Urejelezaji wa Plastiki Zilizotumika (Recycling)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
  • Taka za platiki zimekuwa tatizo kubwa kwa mazingira, kijana Edgar kutoka Green Venture analipatia suluhisho tatuzo hilo kwa kutiztumia taka hizo kutengeneza vitu mbalimbali vinavyofaa kutumika na kulinda mazingira. Je unajua plastaiki inaweza kuwa mbao? Tazama video hii kuona mchakato wa kubadili plastiki na kuwa mbao kisha tutengeneza samani mbalimbali.

ความคิดเห็น •