Mwanamke unapo kuwa na stress kila wakat unawaza tu mtoto utapata lin hakika kupata ni ngumu ila ukipotezea ukijua mungu atafanya bas siku usiyo dhan utajikuta umebeba mimba
Upo sawa Janeth Huyu dada ck atapo relax mind set yake Kwa Stress inasababisha mvurugiko mkubwa wa maisha ya ndani ya Mwanamke, Ajitahidi ku relax,atakaa sawa Psychologically na ata enjoy show,atajikuta tu Mungu amejibu!
Diva bila miwani unaonekana so BEAUTIFUL. PLEASE CAN YOU BE AS YOUR NOW. Probably you can use glass or Sun glass out of your work. You look very ROMANTIC 😍👍😘😘.
Sio kwa nia mbaya naomba kuuliza nilishawahi kusikia kuwa msanii ama mtangazaji Ben kinyaiya anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja je ni kweli samahani lakini
Duh!! Just watching and listening to this guy is entertainment enough....so good looking and speaks so well! Yaani wewe na Diva mnawezana 😊 😍
Diva, macho yako mazuri sana. Achana na miwani ya kila wakati, hayakupendezi
Yes macho ya watoto wa kitanga
Wa tatu mweee nipeni likes
Diva nakupenda sana mwenyezi Mungu akutangulie kwenye kazi yako.
manshaallah diva mzuri nimefurahi leo nimeona macho yako kumbe usipovaa miwani yumrembo haswa
Diva uyu Kaka mbona anamvuto ivyo jamani😋😋yani nimekufa Mara mbiliimbili jamani
Napenda jinsi anaongea
Atakua very romantic huyu
😘
Tunakupenda sana Mungu awabariki sana
Napenda mngekuwa wote kipindi hichi mmependeza sana
BEN NJOO WASAFIMEDIA PLEASE 🙏🏻
Mwanamke unapo kuwa na stress kila wakat unawaza tu mtoto utapata lin hakika kupata ni ngumu ila ukipotezea ukijua mungu atafanya bas siku usiyo dhan utajikuta umebeba mimba
Wewe mamy wewe unafikir ni kazi ndogo kutokuwaza acha tu binafsi siwezi kupotezea hata kila nikijitahidi kutokuwaza
@@fatmaharoun1534 unapo potezea Mungu anakufanyia ila stress zinasababisha mtu kukosa mtoto tafuta saikolojist
@@janembalinga7074 nitafanya hivyo maana duuh
@@fatmaharoun1534 polee pia
Upo sawa Janeth
Huyu dada ck atapo relax mind set yake
Kwa Stress inasababisha mvurugiko mkubwa wa maisha ya ndani ya Mwanamke,
Ajitahidi ku relax,atakaa sawa Psychologically na ata enjoy show,atajikuta tu Mungu amejibu!
Mashaallah umependeza dadangu😘
Diva na Ben mnapendezea mngetangaza hicho kipindi Kwa pamoja aisee
Huyu mkaka bdo handsome mashallah
Wa kitambo Enzi hiyo itv afro ngoma na maimatha wa jese
Saivi diva umekuwa mzuri mwanzo ukiwa upande wapili ulikuwa umezeeka
leo mgeni umepata kazi ipo
Diva anamhoji Diva
😁😁😁😁
Male divas to female diva
Aki uyu kaka anapozi kanishnda tabia ,,,ka mbna ivi jaman😁😁😁😁
😃😃😃
Diva bila miwani unaonekana so BEAUTIFUL. PLEASE CAN YOU BE AS YOUR NOW. Probably you can use glass or Sun glass out of your work. You look very ROMANTIC 😍👍😘😘.
I think so too
Léo diva huja vaa miwani umependeza
Diva leo umependeza sana
Dah mwana ana mapoz kushinda hata demu wangu
😁😁😁😁😁 mi nimebaki na mdicuss cz poz zimetuzid
duuh 😀😀😀
Ben kama msenge mmoja hivi na hilo heren chini ya mdomo 😅😅😅😅
Diva mekapuuu nzuri lakn mbn Ayo macho mnavoangaliana 😤
Wapenda unyunyu tupo wengi Aisee
Jmn sio kwakujilegeza huko huyo ben khaaaaa nina was was nae
Ben aje wcb tutafurahi sana.
Kicheko cha Diva..kizurii
Good morning
Masha Allah kaka yuko sawa
Ben I love you
Huyu kaka mjeur kwenye huba
BABA LEVO
Uwe unaongeza saut kidogo bas
Jamani kaomba maji ya kunywa muda mrefu sana 😄
Kwani Ben ana uzee gani?
Ukiwa huna miwani unapendeza...kuliko ukivaa
Kumbe jud anacheka
Mzuri bt roho mbya kwa huba
Sasa we diva ukinong'ona hvyo atakuskia nan
Jude nilikutana nae korogwe ten eleven bado kijana kabisa🙌
Muongelee ili upate kazi
🤣😅😅😅ume iskia hiyo, kwa hio ukimuongelea nafasi unayo
Yani huyo ben kama shoga🤔🤔,,
Ben ww
Sio kwa nia mbaya naomba kuuliza nilishawahi kusikia kuwa msanii ama mtangazaji Ben kinyaiya anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja je ni kweli samahani lakini
Jali maisha yako
Dudu baya uko wapi uje ukoment huku 😂😂😂😂
Dj❣️
Jude kama jude.kama nakuona vile
😆😂😂😂😂
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO
BABA LEVO