue ya Mr president ndo imekuw km mtu wa kwnza kutibiwa kenya
My prayer and many God loving people from Kenya is that the president of Tanzania receive divine healing..we pray that God strengthens the family ..Our God is the healer..keep strong despite negative comments...
May the grace of God be sufficient in a season like this..
Naskia ametuacha ni kweli.. Hbu ingia 🕊️🕊️
Amen
Isaya7:7,Zab118:17.Tunakupenda sana sanaaa raisiwetu.Tunakuombea.Mungu hajawahi kushindwa.
' i
Nahasira sana tena mnafki ni mchawi namba moja hao mlowahifadhi ndo mshuhulike nao tuliyoko huku mtuache kabisa
Ivi rais wenu Kenyatta yuko wapi?
Anakamat mvinyo safi wa whiskey-
Kenyatta Raisi mlevi mbwa Africa ( useless)
Yuko ikulu
Kajifungia anavuta bange uko
@@wilfredmlaki822 😁😁na wewe ndio mwenye mbwa
Kenyans kindly mind your own business msijihusishe na nchi yetu TZ
unafanya nini in Kenyan media? Toooka hapa kumbafu hha
Yaani hamtaki tumsaidie?
Mm pia nashangaa,
@@njerierickaranja6150 umsaidie nini nyie jisaidieni wenyewe Kwanzaa
@@gwakisamwakabulutu4247 usiwahi onekana Kenyan media tena na hizo 'manyie zako'
Our preaident has hold a purpose from God, hawezi kuguswa na mkono wa shetan kivyovyote vile, wazungumzaji watch out! Mnatakiwa kuwa upande wa Mungu na si vinginevyo
Hehehe achana na kizungu please
@@margaretwambui7609 ulisikia wapi?
Poleni sana Tanzania
Mungu ampenye na pena. Kiongozi wangu naninakuhitaji sana Tanzania mungu akupinanie popote uripo uwesalama amina
Naona wakenya mmefurahi sas
There is a culture of speculation and hearsay in East Africa, where conspiracy theories usually dominate the airwaves rather than people relying on urban legends.
Yani you are very right and sad thing is, even very knowledgeable people are caught into this and look like fools🤦🏽♀️🤦🏽♀️
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Allah amponye Rais Wetu 🙏
Amin ni Dada yako kutoka Kenya
@@aliyahkhamis7472 Khasante ndugu 🙏
I just don't know why Kenyans are obsessed with the Tanzanian president ..
Naga Romy, they are obsessed because theirs is a Drunkard.
😢😭🇹🇿 The Nation is crying 😭 hakika tutakukumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya #Godgiveusstrength💪🏼to carry on Hakika mwanga 💡 wa milele ukuangazie 🙏🏼
We still have not understood nothing is coincidental in African politics...Wake up!
KTN before anything to report think on the health of East Africa community.
Sheria za wapi hizi? 🤔
Nakupenda adi naumwa magu mungu akupe maisha malefu we ndy baba letu
Masikin
Magufuri yuko na mama yko chumbani
Mungu amjaarie kheri ya afya rais wetu mpendwa Magufuri.
Acha Chuki we MSENGE malaya,Hii Dunia tuliingia na tutatoka.Unaongea sana kana kwamba Tanzania wewe ndio uliijenga.Walopigania nchi yenu wakati wa ukoloni washafariki Imewasaidia na nini? KUMBUKA SOTE NI WEUSI NA TUNAPUMUA HEWA THE SAME. CHUKI HAISAIDII.
Even in Rwanda, we are looking for Kagame, we do not know where he is 😆
😆..me too am looking for myself because i don't know where i am😄
😂😂😂
@@stellahkerubonyangaresi103 hahahaaaaa
@@stellahkerubonyangaresi103 😂
😂😂😂😂😂😂😂
Poleni sana wandugu zetu wa tanzaniya
Sasa mlitangaza Sana yupo wapi Kuna chochte mlicho kipata😭😭😭😭😭 msipendee kufatilia yasio wahusu mwisho wake mmlicreate fkra nyng kwa watz inaumaaa Sana hasa kuona Kuna Hawa waliokuwa wakmtangza instead ya kumuombeaa
Poleni Wana Tanzania Kwa kumpoteza Rai's wenu ambaye alikuwa mtulivu sana
Poleni kwa watanzania wote waliokuwa wanampenda na kumkubali mbele yako baba Wa wanyonge Magufuli nyuma yetu
Pole pole sana wana Tanzania kumpotesa shujaa mwenye imani, mujapakasi tuu pila kuogopa.
Eeeeh m/mungu nakuomba muepushe na ma balaa. Rais Wang Jonh pombe magufuli yote yanayo ongelewa yasimkute nakuomba sana Mwenyezi mungu 🤲mjaze afya tele tele wa Tanzania tunampenda inshallah
😭😭😭
😢😢
Paix à son âme que le paradis soit son demeure insha Allah
Wishing john alcohol padlock speedy recovery but this guy should respect God and obey commands
exactly
Kuna Raisi mwenye kumuanini Mungu kama yeye ? Jinga wewe have you forgotten kwamba nyie hata kanisani mnahesabiwa kuingia.... Kule TZ wanaingia wooooote na zaidi
Makanisa mliyafunga...tena mkawahi kufungua bar na clubs...sasa nyie mko na Mungu Yupi..
Wewe ni SHEMEJI yetu tu. Tulelee....
Your a baby tena a virgin up stairs
Command from who
Mzungu pole your still a slave up stairs you need independence fight for mind freedom plz
jaman wasanii wa Tanzania saivi msitoe ngoma maana hii habar iko on trending na haitotoka jaman😅😅
Mungu amupokeye sana sisi yoteninjiya moja
Mind your business
mbna kuuguwa kwa magufuli imekuwa kelo sana kwenu kwan yeye ndo nan haugui nae c nivinadam ama ata mnyama unauguwa sembuse yeye bna achen ushamba
Hahahaha jamani hadi Kenya mnatufuatilia hahaha...mwacheni raisi wetu in peace...he is our rock
May his soul rest in peace
Kwani magufuli anawahusu
we siuende uwatch TBC wacha kutusumbua hapa
@@jacobrotich317 Anamihusu nanini ?????
Wacheni umbea hatutaki kujua sisi
Kenya hatufuchi kitu
@@pinchesmbuche4354 hivyo hamfichi hata visivyowahusu?
@@pinchesmbuche4354 hata zile millioni za korona ambazo zimepotea si mmezipata😂
@@kajolo1288 ndion zinstsbu maghufuli Nairobi na opposition leader wake .
@@pinchesmbuche4354 kanye kule fyuuu
Rest In Peace President Of Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Tangu taarifa za rais wangu Magufuri kusambaa mitandaoni kuwa ni mgonjwa ninahisi kbx nimeathirika ktk mapigo yangu ya moyo na sipo sawa kbx.Sina furaha kila kukicha ila kila ck namuombea kwa Mungu wa mbinguni amjarie afya njema rais wangu na yanayonenwa naomba uwe ni uzushi tu.
Nature has its way of payback,
The answer is different from the question
That's your wishfull thinking...the president of africa is all well.. Almighty Jah takes care of him
Hakuna hamjielewi Baba yetu mzima wa afya na tunamuombea
Acha ijinga
KTN ni wanafiki sana