Mvutano wa kesi ya Gachagua umeshuhudiwa kutwa nzima mahakamani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mvutano wa kisheria umeshuhudiwa mahakamani hii leo, kwenye kesi kuhusu kuondolewa kwa Rigathi Gachagua kama Naibu Rais. Kwa kutwa nzima, kesi hiyo haikuanza rasmi huku upande wa Gachagua ukipinga kundi la majaji watatu walioteuliwa kuongoza kesi hii. Mawakili wa Gachagua wakisema majaji hao Eric Ogolla, Anthony Mrima, na Freda Mugambi, hawatafanya haki kwenye kesi hii. Kesi inayotarajiwa ni kuhusu uamuzi wa agizo la kumzuia Profesa Kithure Kindiki kuapishwa kuwa naibu rais, baada ya majaji Chacha Mwita wa Mahakama ya Milimani na Richard Mwongo wa mahakama ya Kerugoya, kusitisha shughuli hiyo alhamisi iliyopita.

ความคิดเห็น • 10

  • @misschaurembo4885
    @misschaurembo4885 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    I'm happy oooh..Mrima aende home

  • @joycepeter1284
    @joycepeter1284 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kenya president is harming Kenyans with his dictatorship. He has been trying injustice to his officers.The injustice stings more when it is enshrined in the legitimacy of law. Such leaders not only fail in their duty but actively harm society, breeding resentment and despair. True leadership should protect and uplift all individuals.God condemns leaders who create laws that oppress and harm the weak and vulnerable. These leaders exploit their power for personal gain, creating policies that benefit a few at the expense of many.Isaiah 10:1 says “Woe to those who make unjust laws, to those who issue oppressive decrees.”

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Feeling happy with RAO and 55 M others 😂

  • @JoshuaNzoka-ti1uf
    @JoshuaNzoka-ti1uf ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kimeumana

  • @Monishkataesh
    @Monishkataesh 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sobodies else go to....

  • @mr.innovator3470
    @mr.innovator3470 44 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu Khaminwa hatawahi tosheka na doo. Inafaa awachie vijana kiwanja.

    • @annmugo5507
      @annmugo5507 40 นาทีที่ผ่านมา +1

      Siwewe uende hapo,kuweni mature plz kicomment

  • @irinemulonzi7410
    @irinemulonzi7410 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mr makendeee EEE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 feeling happy