Mwili wa Yesu ulikufa msalabani, Nafsi ya Yesu ndio Haikufa, kwa Siku Tatu ilikuwa Chini Ya Ardhi mahali Nafsi zingine za Wafu zinaenda baada ya kifo, na siku ya Tatu Nafsi ya Yesu ikaurudia Mwili wake uliokufa na Akafufuka, Shida ya Uislamu ni kutoelewa Maandiko ya Unabii maana hata Maana ya Kifo hawafahamu, Mwili wa Yesu ndio Mungu alimpa ili usulubiwe , hakuwa na Baba uzao wa Adamu, Dhambi haikuwepo ndani yake, Akawa Mwanakondoo anayefaa ili kuondoa Dhambi za ulimwengu wote kwa wote wamwaminio
Masha Allah Ustaz
Msomaji, Mtu akiambiwa peana Mic, chukua, hao wakiristo wakikosa jibu huwa wanaleta ubishi na kelele , Maashallah Sheikh Idris ALLAH awape umri mrefu
Asc wlll mahamed setahay dhawada wan dakeersanahy siwayn
KORANI haijakamilika, na huyu mwalimu hataki kuamini haijakamilika anajipigia ndebe tu😅😅😅😅😂😂 WAISLAMU mnashida nyinyi sana Mungu awahurumie sana😢
mwalimu idris anawafundisha wakristo bible yao vizuri na kuwapa mambo moto moto
Mwili wa Yesu ulikufa msalabani, Nafsi ya Yesu ndio Haikufa, kwa Siku Tatu ilikuwa Chini Ya Ardhi mahali Nafsi zingine za Wafu zinaenda baada ya kifo, na siku ya Tatu Nafsi ya Yesu ikaurudia Mwili wake uliokufa na Akafufuka,
Shida ya Uislamu ni kutoelewa Maandiko ya Unabii maana hata Maana ya Kifo hawafahamu, Mwili wa Yesu ndio Mungu alimpa ili usulubiwe , hakuwa na Baba uzao wa Adamu, Dhambi haikuwepo ndani yake, Akawa Mwanakondoo anayefaa ili kuondoa Dhambi za ulimwengu wote kwa wote wamwaminio
Masha Allah Ustaz