Please watanzania tum support huyu dada talent yake ni kubwa sana. Hana label kama ya Zuchu inayo m push. Huu wimbo ungefika atleast one million views by NOW kwa nini watanzania tuko hivi au sababu haja scandal zozote za kiki!!! Anaimba anacheza anaongea very good English VERY TALENTED!
Daaaah wee Phina no disappointed umeuwaaa video iko 🔥 dance iko 🔥 location iko 🔥 short and clear everything is good to me umeuwaa unyama ni mwingi saana love you sister akeee ❤️🔥
Phina ma role model 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Achaneni na mambo u team tuongelee gud misic na nani anafanya vema kwenye tasnia yetu music for me ule upande wa pili niachani ila for phina still she did well.. kuanzia jina rangu hadi uzuri wa sura she is gud one for sure🙌🙌🙌
#Phina hii nyimbo ingekuwa niyatukio furan au enjoyment flan ingekuwa noma sana sasa hiyo nyimbo yako inabagua mtu hawez kuiweka kwenye sherehe wala sehem ya tafrija yoyote sasa hiyo nyimbo itapigwa kwa watu baadhi mandani kwao. @Phina jitahid kuandika idea kali ambazo popote zinaweza kupigwa na ukaendelea ku spread title ya Fan base na jina lako kwa ujumla.
God bless you all for supporting me🥰🥰
Kisses phina❤❤
Much love from London 🇬🇧
love you Soo much mum
Star❤
Wow that's emotional for you
❤❤❤❤❤❤❤❤❤chukuwa mauwa yako 🌿🥀🥀🌲🌲🌾💐
Wangapi wanasema tuingie trending 😊Phina to world
Nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara kumi🙌🙌🙌my fr song 🖐️umeuwaaa phina🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tanzania 🇹🇿 Daima
Hongera da Phina hakika una kipaji,wimbo mzuri, 🔥🔥🔥
Umetisha sana mtoto wetu rangi yake kajaluo kabila letu iyo mungu akuzidishie amani
Congrtulation phina
Please watanzania tum support huyu dada talent yake ni kubwa sana. Hana label kama ya Zuchu inayo m push. Huu wimbo ungefika atleast one million views by NOW kwa nini watanzania tuko hivi au sababu haja scandal zozote za kiki!!! Anaimba anacheza anaongea very good English VERY TALENTED!
Watanzania hupenda kiki na nyimbo za kitoto
Wow wow wow phina congrats 👏 umemtoa Diamond platinum kwenye number #1 trending in tanzania now your trending #2 Kenya, Burundi #1 Nigeria #3 wow ❤
Atimaye tumempata m'badala wa Vanesa Mdee asante Mungu 🙏 kwa zawadi ii ya Phina.
Hakika
❤❤❤ phina unajua afu unajua Tena mama❤️
Nakupenda sana dada phina wangap wanaompenda phina kama ninavyompenda mm weka like hapo
Unifikii, Mimi wewe
aaah kumamake phina we konyo mamake uwiiii umeuwa umeuwa umeuwa tena😊😊🔥🔥
Kutoka kwa fb tiktok had TH-cam much love ❤️ from kenya 🇰🇪 good job phina team gulf like ata 5 zinatosha❤❤❤
yu are talented by producing sweet song
Wa kwanza like zangu uyu mchumb yupo firee❤❤❤
Congratulations sister ❤❤❤❤
Honestly speaking I like the way phina sings she's so amazing
Nakupenda yot❤️❤️ ww mwanamke hapa umeua na umeua tena
Sometimes unaeza jipata imefall in love with these Tz girls juu ya kiswahili chao kizuri ajabu❤
Good song ulikuwa wapi mda mrefu kuimbia tulioachwaaaa❤❤😂😂
Daaa Ila huu Wimbo Umeloga Dada🙌🫡🤣🤣
You are very talented to our sister and also God gave you a beautiful face as well as the voice to bring the snake out of the cave
Iyo ngoma iko🔥🔥🇰🇪🇰🇪 kama unakubali ipe likes
On behalf of Tanzanians tunakushuru kwa support yako kwa dada yetu .
This finds me wakati nimeachwa😢😢
Good job my sister mungu akusaidiy ufikish malengo ❤❤❤❤
THE LUO IN ME BROUGHT ME HERE... ATI NINI KA JALUO 🥰🥰🥰🥰🥰
Daaaah wee Phina no disappointed umeuwaaa video iko 🔥 dance iko 🔥 location iko 🔥 short and clear everything is good to me umeuwaa unyama ni mwingi saana love you sister akeee ❤️🔥
Aiiiiii phinaaaaaaaa
Naombeni like zangu kwa dada phina @ Dosalale ❤❤
Asante ngoma Kali sana hyo dada
Utafika mbali Sana, unakumbuka Hadi kuchukua supporters, see u at the top presenting our country and music
Tanzanian🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 princess a blend of beauty and dedication
Nimeachwa🔥🔥🔥 oho nimepigwa kibuti❤❤
the voice, the moves, the vibe.... everything is just sooo amazing.❤
l love the song ❤❤❤❤❤❤❤❤ iko top notch aiseeee😋😋😋
Phina never disappoint 🔥🙌 malkia
wow lots of love from Kenya
Hongera sana kpnz yan hii ngoma haichoshi kusikiliza hata mara elfu moja nakazi ya kuirudia rudia tuuu❤❤❤❤
Same to meh...yn nairudia several timz
Phina ma role model 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Kenya loves Tanzanian music ❤
Sure we will show love to them ❤❤
Najiunga
Kenyans as long as ngoma ni tamu,we are innnnn😍😍😍💪
Nampendaaaa sna huyu Dada maaan naona cop kabisaaa ya Vanessa mdeeee bado tunayoooo Tanzania iloveee phinaaaa ❤❤❤
Tanzania music, sending love from Zambia, home of the Copper Queens ✌️😍
Uyu 🇰🇪 tunamtambua kama zuchu tu so ako sawa. Kutoka kitambo tuamjua ngoma zake ni kali kama alikiba kila akitoa ni hit song.❤❤❤
Beautiful! I Love it. You're the next Tanzania STAR girl! She sings much better as you can hear/understand what she is saying.
True❤❤❤
Sure
0:43 ❤😂
Achaneni na mambo u team tuongelee gud misic na nani anafanya vema kwenye tasnia yetu music for me ule upande wa pili niachani ila for phina still she did well.. kuanzia jina rangu hadi uzuri wa sura she is gud one for sure🙌🙌🙌
We love ad cherish you mom for the good job!! ❤️❤️💋💋
Much love 254 🫶🫶🇰🇪🇰🇪
It's you again Mah girl q🔥🔥🔥🔥my fvrt all the tym
Wow! Keeping Tanzanian music burning. Phina you're fiiiiiree 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sijawahi kuuchoka huu wimbo umetisha phina
Walioawahi kuacha demu kisa kunyimwa mzigo tujuane hapa 😁😁😁
This song deserved to have 2M views within a week ...good job phina
Ooh Phina, you’re loved ❤
That jaluo bit hits deeep 😘
Phinah mama ❤❤ blessed hiii ndo mziikiii tamu san anakuwa mama😅😅😅😅😅
Phina My favorite,,,much love from Kenya ❤️🇰🇪
Mi mwenyewe nishaachaga demu alinipa kimoja nikawanataka tena akaninyima nikaachananae
In Uganda, we love your music. Beautiful song
We dada nakupenda mnooo ❤
PHINA I guess everybody needs this song for future use when giving testimonies ❤❤❤
What does it mean? Am from Zambia and I don't understand the language but love it. Help me with meaning please...
Gaddemmit 🔥❤️😂💯👍 phina melody on check beuty ❤,,, nice one
TUKIACHA TUMEACHA .😅
TUNAPENDEZA
TUNA ENJOY
TUNA KUNYWA
Amarula na Red wine😊
@phinah mamaaa😊😊blessed huu ndo mzikiiii
This dude is so dope,diamond and harmo call really fit in this collabo,trust me
Nasema tena huyu atafanya nihamie bongo sasa😅😅
Much love from 🇰🇪
😂😂😂😂
Such a lovely singer. Nafeel vibe yako walahi💥👏🙌🔥🇰🇪
More love to this song 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉imeweza san kabisa😊😊😊😊😊😊
GOD BLESS YOU KENYANS❤❤❤❤ 54LIKES ARE ENOUGH
I thought mi ni the first kenyan😂🙈🙈
Loving the support
Unataka kufanyia Nini likes 😅
@@elizabethmasitsa6537😂😂relax banah
🤣🤣🤣 maybe zinalipa bills Sina information 🤣
I luv ma melanin queen ....kazi Yako nzuri wakenya tunakupenda ....much luv frm Kenya ❤
Mais Força 💪 aí 🔥🔥🔥 from to Mozambique 🇲🇿🇲🇿 Phina 🥳🇹🇿🇹🇿❤
Hyu dada yupo vzr sana
Phina you killed it🔥🔥
Nakupenda sna siz I hpe one day 2tatoa nyimbo na ww ❤you
Sending love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
#Phina hii nyimbo ingekuwa niyatukio furan au enjoyment flan ingekuwa noma sana sasa hiyo nyimbo yako inabagua mtu hawez kuiweka kwenye sherehe wala sehem ya tafrija yoyote sasa hiyo nyimbo itapigwa kwa watu baadhi mandani kwao.
@Phina jitahid kuandika idea kali ambazo popote zinaweza kupigwa na ukaendelea ku spread title ya Fan base na jina lako kwa ujumla.
Wangapi bado wanaskiza huu wimbo 2024🎉🎉🎉
☝
❤
Do salale!!nimeicheza multiple times without realizing,Issa great hit Phina.
So beautiful song. Absolutely amazing voice. Love from Kolkata.India.
Bless u❤
Unafanana na tiwa savage wa Nigeria mnaendana sana
My Crush On Phina Never Fades❤
Bado hujasema paka useme
Sou fã dessa voz feminina . Parabéns Phina
hivi kweli sisi wakenya hatuwezi fanya ngoma kali kama hizi kweli..anyway ngoma kali zipo Tz buanaaaaaa
I swear phina is going places 🔥🔥
Watu wa Burundi🇧🇮🇧🇮tunakutambuw san wallah so hit song 🔥🔥
She's so hardworking 🎉🎉🎉🎉
Nikimuona uyu dada namkumbuka vanesa jamani daah ongera sana unajitahidi sana na utafika mbali phina
Phina you never disappoint
Daaah wimbo mzr hate ❤❤❤
Sweet music 🎵🎵🎶
Huu wimbo me nimependa sana hasa ila punguza kuiga swagger za V-Money ❤❤❤
Your song in playing in Sierra Leone 🇸🇱 ❤ we don't know the lyrics 😅😅but we dance to the vibe 🎶
My favourite song for this year 💕
Nakupend sana salaphina
Ugandans where are you that appreciate this incredible voice
Doooooh.....!phina umetukosha shauri moyo nzima huku....kazi ngumu jua kali lakini walau ngoma yako inatupa vibe huku....#Ronjo#chuzi la pweza#haji chimbonda#wapiga winga...
After Watching Kili paul Reels ❤❤
❤❤❤❤
#254 NAOMBA LIKES PLEASE
Dhhhha nimechelewa kukujua ila sema kweli phina unaimba sana mpenzi ❤❤❤