Golden Star Modern Taarab - Mpenzi Njoo Haraka (New Taarab Music 2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Golden Star Modern Taarab - Mpenzi Njoo Haraka (New Taarab Music 2018)
    The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

ความคิดเห็น • 72

  • @ashrathswaibu3990
    @ashrathswaibu3990 4 ปีที่แล้ว +13

    Mama yangu alizipenda hizi nyimbo wallah nasikiliza hadi nalia, Allah amlaze mahali pema peponi mama yangu

    • @authmanful
      @authmanful ปีที่แล้ว

      Amiin amiin amiin

    • @FatumaNoor-lt5yj
      @FatumaNoor-lt5yj 9 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ata mm mama alizipenda sana adi saii namkumbuka ina vo imba

  • @ramadhantoma454
    @ramadhantoma454 2 ปีที่แล้ว +2

    Old is Gold nyimbo za Marehemu mamamngu Alhamdulilahi

  • @HamadiSudy-w2g
    @HamadiSudy-w2g 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakumbuka mkewe na kaka angu alikua anazipenda sana hizi taarab

  • @rajabuathumani5794
    @rajabuathumani5794 3 ปีที่แล้ว +2

    Daa...inanikumbusha zamani Sana enzi hizo Tanga ni Tanga kweli kila kona ni taarabu tupu

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah inanikumbusha mbali 🤲❤

  • @mulokozimwijage7507
    @mulokozimwijage7507 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimeutafuta. sana huu wimbo aisee kama 2yrs ago Asante sana kuturudishia radha za taarabu.

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda long sana na mpka sasa ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RashidaMbasha
    @RashidaMbasha 2 หลายเดือนก่อน

    baba na mama walipenda hiz nyimbo,,

  • @sophiekolosh2453
    @sophiekolosh2453 5 ปีที่แล้ว +7

    Nalia na wangu moyo jamani.... 👌

  • @gwajimagwajima
    @gwajimagwajima หลายเดือนก่อน

    Hii siyo njoo Kwa haraka NI sikudhani

  • @wahidatimimi3179
    @wahidatimimi3179 8 หลายเดือนก่อน +1

    So many memories tym has passed.

  • @khadijaomar767
    @khadijaomar767 3 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu ndio ulionichongea wala sifanyi machungu tazidi kuvumilia naamini Mola wangu Rabbi atanilipia

  • @seifumahambe891
    @seifumahambe891 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka Tanga barabara 21 kilanikirudi mama ndiyo nyimbo zake na mimi ananipa kalamu nihirudishe nyenngine nyuma

  • @fahadhilal1611
    @fahadhilal1611 2 ปีที่แล้ว +1

    Maskini nalia na wangu moyo…rest in peace my beloved father😢💔💔💔💔💔

  • @kulwabulahya9018
    @kulwabulahya9018 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana aisee napenda Sana taarabu asilia

  • @salimukiandiko6564
    @salimukiandiko6564 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulikuwa ushazaliwa

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huu wimbo nimeutafuta sana

  • @hanifajuma342
    @hanifajuma342 5 ปีที่แล้ว +4

    huu wimbo nimeutafuta siku nyingi, nikiskiza 1998.

  • @peterchidychidy4876
    @peterchidychidy4876 2 ปีที่แล้ว +1

    Danlodi

  • @bonnykyenze6793
    @bonnykyenze6793 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiizi taarab hunipa raha sana nikiona mama akîzifurahia sana ata akiwa amekasirika nkimuwekea yuasahau samikitiko kabisaaah aah kweli palipo na wakubwa hapaaribiki jambo katu

  • @clarisgambo7960
    @clarisgambo7960 5 ปีที่แล้ว +6

    Old is gold

  • @theenglishfamily1922
    @theenglishfamily1922 5 ปีที่แล้ว +7

    Nini kumbuka wakati dada akiliza izi nyimbo 1992 siku ya Eid nini kuwa na myaka 12 nava Eid wallah ilikuwaraha sana iyo wakati burundi

  • @msokemsoke3782
    @msokemsoke3782 5 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo hizi hazipotezi ubora kabisa

  • @OmarySaidi-k7q
    @OmarySaidi-k7q 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi ndoo vitu vya kuskiliza

  • @theenglishfamily1922
    @theenglishfamily1922 5 ปีที่แล้ว +9

    Dada Alikuwa anapenda kusikiliza izo nyimbo za uyu mama wakati akiwa na mumewe / alafu nyumba manukatu mazuri na yeye alikuwa mwanamke msafi akivaa kanga mbili jioni na kunukiliya mafuta uzuri hadi raha / ❤️

  • @sizyametals7608
    @sizyametals7608 10 หลายเดือนก่อน

    Kama si leo kesho kiama

  • @saidmohamed8605
    @saidmohamed8605 5 ปีที่แล้ว +4

    ajaaaab masikini nalia na wangu moyo mwanahela weee

  • @salimmwabarare4343
    @salimmwabarare4343 ปีที่แล้ว +1

    Golden star

  • @jamiladuba8626
    @jamiladuba8626 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @minahmikey6547
    @minahmikey6547 5 ปีที่แล้ว +5

    yan nyimb hazipotez ubora

  • @salimukiandiko6564
    @salimukiandiko6564 10 หลายเดือนก่อน

    Hamjambo

  • @Qatar-vh5ff
    @Qatar-vh5ff 4 ปีที่แล้ว +1

    Naamini mola wangu atanilipia tu. Asante

  • @ayshasalim6461
    @ayshasalim6461 4 ปีที่แล้ว +3

    Massage nzuri inaumiza nimelia kwa uchungu na uzuri wa shairi 2019

  • @saidali-hx4bk
    @saidali-hx4bk ปีที่แล้ว

    Napnda Mirindimo

  • @halimamchapo1128
    @halimamchapo1128 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh inanikumbusha mbali sana

  • @saumujumaa9674
    @saumujumaa9674 4 ปีที่แล้ว +1

    maskini nalia na wangu moyo naupenda san huu wimbo nimependa kwadhati

  • @switnush5885
    @switnush5885 5 ปีที่แล้ว +6

    Natamani Dadangu angepata fursa kama hii ya kuziskia hizi taarab alizo zipenda sana zamani. Ila katuacha 2016. Special dedication to my Swit late Sister @ Asina Ali. #Nalia na wangu Moyo😢❤💖❤

  • @habibajuma9233
    @habibajuma9233 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli unatamani warudi ujana kwa utulivu wao

  • @amisashmohamed8760
    @amisashmohamed8760 5 ปีที่แล้ว +2

    Huishi hamu kusikiza hii nyimbo.u want to listen more n more n more

  • @aminamohamed7002
    @aminamohamed7002 4 ปีที่แล้ว +1

    Nalia na moyo

  • @kamkamandallaz7793
    @kamkamandallaz7793 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sanaa

  • @latifasalum1166
    @latifasalum1166 4 ปีที่แล้ว +1

    Sikudhani😭😭

  • @FatumaNoor-lt5yj
    @FatumaNoor-lt5yj 9 หลายเดือนก่อน

  • @saidali-hx4bk
    @saidali-hx4bk ปีที่แล้ว +1

    Masikini nalia na wangu Moyo......

  • @khanjilanato948
    @khanjilanato948 4 ปีที่แล้ว

    Nalia na moyo mwenzenu

  • @bwantanfumo4283
    @bwantanfumo4283 5 ปีที่แล้ว +1

    Old is pure

  • @mahbubabdul9469
    @mahbubabdul9469 4 ปีที่แล้ว

    Mwisho Laaaaahaula

  • @ayshaysh3326
    @ayshaysh3326 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah. Acha tu zamani raha sana

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante aliye tuwekea

  • @latifahsalum3479
    @latifahsalum3479 6 ปีที่แล้ว +2

    asante

  • @naseemjeddah8042
    @naseemjeddah8042 5 ปีที่แล้ว +1

    Sikudhani Santhaaa

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @raadgabbelege5104
    @raadgabbelege5104 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mi nna shida Sana na nyimbo Natanga na njia na Watingisha kibiriti ya khadija kopa naombeni Sana ndugu zangu nimezitafuta Sana. 0717 360 535 whatsapp number

  • @sizyametals7608
    @sizyametals7608 10 หลายเดือนก่อน

    Inakumbusha 1996 ndani tawfiq bus

  • @maryamsaid6289
    @maryamsaid6289 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @ayshasalim6461
    @ayshasalim6461 4 ปีที่แล้ว

    Hadi raha wallah wenzangu na mm moo wapi

  • @switnush5885
    @switnush5885 5 ปีที่แล้ว

    Barida... Jamani Raha. 💖💖💖💖💖

  • @zeddynatty9338
    @zeddynatty9338 5 ปีที่แล้ว +1

    Wacha wwee old iz gold,,

  • @peterchidychidy4876
    @peterchidychidy4876 2 ปีที่แล้ว +1

    Danlodi