ความคิดเห็น •

  • @elvinabahati327
    @elvinabahati327 7 ปีที่แล้ว +1

    bi mswafari you are always positive ..kweli kizazi hiki tunakosa mawaidha jameni..!!asante bibi

  • @hamishemed9179
    @hamishemed9179 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni kwa kipindi kizuri sana asante madhee asanteni masster asante redio citizeni mimi nipo DSM wife yupo Kilimanjaro lakini tunaaminiana sana na tunapendana mno na tunajiheshimu zaidi wote kila mmoja Bali tunakutana kila baada ya week asanteni jameni.

  • @mumbayeashata993
    @mumbayeashata993 7 ปีที่แล้ว +4

    ah kwa sisi tulio abroad ni ngumu kuamini bhana coz hawezi Safiri maratatu kwa mwaka duh hio nuksi kichizi, hio ya kisumu na msa freshi tu

  • @lupakisyomsese8210
    @lupakisyomsese8210 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama hayo maisha ni hatari sana hekima busara na kumuogopa mungu angalau inasaidia.lkn mke na mume kuishi mikoa tofauti ni kuharbu familia ukichunguza hata watoto wanakosa malezi ya pande zote watoto wanaishia tabia mbaya. Tunatumia muda mwingi kutafuta pesa tukiwa mbali na familia zetu tunasahau kuwa msingi was familia sio pesa,Tunamuachia house girl majukumu ya malezi wakati yeye mwenyewe ni mtoto,au hajimudu kujiongoza.

  • @stellaghettuno7599
    @stellaghettuno7599 8 ปีที่แล้ว +1

    thanks so much mum For uar advice

  • @kengabenderamasha7433
    @kengabenderamasha7433 7 ปีที่แล้ว +1

    Nice advice,thankyou

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 4 ปีที่แล้ว

    Aĺlah atuzidishie subira jaman uaminifu

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +1

    ushauri mzuri sanaa

  • @fariothetiler9928
    @fariothetiler9928 3 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri San

  • @tbetatbeta5934
    @tbetatbeta5934 8 ปีที่แล้ว +2

    pongezi;ushauri tosha

  • @iragibarume721
    @iragibarume721 6 ปีที่แล้ว

    Wow asante sana ushauri mnzurisana

  • @stellaghettuno7599
    @stellaghettuno7599 8 ปีที่แล้ว

    thanks for your advice

  • @hylineongori6756
    @hylineongori6756 8 ปีที่แล้ว +4

    mum umenena uarabuni watu wanajieshimu sana

  • @siasabora
    @siasabora 11 ปีที่แล้ว

    m-skype...ati '...kuna shimo kwa mtungi...' hilarious!

  • @ndzmah47ali6
    @ndzmah47ali6 5 ปีที่แล้ว

    Haya mm nko uwarabuni utanisaidia vp

  • @dianajepkorir3821
    @dianajepkorir3821 6 ปีที่แล้ว

    hongera mama

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 6 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa

  • @aishaaisha18
    @aishaaisha18 5 ปีที่แล้ว

    Kwel mama unahekima

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂good teaching

  • @judithwachiakongoda310
    @judithwachiakongoda310 6 ปีที่แล้ว

    yaani haviwezekani kabisa kuishi mume na mke mbali mbali .yaani mke asisubutu kabisa. husababisha madhara . iwe tu kwa mda mfupi kisha mmoja wao achukue uhamisho afuate mwenzake. wanaume sio watu wa kuamini.

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 ปีที่แล้ว

    sawa mama mtumzma dawa

  • @judithwachiakongoda310
    @judithwachiakongoda310 6 ปีที่แล้ว

    fimbo ya mbali haiui nyoka kabisa

  • @christinentinyari4132
    @christinentinyari4132 6 ปีที่แล้ว

    Na Kama sisi tuko uarabuni na kwa mfano ,Mimi Niko kwa relationship na kijana ambaye Ako Kenya surely Ako mwaminifu ?

    • @dianajepkorir3821
      @dianajepkorir3821 6 ปีที่แล้ว

      tuvumilie na tuombe mola atupe akima

    • @sheillahchisika8414
      @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว

      Christine Ntinyari Hat mi wangu pia ako kenya na sijui nimeachia tu mungu

    • @rizikiali6110
      @rizikiali6110 5 ปีที่แล้ว

      @@sheillahchisika8414 🤣😂😂😂 muachie mungu tu ndo yaliobaki

  • @qatardoha9378
    @qatardoha9378 5 ปีที่แล้ว

    mimi nko Amerca mzee ako KENYA itawezekanaje nfanye kazi mwiez 6 au mwaka na nrudi kenya juu ya mapenzi tu hapo mwanamke ni kujitunza lakini mwanaume awesikani kapisa

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 4 ปีที่แล้ว

    Sasa mimi unanishuri vipi mama yangu nimepata mchumba. Nami nipo omani nafanya kazi nipe ushauri mama

  • @archiHarbour
    @archiHarbour 11 ปีที่แล้ว

    unapotosha wake zetu

  • @monicahkimani9328
    @monicahkimani9328 7 ปีที่แล้ว

    thanks for the advice