Everyday and every time I take shower I listen and watch this song. Getting blessings from it. I dont understand the language but it seems like: work hard or hardworking is encouraged. Amen!!!
Kazi bora ubunifu mzuri kwa mtunzi hongera kwake pia studio graphics kidogo zimepungua koz huwa rajo mnazidisha sana graphics adi uharisia wa picha unapotea 🙏
Heri kwenu kwa siku hii ya Sabasaba ..Tuendelee kufanya Kazi tukimtanguliza Mungu katika yote.
Amina
Hongeren jaman kwa wimb mzuri Mungu azidi awabariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongeren Sanaa Kwa wimbo wenye ujumbe mzuri
Sichoki kuusikiliza ni wimbo mzuri wenye mafundisho mazuri Mungu azidi kuwabariki wapenda ❤❤❤
Amina, Barikiwa pia Mpendwa, Tunashukuru kwa Kusikiliza nyimbo zetu
Hongereni kwa Kazi nzuri
Hongereni kwa kazi nzuri sana,
Mungu awabariki sana.
Amina sana Mary
Hongera kiongozi... .🤝🤝🤝
nimebarikiwa na huu wimbo jaman hongeren sana
Ujumbe makini kabisa kutoka JMC Congratulations Mabogo
Tunashukuru George
Mungu azidi kuwainua.kazi nzuri Sana hongereni
Asante sana Felister
kabsa kabsa kazi nzuri saaaaaaaaaaaaaana,Songa mbele.
Amina
Mashairi/ubeti imekua kwa ufupi ufupi sana lakini chorus ni nzuri sana
Dah! Nyimbo nzuri sana nimeiona mahari kama wiki tatu zilizopita nikaitafuta mtandaon sikuipata leo nimekutana nayo hongereni sana
Amina sana Mhoja
Tuijenge taifa letu aeeee🎶🎶🎵🎶🎵
Amina Francis
Kazi nzuri, ujumbe mzuri. Mbarikiwe sana
Amina Abel
Kazi nzuri sana, God bless you
Asante Ponce
Amina, Utukufu kwa Mungu
Mbarikiwe Sana watu wangu was nguvu kwa kazi nzuri nawapenda Sana!
Amina Valence
Hakika kazi nzuri sana nimeipenda Mungu awazidishie nguvu
Amina, ubarikiwe sana Freddy
Kazi nzuri hongera kwenu
Habari njema ya neno la Mungu kwa njia ya ubimbaji. Asiye fanya kazi na asile. May God bless you JMC.
Amen
Wimbo mzuri nimeupenda , Mungu awabariki
Amina Emmanuel
Tamu kabsa, hongereni sana wana JMC
Asante Paschal
Everyday and every time I take shower I listen and watch this song. Getting blessings from it. I dont understand the language but it seems like: work hard or hardworking is encouraged. Amen!!!
Amen Xi Wang
You are right, the song encourage the youth to work hard for their development and for the development of their countries🙏🙏🤔
Kazi bora ubunifu mzuri kwa mtunzi hongera kwake pia studio graphics kidogo zimepungua koz huwa rajo mnazidisha sana graphics adi uharisia wa picha unapotea 🙏
Shukran Buly
Amina sanaa nimeipenda hyo sanaaa
Tufanyeni kazi. Wimbo mtamu sana barikiweni
Amina Nicholas
Hongereni sana JMC
Asante Mc Back
Mungu ni mwema munahubili kwa nyimbo hongereni
Nikiwa hapa ndola
Asanteni Sana John Paul 11 may God bless you
Amina Eva
I must say this choir make me feel blessed
Thank you my great family JMC. ubora Kwanza......
Amina Justin
Kazi iendelee🔥🔥
Jaman huu wimbo ni baraka kwangu
Long live JMC...... Nawapenda sana
Amen George
Nimebarikiwa na wimbo huu!!! Thanks for blessing me
Karibu sana Bahati
Hongereni kwa kazi safi sana!
Shukran Amambia
Nyimbo nzuri!
Napeda...kazi nzuri
Asante sana @ Paul
Ujumbe mzuri sana
Amina Grace
Pongezii mpewe tuuu kwenuu wapendwa
Wimbo nzuri sana.Mbarikiwe nyote
Asante Benedicto
Thank you 💕 wimbo unafundisha sana nmefarikika mno
NICE SONG MUNGU AWABARIKI SANA
Amina Prosper
Asanteni 🙏 hakika tufanyeni kazi
Amina Abel
Safi sana, mbarikiwe
Asante Amanda
Kazi nzuri
Asante Denis
Wimbo mtamu wenye mafunzo tena. Pamoja mandugu zangu 🇰🇪
Asante Denis
Ahsante sana!
Amina Clement
Nimebarkiwa Sana na kwaya hiiii
I love you more my relative in Christ !!!! congratulations for a beautiful and good song 🎵 Jmc..🥰🥰🥰🥰
We love you too
Love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana ❤
Asante sana mwl Mabogo
Karibu Rainer
🙏Amina. Safi kweli!!👍👍
Asante Ndugu
Madam eglaaaaaaa🧐🧐😄😄😄😄😄
Safi Sana
Asante Ritch
Hongereni sana
Asante Alfred
Nyimbo Nzuri 💯💯
Mungu awabariki kwa kazi nzuri hiii
Work anthem 🔥🔥🔥the vocal also on dot❤️❤️
HONGERENI sana
Sifa na shukran ziwe kwa Mungu
Nice song brothers&Sisters from Tanzania🔥🔥
Asante
Kongole JMC. Great choir since time immemorial
Sifa na Shukran zowe kwa Mungu @Tiberius
Kazi nzur kwel?
Congrats
Work Anthem 🔥🔥🔥
Amen Dr Angelo
Mnatisha
Hongereni kwa utume mungu aliye azisha kazi hii njema ndan yenu yeye mwenyewe ahikamilishe
beatiful
Great! Amazing!
Thank you @Billy 🙏
Amazing
Amazing 🥰🙏
Amen Valence
👍👍👍...
💕💐🌹❤️
Wimbo mzuri sauti zipo bomba ila organist ameacha melody ya muziki wa kikatoliki ameiga beat za kilokole,Ni hayo tu samahani lakini
Usijali kila wimbo unamaadhi yake wimbo wetu ni kwa jamii yote pasipo kuchagua imani yoyote
Huu wimbo nimeuona jana chanel ten mwenyewe nilikuwa najiuliza mbona melody sio ya kikatoliki ila ni wimbo mzuri sana
Naruhusiwa kuwa mmoja wenu kuinjilisha kwa njia ya nyimbo?? Pia iweken Google tudownload
Karibu sana
Asante
NICE SONG MUNGU AWABARIKI SANA
Asante Prosper
Kazi nzuri
Asante Julius
Beautiful 🥳
Thanks Marry
Amazing
Amen Ceciliah
Amazing