Wa kwetu. Mbona uzuri wako umefifia. Make up uliyofanya haikupende. Baki natural unakuwa mzuri zaidi. Nakuambia ukweli. Jistiri usikae mapaja wazi. Nakujua lakini wewe hunijui. Central line loves U wakwetu.
Mama Samia ni Mama mwenye upendo, mstaarab, mtaratubu, na ni mwema. Ni shupavu na shujaa. Mengine ni Changamoto za uongozi. Ni kawaida. Tumwombee na kuiobea nchi yetu amani.
Uyu dada iko very smart sana very nice interview
Your so beautiful ma sister God bless 🌹🌹
Huyu binti so special kanaongeya mupaka narizika😏❤️🇨🇩
Kaongea Facts kwl.
Simujui uyu dada kapiza
Wa kwetu. Mbona uzuri wako umefifia. Make up uliyofanya haikupende. Baki natural unakuwa mzuri zaidi. Nakuambia ukweli. Jistiri usikae mapaja wazi.
Nakujua lakini wewe hunijui. Central line loves U wakwetu.
She is smart
Simjui huyu dada but she knows what she wants in life
We muzuri but iyi make up uliyo iweka ahikutowi vizuri kabisa😂
Mama Samia ni Mama mwenye upendo, mstaarab, mtaratubu, na ni mwema. Ni shupavu na shujaa. Mengine ni Changamoto za uongozi. Ni kawaida. Tumwombee na kuiobea nchi yetu amani.
Fay 2
Gonga like fasta hapa
🎉🎉
Gonga like hapa😅😅😅
Namtu akikupeleka dubai anakukamia mkomee
Dada mrembo
Huyu jamaa anavumilia vipi na hayo mapaja yako wazi
😂😂
Umepaka mapoda usoni umekuwa kama paka usoni unajialibu tu ngozi
Make up Kama kinyago wallah 😂😂😂
Af Kuna mtu atasema hajawai kuona jini live
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂🤔🤔😂😂
Hahaahhaahah jmn
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 jaman
Muongo uyo kasoma chuo gani 😁😁😁😁
Fahyma ni mrembo zaidi yako 😂
Hajakuuliza
kwanini umevaa hiyo kama kunakufa
Kufa na kuvaa nguo kunahusianaje? Acha ushamba
nilikua nakuelimisha usivae nguo hiyo kama kweli unahofu namungu wako
@@zaituniallyjuma8845Sasa kwann haupo nyumba za ibada upo mtandaoni haumuogopi mungu?
WATU WENGINE MUNAOWAHOJI WASEME KWANZA WANACHOFANYA MJINI,,,HATUWAJUI..
😂😂😂😂😂😂
Humjui pekeako
@@MwelelaSafila aya 😃
Umeanza kutumia leo mitandao nini😂
@@hidayakisensi2747 USILAZIMISHE SASA,MI SIMJUI 😃,UKIMJUA WEW TU INATOSHA SANA