MAFUTA YA NAZI KUTUMIKA KUFUBAZA MAGONJWA SUGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
  • Mratibu wa usambazaji Teknolojia kituo cha Mikocheni, Kituo kinachofanya Utafiti wa Minazi kitaifa, Bi. Vidah Mahava amesema kupitia maonesho haya mkulima na wadau wengine wa Kilimo na Biashara wanapata fursa ya kujifunza teknolojia nyingi kutoka vituo mbalimbali kwa muda mfupi.

ความคิดเห็น •