Kama ningekuwa mwajiri wenu ningewafukuza kazi mara moja. Yaani hamjui kunadi gari kbs. Hakuna mlivhokieleza ambacho kitamfanya mtu anunue hilo gari. Unaposema haili mafuta hivyo unavyodhani, unamaanisha nini. Tupe statistics bro. Xkm/l, it's a hi-brid car etc
Okay tumeona
Mwenyewe naipenda Sina tu.pesa!!!
nahitaj hyo isuzu jan apo pemben shingp
Yàan car reviewers wa bongo wapo very poor na hawana information za kutosha kuhusiana na gari husika..dah..,
hawajamaa buana white kweli
Mbona wabongo ...munauziana gari bei sana 😮😮😮
nyinyi niwahuni mwingine kasema milion 19 mwingine kasema 20 nani tumuamin bc hio sio gali ya kuifatilia nyinyi nimadalali hatai
Haijaifikia harrier
Harrier is Harrier
Harrier is harrier
Ni Kweli kabisa boss
Kama ningekuwa mwajiri wenu ningewafukuza kazi mara moja. Yaani hamjui kunadi gari kbs. Hakuna mlivhokieleza ambacho kitamfanya mtu anunue hilo gari.
Unaposema haili mafuta hivyo unavyodhani, unamaanisha nini. Tupe statistics bro. Xkm/l, it's a hi-brid car etc
Fact
Exactly , skills za KUingia akilini mwa mteja hawana .... Customer prefer statistics lakini wao maneno matupu ....
Iko chini sana.
Buku jelo
ngoja tujipange
VERY POOR CAR REVIEWERS! SIO MISTUBISHI. BALI NI MITSUBISHI!
HAWAJUI KQBISA