Ndungu punguza bangi...Ep 208 Pt 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 247

  • @machiookumu5730
    @machiookumu5730 6 ปีที่แล้ว +6

    Mdosi wa Awiti anajua ku-act 😀😀😀 The role suits her very well

  • @mwitijaphet
    @mwitijaphet 6 ปีที่แล้ว +13

    Onyi umetucheza hapa, wizi na unatoa viatu kwa hao ya wenyewe 😀😀 anyway u always look real u're the best

  • @jayneogwe6491
    @jayneogwe6491 6 ปีที่แล้ว +2

    Shiti oh 😂😂😂 ..na hawa maofisa raia.. sijai waona na uniform

  • @kiptooj
    @kiptooj 6 ปีที่แล้ว +22

    Shafira is a very good actor

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 6 ปีที่แล้ว +16

    Huyu shifira hunibamba mbaya plus awiti😂😂😂shiti huyo ni dem unakamata hivyo alafu umuulize ka alikuwa anakuja disco matanga😂😂😂

  • @fittyblack2549
    @fittyblack2549 6 ปีที่แล้ว +35

    Hehehehe,,shitti sjaiona mtu ako na ufala ka wewe,,hahahahaha

    • @annem.w4878
      @annem.w4878 6 ปีที่แล้ว +3

      Part ya Shitti is ever boring

    • @fittyblack2549
      @fittyblack2549 6 ปีที่แล้ว +3

      Anne M.W out of 100 ni wee tu huboeka basi,shitti ndo OG kwa ii progi if haujui..

    • @janejane5589
      @janejane5589 6 ปีที่แล้ว +1

      Love shiti ever funny

  • @nellynyaboke5624
    @nellynyaboke5624 6 ปีที่แล้ว +15

    Tutakufinya kama Colgate ya mwisho kwa tube....loooool.Awiti...you are my queen.

    • @namdah_tours
      @namdah_tours 6 ปีที่แล้ว

      Nelly Nyaboke domestic administrator 😂😂😂

    • @baileysummer9216
      @baileysummer9216 6 ปีที่แล้ว

      Hahaha nimecheka yangu yote

  • @ismailadan9009
    @ismailadan9009 6 ปีที่แล้ว +34

    First to comment leo😂😂😂😂 piteni na likes jh

  • @jeffersonodhiambo9314
    @jeffersonodhiambo9314 6 ปีที่แล้ว +4

    Msee aambiye Onyi, mwizi akiingia kuthegi huwa hatoi viatu🤣🤣🤣

  • @abdulomar654
    @abdulomar654 6 ปีที่แล้ว +9

    Na njambi ana Nona ama ni me peke naona hivo

  • @Martin_Karia
    @Martin_Karia 6 ปีที่แล้ว +7

    Onyi anakam kuiba na ako na time ya kutoa viatu?🤣🤣🤣🤣

  • @robertngeno3809
    @robertngeno3809 6 ปีที่แล้ว +4

    Jay star Kenya I see u brooooo.... am Maleague Da Painkiller

  • @Kenya-dv7ls
    @Kenya-dv7ls 6 ปีที่แล้ว +3

    Onyi pia ni mwizi fake 😂😂niaje umecome kuiba na unatoa viatu 😂😂😂

  • @irenekinyanjui8789
    @irenekinyanjui8789 6 ปีที่แล้ว +33

    Ramadhan Kareem Team Gulf

  • @كيفي-ض2ج
    @كيفي-ض2ج 6 ปีที่แล้ว +15

    Shiti anadance kama akona mapepo

  • @shikunice8040
    @shikunice8040 6 ปีที่แล้ว +1

    Aki shifira uko yuuuu tuuu Sana 👌... like za shifira zikam👇

  • @Movieconnect-fullmovies.
    @Movieconnect-fullmovies. 6 ปีที่แล้ว +1

    Njambi na kamau wa ndungu wanakuanga kama police wa traffic na finje😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dominicmwende7568
    @dominicmwende7568 6 ปีที่แล้ว +8

    Shiti sisi ndio makatel wa hii industry

  • @mathewikobwo9862
    @mathewikobwo9862 6 ปีที่แล้ว +31

    Shiphira na awiti i just like you pple

    • @kenpetegathogo
      @kenpetegathogo 6 ปีที่แล้ว +1

      Great Duo ...

    • @WiaraTV
      @WiaraTV 6 ปีที่แล้ว

      wote ni boss na mboch to each other lol

    • @machiookumu5730
      @machiookumu5730 6 ปีที่แล้ว

      Mathew Ikobwo Yeah uyo Mdosi anajua ku-play iyo role yake vizuri sana

    • @christopherkigochi1760
      @christopherkigochi1760 6 ปีที่แล้ว

      @@WiaraTV .k

  • @elvisndiema7661
    @elvisndiema7661 6 ปีที่แล้ว +4

    Shiti utanimaliza ati u will never make in this industry 😂😂😂

  • @dominicochieng6816
    @dominicochieng6816 6 ปีที่แล้ว +7

    Ati kama karau wa traffic na finje😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🔥

  • @erqtsetse3737
    @erqtsetse3737 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂mitchireti ,,,,,,onyango the criminal eh io leo umeweza

  • @alexisogutu9543
    @alexisogutu9543 6 ปีที่แล้ว

    Nilikaushwa kwa kusema i,m cjui top what idon't mind likes hazinipi life naishi.

  • @hannahiya4197
    @hannahiya4197 6 ปีที่แล้ว +1

    Nani amenotice mgodi onyiii ametoa viatu akingia kwa nyumba lo😂😂😂

  • @cerahsarah1559
    @cerahsarah1559 6 ปีที่แล้ว

    Onyi siku za mwizi ni fote, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, mbio za sakafuni huishia ukingoni, cc njambi😂😂😂😂😂

  • @janejane5589
    @janejane5589 6 ปีที่แล้ว +1

    Shiti Wachia hapo 😂😂😂matumbo quarter....wapi likes za shiti

  • @Keilah_bang25
    @Keilah_bang25 6 ปีที่แล้ว

    Eiiish shitiii😂😂 I really love your acting.. Plus awiti na Boss wake. You guys are making us to yern for the next episodes .. Respect to the kawangwares 😊

  • @kezikitar
    @kezikitar 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwani Crotus ameweka bank kwa nyumba. Checki akisota tena sasa.....

  • @blessedgirl444
    @blessedgirl444 6 ปีที่แล้ว

    Aki shiti ujinga ulimwagiwa na karai ile kubwa 😂😂onyi ni hayawani tena lol. Aki detective acha kutesa Nkirote na kigosho arudi priss

  • @anjechelinah7339
    @anjechelinah7339 6 ปีที่แล้ว

    Show iko on top,waiting for next

  • @chogesilas7059
    @chogesilas7059 6 ปีที่แล้ว

    kitu najua ni njambi hatawaishikwa. mafans mtaongoja tu.
    ati karau wa trafik na finje? heheheh. nice to see kigocho back

  • @stevelumumba1824
    @stevelumumba1824 6 ปีที่แล้ว +4

    Leo sitasema kitu but awiti kwani wewe ni elephant ulikua bully eish

  • @wanderahemprezzsharzyll4574
    @wanderahemprezzsharzyll4574 6 ปีที่แล้ว

    Haha ati shipira hataki kuoshwa kama kufunika ya yogurt 😂😂😂

  • @cliffmeret3358
    @cliffmeret3358 6 ปีที่แล้ว

    Wewe hapa mmejilaza...
    Onyi anatoa viatu akiingia kuiba😂😂😂... No way!! 😂😂

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 6 ปีที่แล้ว +1

    hahaha kigosho ati karao wa traffic na finje hahaha awiti ati utamfinya kama nn

  • @eferykhasungu3805
    @eferykhasungu3805 6 ปีที่แล้ว

    wasee leo mmenipamba mbayaaaaa keep it up guys

  • @blesdgal379
    @blesdgal379 6 ปีที่แล้ว

    Plz next episode musiepeshe njambi atiwe mbaroni

  • @rajabkimtai2397
    @rajabkimtai2397 6 ปีที่แล้ว +2

    Likes za Shiti zikam...
    Top 20 leo.niko ndaaani

  • @hezronaroko6076
    @hezronaroko6076 6 ปีที่แล้ว

    hapana, hapo ni uongo, mwizi gani anavua viatu ako navyo. That tall man Onyango

  • @angie4394
    @angie4394 6 ปีที่แล้ว

    karao wa traffic na fije. bana kigosho is everything

  • @tashabanks4742
    @tashabanks4742 5 ปีที่แล้ว

    Shifira and awiti you guys are real actress

  • @Kenya-dv7ls
    @Kenya-dv7ls 6 ปีที่แล้ว

    Part ya onyi na micheretii ni noma 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chriskatana2140
    @chriskatana2140 6 ปีที่แล้ว +47

    Hizi upuzi ZA sijui 1st to comment ama kulike ni utoi gani?? Si mtu acomment tu kama ameenda ama apige like kama amejipea shughuli akingoja episode next...

    • @margaretmuchiri8649
      @margaretmuchiri8649 6 ปีที่แล้ว

      😏😏Mundu ahenjio ni make

    • @paulinewambui5747
      @paulinewambui5747 6 ปีที่แล้ว +1

      chris katana ebu waulize tena. It's boring

    • @chriskatana2140
      @chriskatana2140 6 ปีที่แล้ว

      Margaret Muchiri what is that?

    • @chriskatana2140
      @chriskatana2140 6 ปีที่แล้ว

      Kama show ni faya congratulate them... kama iko chini waambie na usonge. Nimeenda

    • @lvugutsa
      @lvugutsa 6 ปีที่แล้ว

      Very boring

  • @misterjady
    @misterjady 6 ปีที่แล้ว

    Hizo doh! Onyi nigawe 😀😀😀

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 6 ปีที่แล้ว +2

    hahaha kumbe masai anaweza change mpka akuwe msaprere

    • @latifalativ2599
      @latifalativ2599 6 ปีที่แล้ว

      PHIDELIS ACHIENG NYATES 😂😂😂😂😂😂😂spare ma ribs

  • @festuskiprotich2017
    @festuskiprotich2017 6 ปีที่แล้ว +2

    Nmekuwa nkimwona kigoco KU think amekuwa akisoma

  • @juliemsupa350
    @juliemsupa350 6 ปีที่แล้ว +2

    Shiti spare my ribs😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mudadakolastarz5547
    @mudadakolastarz5547 6 ปีที่แล้ว +2

    Kkkkkkkk shitti cheza chini poa

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 6 ปีที่แล้ว +5

    ati Awiti atapigwa atoe mawe ya nine by nine

  • @mosesibrahim111
    @mosesibrahim111 6 ปีที่แล้ว

    eti Loitokitok,,,,...loitokitok hakuna mtu anaitwa Lesaina

  • @fardowsaabdi816
    @fardowsaabdi816 6 ปีที่แล้ว

    Ghai onyii aki i cnt wait nxt wed

  • @lynm7720
    @lynm7720 6 ปีที่แล้ว

    shiti nakupenda bure aki 😂😂😂😂😂👏👏

  • @lazaruswakaba8748
    @lazaruswakaba8748 6 ปีที่แล้ว

    malate wa his industry. ...shitii manzee

  • @omarshaban9157
    @omarshaban9157 6 ปีที่แล้ว +13

    Doha Qatar likes kwa wingi

    • @lvugutsa
      @lvugutsa 6 ปีที่แล้ว

      Omar Shaban likes ufanyie nini

    • @omarshaban9157
      @omarshaban9157 6 ปีที่แล้ว

      Lornah pumpum uko wapi ni kuambie

  • @cynthiacyndy9095
    @cynthiacyndy9095 6 ปีที่แล้ว +7

    Njambi ni mdogo bt anaharibu shape yake kwanza tumbo tu

    • @angelsuny4222
      @angelsuny4222 6 ปีที่แล้ว

      cynthia cyndy ako na 🤰

    • @gibsonkivinda177
      @gibsonkivinda177 6 ปีที่แล้ว

      Akijiachilia atakua kaa janerose

    • @gogetter1508
      @gogetter1508 6 ปีที่แล้ว +1

      cynthia cyndy anakaa kukulaa tu

    • @cecilycessy1290
      @cecilycessy1290 6 ปีที่แล้ว

      It's like kana bol 🏃

    • @cynthiacyndy9095
      @cynthiacyndy9095 6 ปีที่แล้ว

      James Kariuki 😂😂😂😂kabisa

  • @Chris-ur3gc
    @Chris-ur3gc 6 ปีที่แล้ว

    Njambi na hio mimba yako umepatikana😂😂😂😂😂

  • @kingtachala3786
    @kingtachala3786 6 ปีที่แล้ว

    Shiti abadance nika ako church😂😂😂💯🚀

  • @antoneosoul
    @antoneosoul 6 ปีที่แล้ว

    Kusafishwa kama kifuniko ya yoghurt 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @joycemucheru8806
    @joycemucheru8806 6 ปีที่แล้ว

    Aki kigooco na izo macho ...kai

  • @denniobersen2547
    @denniobersen2547 6 ปีที่แล้ว

    Alafu onyi ,hio angle ya kufungua mlango c itakudislocate back borne

  • @iciemiriam6609
    @iciemiriam6609 6 ปีที่แล้ว

    jaystar nakuona✌

  • @helenmelzig4705
    @helenmelzig4705 6 ปีที่แล้ว

    Aki awiti si unabamba tuu!
    Na krotas leo kizungu imehama?
    But im enjoying though

  • @emagummy383
    @emagummy383 6 ปีที่แล้ว +4

    Kigosho amerudi ama?

  • @jamamohamedjama1158
    @jamamohamedjama1158 6 ปีที่แล้ว

    shiti ukonaa udaku😋😂😂

  • @tafseeralquran5987
    @tafseeralquran5987 5 ปีที่แล้ว

    Keep it up DJ shiti

  • @magdalinenthambi9491
    @magdalinenthambi9491 6 ปีที่แล้ว

    Did shiti just say kwa lipunda 😹 😹 😹 kwa iyo wimbo yake 😹 😹

  • @kofiambaya3866
    @kofiambaya3866 6 ปีที่แล้ว

    Among the toppest three

  • @kenpetegathogo
    @kenpetegathogo 6 ปีที่แล้ว +7

    Siphira ati Kichwa ya Awiti itatoa Mawe ya 9X9 Hehehehee

  • @dominicochieng6816
    @dominicochieng6816 6 ปีที่แล้ว +11

    Aki shiti si utaniua😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🔥

    • @blessingblessings594
      @blessingblessings594 6 ปีที่แล้ว +1

      Dominic Ochieng 😂😂😂😂😂 pia mie yawa

    • @dominicochieng6816
      @dominicochieng6816 6 ปีที่แล้ว

      Blessing Blessings.... mi shiti hunimaliza tu sanaa, kegosho pia ameniua hapo place pa karau na finje

  • @jeffbishopmusic1611
    @jeffbishopmusic1611 6 ปีที่แล้ว

    Am waiting for the next episode

  • @ARTCELLENCY
    @ARTCELLENCY 6 ปีที่แล้ว +7

    Tunaenda swimming

  • @legitboss404
    @legitboss404 6 ปีที่แล้ว +14

    Wanapea shitty dakika mob nani ujinga tupu. ... dah

  • @mwimbimiheso5513
    @mwimbimiheso5513 6 ปีที่แล้ว

    Aki jambi mungu anakuona

  • @therealog8756
    @therealog8756 6 ปีที่แล้ว

    Kali kuliko kibwenye ya dem wangu

  • @SirMartins.
    @SirMartins. 6 ปีที่แล้ว

    Hehe, Shiti bangi unatumia ni ya wapi 😀😀😀

  • @ryanchassie
    @ryanchassie 6 ปีที่แล้ว

    Onyi Huyu mwizi ni mzuri aje anatoka mpka viatu hahahaha

    • @crystalchelagat4770
      @crystalchelagat4770 6 ปีที่แล้ว

      Chassie Chassie halafu umenotice he didn't have to unzip the suitcase? It was open the whole time. ..

  • @marynjeri1859
    @marynjeri1859 6 ปีที่แล้ว

    Turu, Makena n kalekye should be brought back aki

  • @meddeck
    @meddeck 6 ปีที่แล้ว

    Ule mkisii wa pat character, pat pehavior alienda wapi? Arudi priss.

  • @dominicmwende7568
    @dominicmwende7568 6 ปีที่แล้ว +2

    Shiti msaniii

  • @olooesther4574
    @olooesther4574 6 ปีที่แล้ว

    Hera remoooo thumps up crotus

  • @irenenyatich1139
    @irenenyatich1139 6 ปีที่แล้ว

    Woow nice

  • @mosesmuhuthia2664
    @mosesmuhuthia2664 6 ปีที่แล้ว

    aaahh tunaenda swiming

  • @EvansMatheka
    @EvansMatheka 6 ปีที่แล้ว

    Onyi kibroz kumbe ulikua mishoni? Hahaha

  • @maryannecassie4314
    @maryannecassie4314 6 ปีที่แล้ว

    Nilijua njambi utapatikana tu

  • @nelsonmandela622
    @nelsonmandela622 6 ปีที่แล้ว

    Tunaenda cell hapana tunaenda swimming

  • @MrDantesmith
    @MrDantesmith 6 ปีที่แล้ว

    “Tunaenda swimming” 🤣🤣🤣🤣

  • @conniechrist9260
    @conniechrist9260 6 ปีที่แล้ว

    Aki onyi mahali uko jua tu ni mimi na wewe. Huwezi vuka daraja ya umaskini peke yako!🏃🏇

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs9970 6 ปีที่แล้ว

    Shiti ww ni mbule saana🤣🤣

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 6 ปีที่แล้ว +2

    Onyii hapo umeweza

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 ปีที่แล้ว

    Huyu djshiti alitolewa wapi aki 😂😂😂😂😂😂

  • @abdeezycoogi
    @abdeezycoogi 6 ปีที่แล้ว

    Kamau wa ndunguuuh

  • @naimaissa3464
    @naimaissa3464 6 ปีที่แล้ว

    Karao wa traffic na finje 😂😂😂😂😂

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 ปีที่แล้ว

    Shitti ni fala for years😂😂😂😂😂

  • @maggiebernard
    @maggiebernard 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁 shiti uko Na uijnga

  • @هااه-ت3و
    @هااه-ت3و 6 ปีที่แล้ว

    Hii part nimeitafuta sana

  • @eliudgitau8905
    @eliudgitau8905 6 ปีที่แล้ว +1

    Atlst leo nimekuwa top 5

  • @jacksontumaini2593
    @jacksontumaini2593 6 ปีที่แล้ว

    Kuna mtu atafinywa kama ile Colgate ya mwisho kwa tube hahahaha

  • @jemutaijoy5700
    @jemutaijoy5700 6 ปีที่แล้ว

    Onyi waaaaaaah....

  • @princedennisesonga2445
    @princedennisesonga2445 6 ปีที่แล้ว

    Video inatoka when Shiti😂😂😂

  • @iciemiriam6609
    @iciemiriam6609 6 ปีที่แล้ว

    ati siku izi unaitwa fello😜