@@StraightPathDawah sasa mi nashangaa hii kenge ya kiislam inawauliza watu eti andiko wapi yesu alikua mkristo , yeye mwenyewe hajatoa andiko wapi yesu muislam huu ujanjaujanja wakipumbafu hauna maana kama unajiamin kwanini usifuate wahaziri wakristo wakonyooshe unawafuta watu ambao hawajui maandiko hawana tofauti na watoto wadogo akizaliwa Kwa Baba muislam naye anafuata coz haelewi
@@StraightPathDawah we ni mpumbafu sana Eli yesu aliingia Kwa sinagogy ndomana ni muislam nani aliekwambia sinagogy Hilo lilikua la waislam? Kipindi hicho Muhammad hayupo wala uislam haupo , we kweli chizi sasa hapo unandanganya Nani?
Nimependa so wakristo wametulia alafu waelevu sana Allah awape hidaya nasisi atufishe tukiwa wacha mungu na wewe muhadhiri wetu shekh ramadhan Allah akulipe kher 🤲
Manabii wote walifanya da awah kama hivi kuwafuata watu na kuanza kuwahubiria mashaa Allah Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu. Katika kazi hii ya Da awah.
Maa shaa Allah sheikh Shaaban tunakuombea kwa Allah akulinde na kila adui akuhifadhi na kila baya akupe umr mrefu na afya kamil uzidi kuendelea na kazi yako.
Waisilamu wanashinda kweli, kristo ni jina lisilo na mtu mwingine isipokuwa yesu. Jina kristo ni lake ukristo ni njia zake wafuasi wake wakristo, kusema yesu si mkristo ni sawa na mfano mtu anayeitwa AWA ZAINABU kusema AWA si ZAINABU katika tabia zake. hii in upungufu wa elimu.
Yesu alikuwa haingii katika sinagogi kusali. Alikuwa anaingia kufundisha. Na Yesu hakututaka sisi tusali katika masinagogi alitaka tusali kanisani. Na ndiyo maana na yeye aliahidi kuhenga kanisa na siyo sinagogi. Soma Mathayo 16:18. "Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda." Someni muelewe ndugu zangu wapendwa. Vinginevyo kama mnatutaka nasisi tuje misikitini kuwafundisheni neno na kweli ya Mungu ni sawa kabisa. Tuambieni.
Paul ndio ameleta ukristo huyu ni muongo kwnz nakujiita ni muisrail wakat yeye ni roma mzungu ndio amelat Hy ya makanisan yesu ukijifamalia yote walikuwa waislamu Waz Waz endeleen kuimbA kwaya mungu mtakutana nae
@@eyeonnature4022Ukristo, maana yake ni mkristo kuwa na tabia kama ya christo. Ni kama mtu kuuliza ukenya ni nn. Ukenya ni tabia ya wakenya, inchi yao ikiitwa Kenya
Usiogope kusoma dadangu ,,hata Biblia inasema"People perish for lack of knowledge" The scholars are not here to mislead you or kuwachanganya,they want you to take that initiative ya kujisomea kujua Mungu na kumwabudu Kwa kweli
Muogopeni Mungu, YESU alikuwa Myahudi kazaliwa Bethlehem, Mama yake Mariam ni binti yake Yesse wa Nazareth mkulima wa mizabibu na alibatizwa na Nabii Yohana mbatizaji kwenye mto yordan, dah hakukua na uislam wakati huo.
Sasa unapouliza Yesu alikuwa dini gani ni swali gani hilo? Yesu mwenyewe ndiye dini. Na wewe unauliza Yesu ni dini gani!!! 🤣🤣🤣🤣 Sijaelewa kiufupi. Jua kwanza maana ya neno dini kisha utembelee bibulia takatifu kitabu cha Yohana 14:14. Soma uone Yesu ndiye dini na kweli na uzima. Sasa Yesu alikuwa dini gani! Tengeneza swali hilo vizuri.
WAILSMAU MKO NA SHIDA NDOGO SANA....LAZIMA MLAZIMISHE YESU KWA UISLLAMU?????...ILE SIKU MTAJUA KUTOFAUTISHA YESU KRISTO NA isa bin maryam, MTAANZA KUKARIBIA PEPONI!!! GOODLUCK!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAISLAMU ACHENI UONGO WENU MATHAYO 16 16 SIMONI PETRO AKAJIBU AKASEMA; WEWE NDIWE KRISTO; MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. 18 NAMI NAKUAMBIA; WEWE NDIWE PETRO; NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU ; WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA. AMEN❤❤❤ SIO MSIKITI
Shehe, kukemea pepo siyo kuomba. Unataka ukemee pepo kama mtu aombaye chai? Na hapo ndipo mnapifeli. Yaani kwenye kutoa pepo mnataka muombe?🤣🤣🤣 Yaombeni ninyi. Maana ni mandugu yenu. Kwa maana maandiko yenu ndiyo yanayotuambia Muhamadi alipozaliwa majini yalifurahi na yakasilimu. Kwahiyo ni halali kwenu muyaombe. Ila kwetu sisi ni kuyakemelea mbali.
Hivi nyie Wakiristo, huo utatu maanake nini ?? Na mliitoa wapi !?? ACHENI KUABUDU KWA MAZOEA. MWENYEZI MUNGU NI MMOJA TU. KUBALI, USIKUBALI, NDIVYO ILIVYO.
Najua waislam mna madhehebu makubwa mawili Shia na sunni .WWE uko Gani ili niweze chagua. Na nielezee sifa za kila dhehebu ili niweze fanya auamuzi sahihi Asante
Ikiwa Wakristo wanasoma katika Biblia kwamba kuna maandishi kwamba Yesu alikuwa anaingia katika Msikiti basi wajue kwamba Nyumba ya Mungu pale watu wanaenda kusujudu kwa lugha ya kiarabu panaitwa MASJID (yaani Msikiti). Kwa nini panaitwa Masjid? Kwa kywa watu wanamuabudu Mungu kwa kusujudu.
Katika Lugha za Ibrania, Aramaic na Arabaic, there is Plural of respect for God, also known as Majestic Plural! Therefore God, in the Three Semitic or Middle Eastern languages, can address himself as 'I' or 'WE', when he chooses! This SAME Plural of Respect is ALSO used to address an older person, in Semitic derived languages like Urdu. For xample, in Urdu, TU or You, becomes TUSI (Plural of respect) when addressing an older person.
You have spoken well and that is what I know. But also let people visit the bible in the epistle of Titus 2:13. What is the position of Jesus Christ in Godliness? What I understand is, speaking about the Godliness of the God of Abraham, Isaac and Jacob, three souls have to be considered.
@@hakizimanantawundi9369 Sorry to disappount you, but the 'bible' which includes the Roman Paul's writings, is a FICTITIOUS European Book. The Bible was INVENTED and written by KingJames and his 46 Pagan Writers, in 1611AD! AND LUKE 1:1-4 EXPLAINS how the King James's bible's CONTENT was INVENTED and put together by 'many hands'! The Bible says very cleary that GOD, cannot DIE, nor be SEEN nor HEARD! Therefore, jesus or anybody else who has been SEEN and has tasted DEATH, can NEVER have ANY 'GODLYNESS' attributes! Do you undestand? Terms like 'god of isreal' and 'god of ibrahim' are NONSENSICAL phares invented by the bible writers, who were inspired by the Unholy Spirits called Whiskey and Brandy, in 1611AD! This is why the 'bible' contains PORN (songs of solomon) , INCEST(Lot n Daughters), abrahim marry sister Sara, brothers n sister Sex(TIMAR) LOOSE MORAL(Boaz n Naomi), DRUKENESS( noah naked n drunk)etc, etc! TOTAL DISRESPECT for NOAH (by the DRUNK bible writers) who was a PROPHET of GOD! SORRY, that is the TRUTH.
Kama hakua mkristo ni sawa sababu jina mkristo limetokana nakusema mimi ni wa yesu kristo. Kama nyinyi mseme ni wa mhamadia. Unajua mtu alianza kubishana na watu waliosoma ukubwani ni lazima utachoka. Hapa tungeaanza kumpekua Muhammad. Hizo kanzu msingezivaa kamwe. Kila muakapo ni kumpekua Yesu kristo. Au ndio namna biblia alivyosema: kila ulimi utamkili kuwa ndie atakaehukumu? Mnamkili kiaina .yesu oyeeee. Kama mtu huna shuhuli nae huwezi kumtajataja kila wakati .ndugu zanguni mtajaaibika mbele huko
Hawa jamaa hata wasomapo huwa hawaelewi. Sijui ni kwa sababu kiongozi wao hakusoma??? Yesu alijenga kanisa na siyo sinagogi. Mathayo 16:18 "....juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa......"
Nawasihi,wenzangu watu weusi,tutokeni katika hizi dini ambazo ,they were religion s imposed on our ancestors against their will,they are a false religion,we are the children of the most high true God,let us return to our roots,repent and humble ourselves before ,the true creator,and he will heal us and our land.
Nikulize dada angu hivi ushawahi kuona nchi gani haina uongozi wa katiba bila shaka lazima nchi iwe na serekali na katiba ili iwaongoze raiya Sasa na Mungu vile vile ameuleta uislamu ili utuongoze kaa ukijuwa ktk Quran ambacho ndio kiarabu cha uislamu hakuna kitu chochote kile hakikutajwa ukija mambo ya chemistry physics n.k yamepatikana ktk Quran Sasa dada angu mpendwa washwahili wanasema usikihukumu Kitabu kw kuona kava yake nikukaribishe uje nikufahamishe uislamu halafy ndio utajuwa ni dini ya waarabu au Mungu
@@buuwahiid2898 ninajua kiislamu,nimekaa Saudi Arabia more than five years,naelewa,nakuelewa.but niambie hivi .Sisi Kama ,watu weusi,unataka kuniambia hatukumjua mungu,kabla Hawa wageni, wa arabu na wazungu waje?na Kama ni mungu was ukweli na mwena,mbona Sasa walilazimisha na kuwatesa mababu wetu? enslaved to a them,tourtured ,hate, castrated,raped our women, threw our children to the crocdiles n killed them.????kwa Nini Sasa,Sisi, weusi watu,Kila mtu anatuletea dini zao na tabia zao,ilhali hakuna anayeinga tabia na dini zetu,why do they want to wipe out beliefs n culture,why do they all hate the melanated race,even as if now?ilhali tunajua Africa is the cradle of mankind,we are the original race,Hawa wengine wote ni recessive genes,kwa Nini Sisi tuendelee kufuatilia hizi dini na tabia ambazo wengi wetu,si hiari yetu, listen we as black people are awakening to the truth ,seek and you shall find,or u LL b left behind to b annihilated together with these heathen,coz tuko nyakati za mwisho,and their rule will soon b over,and the everlasting kingdom prepared for the chosen is at hand,who is the chosen and children of promise? Do u know.
@@yahchildg7283 asant kw suali zuri kwanza nirejee tena kukujibu ili ujuwe ukweli wa kitu chochote ni lazima ukifatilie au ukisome ndio utakijuwa sasa dada angu ww umesoma historia pengine kitabu kimoja utakosea unapofanya utafiti au kujuwa historia unatakiwa kusoma vitabu zaidi ya kimoja mfano uislamu unasoma au hata mm naweza kukufahamisha vizuri uislamu ukafahamu ukauanga je kweli hii dini ndio mafunzo yake kutesa watu au hii dini ni ya waarabu au Mungu ukisoma Uislamu haujaamrisha kuuwa kutesa watu kiufupi usiwaangalie watu km wazungu wengi wanaslimu kutokana na kusoma uislamu vitabu vyake wanagunduwa uislamu ni dini ya kweli tofauti na watu wanavyo uchafuwa na baadae uislamu utakuwa dunia mzima kw hayo ya iuteswa babu zetu hayausiani na dini na dini ya uislamu inayakataza kuna wale walikuja kueneza dini mbali na waliokuja kuwatesa babu zetu mbali ukisoma historia utayakuta lkn usisime kitabu kimoja tu soma zaidi
You should know the meaning of a Christian ,synagogue was started in babylon which is a mosque, because they left the temple in Jerusalem,where was anointed for taking sacrifices, when Jesus came he told the pharisees who were selling and buying in the synagogue 🕍and chased out and also akihutubu alisema ya kwamba atabomoa hilo jengo na kulijenga na siku tatu, inamaana,
@@sarmajid8603 read the bible well wacha kuruka ruka ukitafuta justification, the only dini that is true is knowing how you are staying in this world with God,wacheni siasa za dini mkindanganyana na maadiko matakatifu, siku ya kiama hakutakuwa na dini kutakuwa na ni nani alie tenda haki mbele za mwenyezi Mungu, the best dini is your heart wacheni propaganda
@@sarmajid8603 it was started when israel went in babylon when they left the temple in Jerusalem, so they started where they will be meeting to teach the laws of God, in the temple they were taking sacrifices,but in synagogue was only teachings, and this is what JESUS met, and he said to them he will destroy it in three days, because he wanted people to know the truth
Unakutana na watu wasiojua maandiko. Watu hawaelewi hata kitabu cha LUKA kiko New tastement au old tastement. Sinagogi sio msikiti na Yesu hakuwa Muislamu na hakuna nabii yoyote aliyewahi kuwa muislamu. Wacha kupotosha watu.
Mashallah mashallah mashallah ,,ramadhan bin kaguoo tukoo pmjaa snaaa,,, Allah akujazee kherii,, kherii
Thanks sheikh for telling the truth, everyone Support this DAWAH Channel
Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu
Mansahallah sheikh ramadhan mungu akuzidie umri unafanya kazi hii
Afwan brother sio mansahallah ni MashaAllah
Amin
Shekh Ramadhan leo umepatana na watu makiini sana mashaAllah,Allah akuujalie swiha njema wewe pamoja na camera mans wote
Allahuma ameen
Amin ila jaman kamera meni sija muona siku nyingi 🤗
@@StraightPathDawah sasa mi nashangaa hii kenge ya kiislam inawauliza watu eti andiko wapi yesu alikua mkristo , yeye mwenyewe hajatoa andiko wapi yesu muislam huu ujanjaujanja wakipumbafu hauna maana kama unajiamin kwanini usifuate wahaziri wakristo wakonyooshe unawafuta watu ambao hawajui maandiko hawana tofauti na watoto wadogo akizaliwa Kwa Baba muislam naye anafuata coz haelewi
@@StraightPathDawah we ni mpumbafu sana Eli yesu aliingia Kwa sinagogy ndomana ni muislam nani aliekwambia sinagogy Hilo lilikua la waislam? Kipindi hicho Muhammad hayupo wala uislam haupo , we kweli chizi sasa hapo unandanganya Nani?
@@francisjoseph1074 yaan ww cku zote huwa ni tahira tu,unajifanya hukuona jins Ndacha alivyo pewa dawa eeeeeeeh...?
MashaAllah🤲
MashaAllah daawa inaendelea na saum ya mwezi mtukufu.Allah akubali mema yetu na walimu zetu mupate ujira zaidi.
Amiin
Amin
Yesu ni mwislamu, wakristo wamepotea 😢
mashallaaah ❤ mashallaaah ramadhani allaah atupe mwisho mwema ❤❤❤❤
Masha Allah.. Barak Allahu feek sheikh ramadha kuria
Nimependa so wakristo wametulia alafu waelevu sana Allah awape hidaya nasisi atufishe tukiwa wacha mungu na wewe muhadhiri wetu shekh ramadhan Allah akulipe kher 🤲
Mashaalah mafundisho mazuri Allah azidi kuwaongoza kueleza njia ya haqi iliyonyooka inshaalah
Masha Allah Ustaz Kuria.wstching from Boston USA
MASHA ALLAH mm kutoka omani na woching pamoj san
Shukran bro, pass my regards to the Boston family
Luka 4:16...imenifurahisha sana.kumbe Yesu ameingia msikitini.takbiiir.Allaahu Akbar
Mashallah shehe ramadhani unajitahidi sanaaa kuwatowa watu katika giza Allah azidi kukulipa kheri
Mwenyezi mungu akujaalie umri shekhe kwa kuwalingania
Maa shaa Allaah
Masheikh wetu munafanya kazi nzuri sana, Allaah azidi kuwapa nguvu until the last breath.
Ameen
Manabii wote walifanya da awah kama hivi kuwafuata watu na kuanza kuwahubiria mashaa Allah Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu. Katika kazi hii ya Da awah.
Mashallah sheikh ramadhan na team yako kwa kazi mzuri ya kulingania uisilamu, Allah awape afya na awaruzuku janatul firdaus
Allah awahifadhi kila anae mkubali Allah
Masha'Allah hapo kuna watu wameelewa na ln Shaa Allah wataongoka.
Maa shaa Allah sheikh Shaaban tunakuombea kwa Allah akulinde na kila adui akuhifadhi na kila baya akupe umr mrefu na afya kamil uzidi kuendelea na kazi yako.
Masha ALLAH Tabarakallah sheikh wetu Ramadhan. ALLAH akulipe pepo ya Fridaus Insha ALLAH..🤲
MASHA ALLAH Na Allah awasamehe madhambi yenu wewe pmj na timu yako
Mnafanya kazi nzuri Masha Allah ♥️♥️♥️♥️
The best Dawaah Mtaani
wow that's amazing
Ramazan Kareem
Shelkh Ramadhani Mwenyezi Mungu hakupe afya njema na maisha marefu kusudi uzidi kumtangaza Allah
Maa shaa Allah mbarikiwe nyote kazi ya dawah ni raha sana lakini ni ngumu inataka subira sana
mashallaaah ❤ mashallaaah ❤
Mungu ni roho
Waisilamu wanashinda kweli, kristo ni jina lisilo na mtu mwingine isipokuwa yesu. Jina kristo ni lake ukristo ni njia zake wafuasi wake wakristo, kusema yesu si mkristo ni sawa na mfano mtu anayeitwa AWA ZAINABU kusema AWA si ZAINABU katika tabia zake. hii in upungufu wa elimu.
Mashaallah shekh ramadhan bidii uko nayo mu ngu akuzidishe akupe ufahamu zaidiii uwafunulie ukweli watoke kwenye dhulma
Kazi nzuri mungu awajalie wepesi
Asalam Alaykum ! Masha Allah ! wacha tuwasikize ndugu zetu !
Wana jaribu kuzuia noor ya Allah namidomo yao Allah atatimiza noor yake walau makafiri hawapendi (As-Saff-7)
Kazi safi sana sheikh Ramadhan.
Allah subhanna wa taala akuzidishie hapa duniani na pia akhera
Aamina
Thanks Islamic scholars for your best work to call people to accept Islam
Masha Allah
Mashaallah mashaallah ustadh ramadhan allah akujaalie kila la kher
Wewe Ramadhani kila uamkapo unawaza kumjadili Yesu kristo. Hilo jina unalolichezea unachezea moto. Muulize paulo aliekua anaitwa sauli kilichomkuta
mashallah wataelewa tu
Takbiriii
Allahu Akbar
Allahu akbar
Mashallah mafundisho mazuri ALLAH awahidi
Mashallah
Shukuran sana
God is one from 3 steps God the Father, God the son God the holispirit
Naaaam
Allah tunakuomba uwaoneshe haki waeze kuifata hakika yako wewe ndiyo humuongoza umtakaye
Mungu Baba, ana holy spirit,,,na yesu mwanawe.
Mwanae gani mungu hajaza wala hajazaliwa 😏😏😏
Safi Sana!
MashaAllah MashaAllah
Kumewaka moto watu hapa, kali sana
Mas Allah sheikh Ramadan kurya Allah akupe afya njema ili uzidi kuwapa ukweli
Ameen🤲🏻
Wa Kenya wandugu yangu bible ame kuja na ukoloni
Yesu alikuwa haingii katika sinagogi kusali. Alikuwa anaingia kufundisha. Na Yesu hakututaka sisi tusali katika masinagogi alitaka tusali kanisani. Na ndiyo maana na yeye aliahidi kuhenga kanisa na siyo sinagogi.
Soma Mathayo 16:18. "Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda." Someni muelewe ndugu zangu wapendwa.
Vinginevyo kama mnatutaka nasisi tuje misikitini kuwafundisheni neno na kweli ya Mungu ni sawa kabisa. Tuambieni.
JESUS Christ our Savior will punish you if you do not repent of your sins
Ungejua maana ya desturi tu ungeacha hizi kelele zako
@@mohamseyf6243 Kalia desturi zako ila ujue hazitakuokoa.
Volume please...uko sawa
Paul ndio ameleta ukristo huyu ni muongo kwnz nakujiita ni muisrail wakat yeye ni roma mzungu ndio amelat Hy ya makanisan yesu ukijifamalia yote walikuwa waislamu Waz Waz endeleen kuimbA kwaya mungu mtakutana nae
Mkristo ni anayefuata Kristo. Yesu atakuwaje Mkristo kama yeye ndio Kristo.
Mkristo ni anaemfata kristo, ukristo ni nini?
@@eyeonnature4022Ukristo, maana yake ni mkristo kuwa na tabia kama ya christo.
Ni kama mtu kuuliza ukenya ni nn. Ukenya ni tabia ya wakenya, inchi yao ikiitwa Kenya
takbir
Mtachanganyishwa akili na hawa watu 😮😮
Usiogope kusoma dadangu ,,hata Biblia inasema"People perish for lack of knowledge"
The scholars are not here to mislead you or kuwachanganya,they want you to take that initiative ya kujisomea kujua Mungu na kumwabudu Kwa kweli
Muogopeni Mungu, YESU alikuwa Myahudi kazaliwa Bethlehem, Mama yake Mariam ni binti yake Yesse wa Nazareth mkulima wa mizabibu na alibatizwa na Nabii Yohana mbatizaji kwenye mto yordan, dah hakukua na uislam wakati huo.
Tafuta darasa ukasome UISLAMU utajua yesu alikua Nan
@@talibmuhsin5221 huyo wa kwa waislam Alie zaliwa jangwani huyo wenu hatumjui,
Msitulazimishe
Ndo mana mungu akaumba pepo na moto ,.mana hakuna maandiko ukristo ni dini
Kwani Muhammad ndio alimpa yesu shahada kweli inawezekana yesu ni mkuu zaidi ya wote na alikuwepo kabla ya yote
Sasa unapouliza Yesu alikuwa dini gani ni swali gani hilo?
Yesu mwenyewe ndiye dini. Na wewe unauliza Yesu ni dini gani!!!
🤣🤣🤣🤣 Sijaelewa kiufupi. Jua kwanza maana ya neno dini kisha utembelee bibulia takatifu kitabu cha Yohana 14:14. Soma uone Yesu ndiye dini na kweli na uzima. Sasa Yesu alikuwa dini gani! Tengeneza swali hilo vizuri.
Jesus is the way and true na kila goti litapiwa mbele zake mwache kuongozwa na ujinga
Amen
Amen Jesus Christ is our Savior these people are totally lost following a false god
WAILSMAU MKO NA SHIDA NDOGO SANA....LAZIMA MLAZIMISHE YESU KWA UISLLAMU?????...ILE SIKU MTAJUA KUTOFAUTISHA YESU KRISTO NA isa bin maryam, MTAANZA KUKARIBIA PEPONI!!!
GOODLUCK!!
Ata Leo n yeye
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WAISLAMU ACHENI UONGO WENU
MATHAYO 16
16 SIMONI PETRO AKAJIBU AKASEMA; WEWE NDIWE KRISTO; MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.
18 NAMI NAKUAMBIA; WEWE NDIWE PETRO; NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU ; WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA.
AMEN❤❤❤ SIO MSIKITI
Mnawaokota mazuzu. Ukristo ni Imani yenye umri mkubwa kabla ya Imani yeyote inayoishi hata Sasa.
Shehe, kukemea pepo siyo kuomba. Unataka ukemee pepo kama mtu aombaye chai? Na hapo ndipo mnapifeli. Yaani kwenye kutoa pepo mnataka muombe?🤣🤣🤣 Yaombeni ninyi. Maana ni mandugu yenu. Kwa maana maandiko yenu ndiyo yanayotuambia Muhamadi alipozaliwa majini yalifurahi na yakasilimu. Kwahiyo ni halali kwenu muyaombe. Ila kwetu sisi ni kuyakemelea mbali.
Talbir
Ukweli hakuwa na dini bali alikuja kwa wasio amini
Asiye na Dini ni kafir
@@sarmajid8603 upande wako
Hivi nyie Wakiristo, huo utatu maanake nini ?? Na mliitoa wapi !?? ACHENI KUABUDU KWA MAZOEA. MWENYEZI MUNGU NI MMOJA TU. KUBALI, USIKUBALI, NDIVYO ILIVYO.
Mnajadiliana na wakristo hovyo wasiojua kitu ndio mnawapeleka mnavyotaka nyinyi
Najua waislam mna madhehebu makubwa mawili Shia na sunni .WWE uko Gani ili niweze chagua. Na nielezee sifa za kila dhehebu ili niweze fanya auamuzi sahihi Asante
Kasome utaelewa kila kitu
Just read and open mind you will not be disappointed good luck....
Shehe mtafite ndacha ndo mkaidi anajua uislam ndo dini ya kwl lakin njaa inamuuma ndacha%
Sikuya kwanza ni mosi alafu pili alafu tatu alafu nne, tano, alhamis ijumaa
Kujisalimiza Sio uislamu nikujiajia mnapoteza ili mupate asiyeelewa
Msikubali kubadilishwa hapo😅😅😅
Itakapo kuja nusra ya Allah na ushindi utawaona watu wanaingia ktk uislam makundi kwa makundi
Wapumbavu nyie yesu hana dini "Yesu ni mwana waMungu aliye hai"nani wawote wenye mwili
Tatizo hawasomi maandiko, wakifika kanisani wanasomewa ndio sababu hawajui nini kimeandikwa katika bibilia
Ikiwa Wakristo wanasoma katika Biblia kwamba kuna maandishi kwamba Yesu alikuwa anaingia katika Msikiti basi wajue kwamba Nyumba ya Mungu pale watu wanaenda kusujudu kwa lugha ya kiarabu panaitwa MASJID (yaani Msikiti). Kwa nini panaitwa Masjid? Kwa kywa watu wanamuabudu Mungu kwa kusujudu.
Hakuna toa synagogue sio msikiti
Nyinyi waislamu mnauongo dini ni njia kwa kiswahili na yesu ndie njia yaani dini...
Kitu gani alicho kifanya yesu nawe unakifuata kama wewe ni mkweli
Dini ndizo zimeleta mgawanyiko hasa kwa waafrika;
Mtu akiona ukweli na akiamua kuufuata ni kazi kweli maana wagumu kweli
Katika Lugha za Ibrania, Aramaic na Arabaic, there is Plural of respect for God, also known as Majestic Plural!
Therefore God, in the Three Semitic or Middle Eastern languages, can address himself as 'I' or 'WE', when he chooses!
This SAME Plural of Respect is ALSO used to address an older person, in Semitic derived languages like Urdu.
For xample, in Urdu, TU or You, becomes TUSI (Plural of respect) when addressing an older person.
You have spoken well and that is what I know. But also let people visit the bible in the epistle of Titus 2:13.
What is the position of Jesus Christ in Godliness?
What I understand is, speaking about the Godliness of the God of Abraham, Isaac and Jacob, three souls have to be considered.
@@hakizimanantawundi9369
Sorry to disappount you, but the 'bible' which includes the Roman Paul's writings, is a FICTITIOUS European Book.
The Bible was INVENTED and written by KingJames and his 46 Pagan Writers, in 1611AD!
AND LUKE 1:1-4 EXPLAINS how the King James's bible's CONTENT was INVENTED and put together by 'many hands'!
The Bible says very cleary that GOD, cannot DIE, nor be SEEN nor HEARD!
Therefore, jesus or anybody else who has been SEEN and has tasted DEATH, can NEVER have ANY 'GODLYNESS' attributes!
Do you undestand?
Terms like 'god of isreal' and 'god of ibrahim' are NONSENSICAL phares invented by the bible writers, who were inspired by the Unholy Spirits called Whiskey and Brandy, in 1611AD!
This is why the 'bible' contains PORN (songs of solomon) , INCEST(Lot n Daughters), abrahim marry sister Sara, brothers n sister Sex(TIMAR) LOOSE MORAL(Boaz n Naomi), DRUKENESS( noah naked n drunk)etc, etc!
TOTAL DISRESPECT for NOAH (by the DRUNK bible writers) who was a PROPHET of GOD!
SORRY, that is the TRUTH.
Christianity come after jesus A.S and the person who brought Christianity was paul but christians choose to ignore that
Kama hakua mkristo ni sawa sababu jina mkristo limetokana nakusema mimi ni wa yesu kristo. Kama nyinyi mseme ni wa mhamadia. Unajua mtu alianza kubishana na watu waliosoma ukubwani ni lazima utachoka. Hapa tungeaanza kumpekua Muhammad. Hizo kanzu msingezivaa kamwe. Kila muakapo ni kumpekua Yesu kristo. Au ndio namna biblia alivyosema: kila ulimi utamkili kuwa ndie atakaehukumu?
Mnamkili kiaina .yesu oyeeee. Kama mtu huna shuhuli nae huwezi kumtajataja kila wakati .ndugu zanguni mtajaaibika mbele huko
Hawa jamaa hata wasomapo huwa hawaelewi. Sijui ni kwa sababu kiongozi wao hakusoma??? Yesu alijenga kanisa na siyo sinagogi. Mathayo 16:18 "....juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa......"
Kiongozi akiwa kipofu wewe unaemfwata unategemea nini
Mh ndomna pelekwa kwenye uokovu
Mtoke kwenye giza
Nawasihi,wenzangu watu weusi,tutokeni katika hizi dini ambazo ,they were religion s imposed on our ancestors against their will,they are a false religion,we are the children of the most high true God,let us return to our roots,repent and humble ourselves before ,the true creator,and he will heal us and our land.
Nikulize dada angu hivi ushawahi kuona nchi gani haina uongozi wa katiba bila shaka lazima nchi iwe na serekali na katiba ili iwaongoze raiya Sasa na Mungu vile vile ameuleta uislamu ili utuongoze kaa ukijuwa ktk Quran ambacho ndio kiarabu cha uislamu hakuna kitu chochote kile hakikutajwa ukija mambo ya chemistry physics n.k yamepatikana ktk Quran Sasa dada angu mpendwa washwahili wanasema usikihukumu Kitabu kw kuona kava yake nikukaribishe uje nikufahamishe uislamu halafy ndio utajuwa ni dini ya waarabu au Mungu
@@buuwahiid2898 ninajua kiislamu,nimekaa Saudi Arabia more than five years,naelewa,nakuelewa.but niambie hivi .Sisi Kama ,watu weusi,unataka kuniambia hatukumjua mungu,kabla Hawa wageni, wa arabu na wazungu waje?na Kama ni mungu was ukweli na mwena,mbona Sasa walilazimisha na kuwatesa mababu wetu? enslaved to a them,tourtured ,hate, castrated,raped our women, threw our children to the crocdiles n killed them.????kwa Nini Sasa,Sisi, weusi watu,Kila mtu anatuletea dini zao na tabia zao,ilhali hakuna anayeinga tabia na dini zetu,why do they want to wipe out beliefs n culture,why do they all hate the melanated race,even as if now?ilhali tunajua Africa is the cradle of mankind,we are the original race,Hawa wengine wote ni recessive genes,kwa Nini Sisi tuendelee kufuatilia hizi dini na tabia ambazo wengi wetu,si hiari yetu, listen we as black people are awakening to the truth ,seek and you shall find,or u LL b left behind to b annihilated together with these heathen,coz tuko nyakati za mwisho,and their rule will soon b over,and the everlasting kingdom prepared for the chosen is at hand,who is the chosen and children of promise? Do u know.
@@yahchildg7283 asant kw suali zuri kwanza nirejee tena kukujibu ili ujuwe ukweli wa kitu chochote ni lazima ukifatilie au ukisome ndio utakijuwa sasa dada angu ww umesoma historia pengine kitabu kimoja utakosea unapofanya utafiti au kujuwa historia unatakiwa kusoma vitabu zaidi ya kimoja mfano uislamu unasoma au hata mm naweza kukufahamisha vizuri uislamu ukafahamu ukauanga je kweli hii dini ndio mafunzo yake kutesa watu au hii dini ni ya waarabu au Mungu ukisoma Uislamu haujaamrisha kuuwa kutesa watu kiufupi usiwaangalie watu km wazungu wengi wanaslimu kutokana na kusoma uislamu vitabu vyake wanagunduwa uislamu ni dini ya kweli tofauti na watu wanavyo uchafuwa na baadae uislamu utakuwa dunia mzima kw hayo ya iuteswa babu zetu hayausiani na dini na dini ya uislamu inayakataza kuna wale walikuja kueneza dini mbali na waliokuja kuwatesa babu zetu mbali ukisoma historia utayakuta lkn usisime kitabu kimoja tu soma zaidi
@@yahchildg7283 the religion that enslaved you is Christianity so you should know your history atleast
Hiyo ndiyo ujue ya kwamba, Ukisoma Biblia kwa makini, utajua maana ya Waislamu. (WISLAAM NDANI YA BIBLIA)
You should know the meaning of a Christian ,synagogue was started in babylon which is a mosque, because they left the temple in Jerusalem,where was anointed for taking sacrifices, when Jesus came he told the pharisees who were selling and buying in the synagogue 🕍and chased out and also akihutubu alisema ya kwamba atabomoa hilo jengo na kulijenga na siku tatu, inamaana,
Synagogue was started in Babylon !!where is your evidence from ?
@@sarmajid8603 read the bible well wacha kuruka ruka ukitafuta justification, the only dini that is true is knowing how you are staying in this world with God,wacheni siasa za dini mkindanganyana na maadiko matakatifu, siku ya kiama hakutakuwa na dini kutakuwa na ni nani alie tenda haki mbele za mwenyezi Mungu, the best dini is your heart wacheni propaganda
@@sarmajid8603 it was started when israel went in babylon when they left the temple in Jerusalem, so they started where they will be meeting to teach the laws of God, in the temple they were taking sacrifices,but in synagogue was only teachings, and this is what JESUS met, and he said to them he will destroy it in three days, because he wanted people to know the truth
Wacha kutafuta mtu ajui chochote jinga ww
Unakutana na watu wasiojua maandiko.
Watu hawaelewi hata kitabu cha LUKA kiko New tastement au old tastement.
Sinagogi sio msikiti na Yesu hakuwa Muislamu na hakuna nabii yoyote aliyewahi kuwa muislamu.
Wacha kupotosha watu.
Shekhe mwizi huyu kakutana na watu awajui maandiko😂
Kusilimu mlitoa wapi na mnaamini yahye yohana mbatizaji...mbona hambatizwi mkaokoa??
Andiko wapi yesu kasema mubatizwe
Wacha kuchannganya watu sinagogi ni msikiti wa wayahudi sio msikiti wa waarabu maccer.. elewa. misikiti ni mingi duniani tofauti
Ata huku kwetu kuna msikiti wa wakamba
Nataman unifundishe kuisoma biblia sheikh
setani anaesa kutega uanguke kwa lengo lake
Ustadhi unanifuraisha wewe
Kwani awaoni wazungu wanavyio slimu
Wazungu wakislim kwan ni kina Nani??
@@Irene_Mbombo walio kuleteeni ukristo
Wacha kudanganya watu uisamu umeanza na Mohammed na hata haungekubalika Israel