🅻🅸🆅🅴 : WANAOPINGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WAIBUA MAPYA/WAHOJI UKIMYA WA WANANCHI 'KESI YAO'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    WANAOPINGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WAIBUA HOJA NZITO KWA WANAHABARI/ WAHOJI UKIMYA WA WANANCHI KWENYE 'KESI YAO'
    VIDEO:
    Wananchi watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dkt. Ananilea Nkya waliopeleka maombi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kufungua kesi ya kupinga Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo, Jumamosi Septemba 07.2024 wamekutana na wanahabari ambapo pamoja na mambo mengine kwa pamoja wamejadiliana nafasi ya ushiriki wa wanahabari/vyombo vya habari na wananchi kwa ujumla kwenye shauri hilo linalotarajiwa kutolewa maamuzi Septemba 09.2024
    ..........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 25

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 9 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee wetu Kaiza,Mama Nkya na ndugu Bob Wangwe, napenda kuwatia moyo kwamba msivunjike moyo Wananchi na Watanzania wengi tuko pamoja tunafuatilia kesi hii kwa karibu sana,pia tunawaombea ulinzi wa Mungu uwe juu yenu nyote.
    Hakikisha mmeonyesha uthubutu wenu na Watanganyika/Watanzania tunawaunga mkono katika shauri hili na tunaomba Mungu asimame na wenye HAKI tushinde kesi hii, haki ishinde Dhuluma! TAMISEMI isisimamie uchaguzi wa Serikali za mitaa!

    • @davidbenjamin1541
      @davidbenjamin1541 8 วันที่ผ่านมา

      Najua mahakama itatenda haki ushindi itakuwa kwa wananchi.. Ninavhojua mazoea Yana mwisho.

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 9 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee upo sawa sana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 วันที่ผ่านมา +2

    MAY OUR ALMIGHTY GOD PROTECT YOU ALL PEOPLE OF GOD

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 9 วันที่ผ่านมา +3

    Dada nkya waandishi wa habari waliowengi ni machawa wanaganga njaa na wengine wanavizia uteule watanzania wengine bado ni simba na yanga ikitamgazwa mechi ya simba na yanga wanafuatilia sana lakini mambo ya nchi hawana habari nayo du mungu awasamehe sana

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 9 วันที่ผ่านมา +3

    Main Stream Media zote zimedhibitiwa na Serikali hawawezi kuripoti habari za kuwafungua Macho Watanzania kujua haki zao.

  • @nicolausjanda714
    @nicolausjanda714 9 วันที่ผ่านมา +4

    Waandishi wa habari mnatunyima haki zetu watanzania

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mura wa mara Mungu akubariki

  • @DavidMtoi
    @DavidMtoi 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mama nkia. Bob chacha wangwe. Pamoja na bro kaiz wa tz tuko pamoja nanyi ktk shauri hili!

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mrs ANANILEA TUMEKUELEWA VIZURI SANA....GOD BLESS YOU MAMAA

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 8 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tupo nyuma yenu na wala msikate tamaa.Mungu awabariki sana na azidi kuwatia nguvu.Tatizo kuiamini TAMISEMI ni ngumu kwa sababu chaguzi zote zilizopita inasemekana hao hao TAMISEMI wamejigeuza wakala wa kuiba kura na kuendekeza ushetani wao.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 วันที่ผ่านมา +2

    ASANTENI RAIA WATATU KWA KUTUWAKILISHA SISI WANANCHI WA TANZANIA

  • @bedamassawe8107
    @bedamassawe8107 8 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba na mimi Beda Massawe niwepo

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hio Nchi imekiwa kama North Korea

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mpo sawa watanzania tuhamkeni

  • @JuliusMugyabuso
    @JuliusMugyabuso 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa inaonekana Tume ya Uchaguzi ni mtumishi wa serikali ya tamisemi,yaani waziri wa tamisemi ndiye anaamurisha Tume ifan ye nini badala ya Tume kumsimamia tamisemi ifanye nini Ili tupate Uchaguzi wa haki

    • @StevenTambi
      @StevenTambi 8 วันที่ผ่านมา +1

      Waziri wa Tamisemi ni mkwe wa Samia, kwa misingi hiyo atakuwa katumwa na mkwewe afanye huo unyang'au kwenye uchaguzi.

  • @antipasmkude3789
    @antipasmkude3789 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi sitaki Tamisrmi isimamie uchaguzi. Sauti yangu itasika vipi.

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona main stream hatuzioni

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 8 วันที่ผ่านมา

    KESI ZA WIZI WA KUKU HAZIKUSAIDII KUPAMBANA NA KESI ZA KIMATAIFA

  • @ernestlalu2067
    @ernestlalu2067 8 วันที่ผ่านมา

    Ni mkate tu wenye fangasi

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 8 วันที่ผ่านมา

    RAIYA WATAJAA IKITOKEA SIMBA NA YANGA KUCHEZA HAPO MAHAKAMANI

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 8 วันที่ผ่านมา

    Watanzania elimu yetu ya darasa la Saba inatutesa sana. Hatujuwi wala hatuelewi haki zetu. Serikali inajuwa udhahifu wetu. Ndiyo maana viongozi wetu wanatuburula bila sheria za haki za binadamu.

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee upo sawa sana