longue vie à toi icha allahou yaroibi 🤲🤲🤲toi et sa famille le nachedet très magnifique 🫶🫶🫶que le jours de qiya tu restes toi et sa famille tou près de mouhamad rassoulilahi
Mashallahou longue vie à toi inch'Allahou tu es la meilleure quel Dieu te donne la force et la santé et longue vie inch'Allahou yaroibi que Dieu t'a réservera au paradis djanati firdaousi 🤲🤲🤲
Mashaallah ukhty nakuelewa mno Allah akutunze
👍👌wooow hakika Ukhty Dida unasisimua kiwiliwili changu,kwa ustadi wako kwenye hii nasheed,Mungu akujaazi☝️🤲👌
Ukisikia kaswida sasa ndio hizi sio hizo taalabu alafu eti mnatuambia ni kaswida shukrani sana kipenzi changu ukhty dida mungu akupe Kila la kheri
Masha Allah ❤❤❤❤🎉🎉
Mashaallah dyda nyimbo tamu walai
Mashaallah ukhty dida mungu azidi kukupigania ufike mbali zaidi inshallah kheri
Nakupenda Sana uhti dida Allah akufanyie we pesi kwenye kazi zako
Duh diyda mungu akuzidishie ❤ kipez.chqngu
longue vie à toi icha allahou yaroibi 🤲🤲🤲toi et sa famille le nachedet très magnifique 🫶🫶🫶que le jours de qiya tu restes toi et sa famille tou près de mouhamad rassoulilahi
MashaAllah Khairan yaa habibity ❤️❤️ Safari ya miraji ilikuwa nzito kwa nabiaa 🙏🙏🤲
Kitu kitamuu hatarii Mashallah jemedari wanguu
machallah ukhty Didah mungu akuzidichiye 🤲🤲
Shukran dadaa kwa kazi ya kuzihifadh hizi qaswida zisipotee
Mashallah da dyda...mungu kaumba mama kazaa hasad zikae mbalii n wew kipnz chet
Ma nsha Allah kipenz chezea ww hakuna kipenz ukhty Dydah pambeeee 🥰🥰🥰🥰
Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa qaswida pambee imetulia to🥰🥰🥰👌
Mashaallah napenda sana kuckiliza qaswida zako nzuri sana zinafundisha allah akufanyie wepesi kwenye qaswida zako na akupe umri mrefu
Mashaallah hongera jemedari wetu
Kumbe qaswida zipo huku . Alaaaa!!!!
Jemedari wa mabanati Tanzania, Legendary heshima kwako 👏👏👏
Mashallah Allah kakupa kipaji
Mashallah unavo imba wanifariji kikweli
Dada mashaallah ubalikiwe
Mashallah..bibi kam bibi....hongera sana kipendh chet
Kaswida ina mazingatio makubwa ilaa nimependa kuanzia mwanzo hadi mwisho ulivyo malizia Allaah akuhifadhi huna baya ukhty didah
Asante sana kwa kaswida mzuli sasa
mashaalah nami nahitaji kuimba kama ww dada
Nakubali
Mashaallah, Shukran Ukhty Dida, Love you So much 🌹💕❤️😘😘
Aaaiii mashaallah ndio mana nakuku bali sn didah walai
Nimefikà kipenzi.. Ma Sha Allah.. love u Soo much dyda.. ❤️💖❤️💞💜
Mashallah qaswida nzuri❤❤
Mashallah!!! nimejua jina langu
Mashallahou longue vie à toi inch'Allahou tu es la meilleure quel Dieu te donne la force et la santé et longue vie inch'Allahou yaroibi que Dieu t'a réservera au paradis djanati firdaousi 🤲🤲🤲
Assalam aleikum nakuhitaji uje kuimba Kwa harusi yangu kenya
Mashallah diyda
Hujuwi kuharibu ma shall ah kipenzi
Iam here for you my kipenzi😍🥰🥰 Queen of qaswida zanzibar❤
Mashaallah
Very nice 👌🤗🤗🤗
Allah barq ukhti 💋 😘
Siishiwi hamu kwakuisikiliza ongera my
Mashaallah super 🥰🥰
Mashallah kipenzi
Jazaakil-laahu khayraa!!
Dida Ile Qaswida yako ya Lengo Lakuletwa Duniani mbona hatuiyoni TH-cam na sehem nyingine
MashaAllah MashaAllah MashaAllah 😍❤💙💕💖♥😍❤💙💕💖♥😍❤
Maashaallah kipenzi
Nina penda sana kaswida hi hataniiludie mala Mia ciichoki kabisa andante sana dida
💙💕💗
Huchokiii kuskiliza kwakweliii
Masha Allah habbty love you 🥰🥰💞💞💞❤❤
❤
Mashaallah ❤❤🥺
Mashallah
Mashaallah
Mashallah ❤️❤️
Mashaallah kaswida ♥️
Amazing
♥️❤️🥰🥰♥️
Shukran
Mashaallah dyda nyimbo tamu walai
Mashaallah vizuri Sana dada dida tunakukubali mashaallah tena
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah