NYIEE!! SHABIKI WA YANGA AWALIPUA SIMBA BILA UOGA, "WALISEMA WAMESAJILI VIJANA, KIKOWAPI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    WAZEEE HOYEEEEEEE MAKOFI KWA WAZEE JMN🎉

  • @caprice2558
    @caprice2558 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo kijana mbona ana ongea kama amemeza kitu cha 🔥🔥 binafsi cja muelewa alicho ongea

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vijana wamefungwa na wazeee😂😂😂

  • @Anandezi
    @Anandezi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Billioni 7 haikuwasaidi simba.😊😊😅😅

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kikosi cha million 7 kile🤣

    • @Anandezi
      @Anandezi 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@errydeo8865 kweli kile sio kikosi cha billion 7. Wanachekesha kweli, mbwembwe nyingi utazani wanajua mpira kweli😄😆😀😁😂😅😃.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bilioni saba ya makaratasi labda 😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Anandezi tatizo , mashabiki wanakubali🤣🤣yaani hakuna anayehoji🤣 Na msimu huu,wana kazi! Ligi ndo kwanza mbichi, wanatuhumiana kuuza mechi 🤣🤣🤣🤣 yaani mpaka raha!

    • @Anandezi
      @Anandezi ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@errydeo8865 yaani tutawacheka watani mpaka 2030, tukiwahurumia tutamwambia kipa asidake wafunge wajifariji mioyoni, maana kwa sasa wana hasira sana, wamenywea sana, ubaya ubwela uko wapi😄😄😁🤣🤣😂😆

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba ni watoto wa 2000 tumewapa iphone 16 mpaka Leo wanalialia

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee mwenzangu umeuwaaaa😅😂😂😂😂

  • @fardamkali5866
    @fardamkali5866 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji tunamtaka chinga boy😂😂

  • @JumaMtoroo
    @JumaMtoroo 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unafikili yanga wote watasema nni kuhusu kAYOKO mipango walishaipanga...lkn one day...

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sasa mnataka mchezeshwe na refa gan 😂😂😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@ShawnBeatzwanataka Ahamed Ally achezeshe

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mtamlaumu sana kayoko lkn vipigo kwenu bado vingi tu kwanza mliwaonea dodoma jiji na azam mbna hamkulalamika coast tu wamewatoa jasho

    • @SamweliMango
      @SamweliMango 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wew mlete hata mangungu awe refa