6.Uhakika wa kundi la tablighi| SHEIKH ABUU KHAWLAH MBWANA 'ABDI ALBAAJUWNIY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @dullahkidofaiter5465
    @dullahkidofaiter5465 3 ปีที่แล้ว

    Mashekh nyie mwasoma faraka katika umma 2

  • @salimabdullah3616
    @salimabdullah3616 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyie masalaf mnajiona watu wa JANNAH mnasoma ili mulete faraka katika dini

  • @salimabdullah3616
    @salimabdullah3616 2 ปีที่แล้ว

    Icje ikawa ww ndo unapotea na kukosea kwa kuwasema vbaya waislam wenzko

  • @nassormbarouk6875
    @nassormbarouk6875 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndio kazi yenu

  • @amaniabdallah1359
    @amaniabdallah1359 2 ปีที่แล้ว

    wewe unafanya kazi ya shetwani kuwakataza watu mambo mema na kuamrisha maovu yaan tabligh ndio imetutoa kwenye giza na ss tumekuwa watu mmekalia chuki tu

  • @بنمفازي
    @بنمفازي 2 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga wewe hata FIRAUN alikuwa Salafi angalia Zhukhruf aya ya 56
    فجعلناهم *سلفا* ومثلا الاخرين
    Jiiteni Waislam ndio jina la Allah sio jina la Ibnu Uthaymin
    هو سماكم *المسلمين* من قبل وفي هاذا.......78 : الحج
    Sasa wewe ni Salafi wa Mafuta ya taa, Barahiyani,Hajawira, Baramika, au Jadida au yupi hasa???
    Twatosheka na UISLAM
    Allah awaongoze
    Amiin

  • @بنمفازي
    @بنمفازي 2 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga wewe hata *FIR'AUN* لعنة الله عليه ؛ *Allah* سبحانه وتعالى amemuiita *SALAFI* angalia Zhukhruf aya ya 56
    فجعلناهم *سلفا* ومثلا الاخرين
    Jiiteni Waislam ndio jina la Allah sio jina la Ibnu Uthaymin
    هو سماكم *المسلمين* من قبل وفي هاذا.......78 : الحج
    Sasa wewe ni Salafi wa Mafuta ya taa, Barahiyani,Hajawira, Baramika, au Jadida au yupi hasa???
    Na yeye alete aya ktk Qur'an au Hadith kuitwa sisi MASALAFI directly sio alete Talbis na kubadili badili maana
    Na azunguke Mashariki - Magharibi - Kusini - Kaskazini hatopata zaidi ya aya hii
    هو سماكم *المسلمين* من قبل وفي هاذا.......78 : الحج
    Mtume (صلي الله عليه والسلام) alikuwa ni Salafi kwa Mitume yote iliomtangulia, tuonesheni wap amejiita Salafi iwe kwa Issa; Mussa; Ibrahim etc (عليهم الصلاة والسلام)
    wote walijinasibisha na Uislam basi
    TABLIGH kujiita Tabligh bcoz wanafikisha tuseme wanabeba jina la kaxi yao bali Waislam na wala wao hawajiiiti Tabligh
    Nyinyi mnajiita MASALAFI wakati twawaona wakati Salafi ni mtu aliyetangulia au msimungunye maneno kama Waislam wa leo hawajakamilika jiiteni Maswahaba wakati Maswahaba wenyewe wakijiita *WAISLAM* maana Allah hakujua mbeleni mnajua leo nyinyi
    Allah atusamehe na atufahamishe
    Amiin

  • @بنمفازي
    @بنمفازي 2 ปีที่แล้ว

    Mwambieni kama yeye anaringia Usalafi hata FIR'AUN لعنة الله عليه، Allah amemuita ni SALAFI akasome Suratul Zhukhruf yote ataiyona maana wao wako na Sherehe tu za nani ...nani....
    Na yeye alete aya ktk Qur'an au Hadith kuitwa sisi MASALAFI directly sio alete Talbis na kubadili badili maana
    Allah atusamehe na atufahamishe
    Amiin