Nyie WAZAWA MEDIA neno ni SEASON sio SESSION, jifunzeni lugha kwanza. Jengine hii series ya kiswahili kwanini msiandike kwa kutumia lugha yenu na kujivunia.
@@shamsahasan2748 angalau mimi kiswahili si lugha yangu lakini naandika kwa kiswahili halafu nilikua natafuta wa kunifundisha sasa unaonaje ukawa mwalimu wangu? Khaaa Kheee Khiii Khoo Khuuu
Wakali wote wapo umu
mkojani bin darwesh bin tarbush
Wakwanza mm like tafadhar
Mm wa sita Leo
puturuuuuu mkuyati kilembaas😂😂😂
Mimi kwaza Mr Charles in USA
wakuzimaaaaaa😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤
Nawakubari sana kaka zangu
Tupeni nyengine ila masantula wachekesha
Hii mbona inaonekana ya zamani sana
Season
Nyie WAZAWA MEDIA neno ni SEASON sio SESSION, jifunzeni lugha kwanza. Jengine hii series ya kiswahili kwanini msiandike kwa kutumia lugha yenu na kujivunia.
Asante kwa ushauri
Keswahili chenyewe hujui alafu unakosoa wenzio, ety jengine khaaaa😂😂😂😂😂😂