MERCY CHINWO LIVE IN TANZANIA POWERFULL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @giftudo5273
    @giftudo5273 7 หลายเดือนก่อน +3

    It will be so much privileged to meet you one and One,you are God chosen to world 💕💕💕

  • @debbeymajatta2342
    @debbeymajatta2342 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani inategemeana na tukiyo kama nitamasha kwanini watu wasijichukulie pichatu😅😅😅

  • @ferrymalikioli9857
    @ferrymalikioli9857 7 หลายเดือนก่อน +13

    Hizi simu zianze kukatazwa sasa, zina distract watu. Mimi siwezi kumleta mgeni a minister of the gospel kutoka mbali ili ahudumu kiroho na watu hawaingii rohoni kwa sababu ya simu. Hii si sawa kabisa, nashauri kwaanzia sasa hizi simu sisiruhusiwe wakati wa ibada ili watu wafanye kile kimewaleta kumwabudu Mungu.

    • @falijiubamba4155
      @falijiubamba4155 7 หลายเดือนก่อน

      Hadi hasira yaan 😭 Mungu aturehemu

    • @stellawanjiru4278
      @stellawanjiru4278 7 หลายเดือนก่อน +1

      They are just taking memorable photos

    • @sibitasoinda7908
      @sibitasoinda7908 7 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi kwa nafasi Yako ila kumbuka Hii video umeweza kuiona kwa sababu Kuna watu walikuwa busy na 📷 kuhakikisha inarecordiwa mwanzo mwisho
      Wanachukua TU ukumbusho na kama umeangalia Hadi mwisho Kuna mahali simu hazionekani na simu wako busy kusifu na kuabudu

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nope wanaoruhusiwa Wangetakiwa ni watu wa Media na camera 🎥 tuuu hao wa simu too much

    • @silviasanchez2957
      @silviasanchez2957 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa!

  • @enjoymovies8646
    @enjoymovies8646 7 หลายเดือนก่อน +10

    Imefika mahali sasa simu ndio ingoi na kufurahi kuliko sisi wenyewe... Yaaani ni kila mtu yuko na simu juu badala ya kuenjoy the nice music 😢😢😢 daaah okay

    • @janetdundul3858
      @janetdundul3858 7 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅wewe ujui bongo matatizo

    • @EvangelistMiriamIdarus
      @EvangelistMiriamIdarus 7 หลายเดือนก่อน

      Enjoy wewe kama wewe ukitoka tu simu ikaibiwa,safari ya kuchomwa valium imeanza kwa stress na sonona

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 7 หลายเดือนก่อน +6

    Yani wabongo kwa simu apana jamani 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😔😔unatakiwa huwe ndani ya roho sio uwe ndani ya simu 😢😢😢😢

  • @MercyKapihya-qf1lu
    @MercyKapihya-qf1lu 7 หลายเดือนก่อน +2

    It's my prayer that I meet you in personal and talk. I love you so much mom mercy my name sake and inspiration

  • @sarahprotus6817
    @sarahprotus6817 7 หลายเดือนก่อน +2

    So people can not be serious in the presence of God because of their phone.. God have mercy 😭

  • @favourSanangura
    @favourSanangura 7 หลายเดือนก่อน

    Powerful singing please come to South Africa in Durban

  • @EvangelistMiriamIdarus
    @EvangelistMiriamIdarus 7 หลายเดือนก่อน +3

    Simu zinajuta kununuliwa,zameni rohoni kama kweli motive ni kusifu na kuabudu

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa siku akija BENJAMIN DUBE , ndo Tanzania itahamia uwanjani

  • @morethanconqueror2708
    @morethanconqueror2708 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you precious beautiful minister God

  • @agnesskasansa9959
    @agnesskasansa9959 6 หลายเดือนก่อน

    Mercy wangu

  • @commscompany1502
    @commscompany1502 6 หลายเดือนก่อน

    Gosh ! Mercy is gifted

  • @pamelamolapisi6509
    @pamelamolapisi6509 6 หลายเดือนก่อน

    🇿🇦🇿🇦❤️

  • @catherinemakule1965
    @catherinemakule1965 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakwel naona adi aibu.😅😅😅😅 Jamani hizo simu

  • @UpendoJoseph-b3z
    @UpendoJoseph-b3z 7 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania tumemuangusha Mungu busy na simu kuliko kuabudu

    • @sibitasoinda7908
      @sibitasoinda7908 7 หลายเดือนก่อน

      Icheki Hadi mwisho utaona 😊 hapo ni mwanzon TU walikuwa wanachukua kumbukumbu then after walikuwa busy na kuabudu
      Tusiwe wepes wakuona mabaya kuliko mema
      Mungu awabariki kutoa muda wao na fedha zao kwenda kumwabudu Mungu
      Imagine asingeenda hata mmoja😊

  • @VictoryEkor
    @VictoryEkor 7 หลายเดือนก่อน

    I tap form your grace mama❤❤❤

  • @wycliffejuma894
    @wycliffejuma894 7 หลายเดือนก่อน

    Tunajua mko na simu,mziweke kando wakati mungu anhudumia mioyo ya wenye njaa na kiu ya mungu Tania mbaya Sana.

  • @dennisamisi5697
    @dennisamisi5697 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani watanzania mmetuangusha😢simu 😢😢

  • @Excellence4life
    @Excellence4life 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥

  • @stellaoseni3454
    @stellaoseni3454 6 หลายเดือนก่อน

    They are too much with there phones, so sad

  • @Andykeem
    @Andykeem 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ministers of God should be giving warning to people not to be snapping them while worship is going on.
    Mercy chinwo should have used the opportunity to convey the message to the people so they could concentrate

  • @UpendoJoseph-b3z
    @UpendoJoseph-b3z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Mungu aturehemu ,

  • @mtilimsita6675
    @mtilimsita6675 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanachekesha

  • @catherinemakule1965
    @catherinemakule1965 7 หลายเดือนก่อน

    Ivi mlikuwa anaabudu au mnamchukua mercy 😅😅😅

  • @compteelohimmulti-services5429
    @compteelohimmulti-services5429 7 หลายเดือนก่อน

    mama Charis of the Most Hight GOD

  • @catherinemakule1965
    @catherinemakule1965 7 หลายเดือนก่อน

    Nashindwa ata kucconect in spirit. Ata simalizii hii video, not with those phones.

  • @ElizabethJonathan-d2e
    @ElizabethJonathan-d2e 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🇹🇿

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona Israel Mbonyi hamja mwalika

    • @gracenbarnes5254
      @gracenbarnes5254 7 หลายเดือนก่อน

      Akipata kibali kwa waalikaji atakuja tu

  • @bathshebanjingo4932
    @bathshebanjingo4932 7 หลายเดือนก่อน

    Aisee?
    Hivi hatujifunzi kabisa kwemye videos za wenzetu kunapokuwa na kitu kama hiki? Utaona wanabubujika, wanaabudu kweli, wanaomba hadi wananena.
    Hatujafanya sawa ndugu zangu, kha?

  • @dennisamisi5697
    @dennisamisi5697 7 หลายเดือนก่อน

    Instead of lifting hands to the Lord you lifting phones 😢😢😢

    • @SalomeNwachukwu-ol8bx
      @SalomeNwachukwu-ol8bx 7 หลายเดือนก่อน

      Exactly what I noticed. More interest on pictures and videos the essence of the worship

  • @ElimwemaSarwat-nb2fg
    @ElimwemaSarwat-nb2fg 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa watanzania mnaabudu au mmekuwa wanahabar stupid

  • @Bushunze
    @Bushunze 7 หลายเดือนก่อน +2

    th-cam.com/video/rq92u1de1FA/w-d-xo.htmlfeature=shared
    Lazima ucheke tu hapa😂😂😂😂
    Ukishare nkunisapot kazi yangu