@@davidnyerere2016 ndo hivyo, maana msanii chipukizi akitoa hit song ndo wasanii wakubwa wanamfuata kwa ajili ya remix, mfano leo hii tumewajua mabantu, whozu nk. Kuptia remix, na wasanii wengi walishatoa hit lakn wakapotea tena maana waliamini wametoboa kumbe bado waliitaj nguvu ya wakubwa ✍️🤝
Shida ya Vanny Anapenda kupita na upepo Ajabu Sasa ndio hazifanyi Vizuri ona Kama na Misso misondo yaan nyimbo inavo anza2 unaona Kabisaa hatulii anakupuka2 ili aonekane yupo Aache hizoo Mbona Ni mwandishi Mzuri tuu Atulie Atunge
Punguza Ushamba Elewa Kila Msanii Ana Aidia Zake Nayeye Hizo Ni Aidia Zake Fanya Mambo Yako Muache Nayeye Afanye Remix Zake Unawashwa Nini Pumbafu Kweli Wewe
@@kitilingaKorigwa-hw1cv sio kwamba Kaharibu hatulii akutunga vitu Kama zamani Misso katrend siku1 ya 3 Vanny kashafanya nae Ngoma Apo b4 Msanii anatulia adi miezi anasuka chuma kweli Asa yey sahv akiona Mtu katrend tu kapita nae chap Afuu ki kawaida wanadamu tulivo uleumakini wake unapoa hawi Kama Mwanzo
We nae acha ufala sasa ivi hawa wadogo underground watasaidiwa na nan wew tu apo ukitaka ukitaka kufanya kitu lazima kuna watu watakushika mkono ukikwama boya wewe
Sasa watu wana mshirikisha sasa mnataka awakataliye nani pesa ndiyo wana mpa mbona mnataka kinitibuwa miye mimi team vanny boy mbona wana mshurikisha wenye nyiye vipi😏😡 nabado amja sema yani paka mseme na roho zenu mbaya kwani kushurikishwa zambi?
vanny upo vizur piga kaz achana nao hao wazushi ❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉
😂😂😂😂😂 ze uswege murderer 💫
Hiii ni ipi baba 😂😂😂😂😂😂😂😂 #uswege 🙌🙌🙌
Bila remix Tz tutabaki na wasanii watano tu😂😂😂❤.
Naomba like zetu mashabiki wote ❤❤❤🎉
Real
@@davidnyerere2016 ndo hivyo, maana msanii chipukizi akitoa hit song ndo wasanii wakubwa wanamfuata kwa ajili ya remix, mfano leo hii tumewajua mabantu, whozu nk. Kuptia remix, na wasanii wengi walishatoa hit lakn wakapotea tena maana waliamini wametoboa kumbe bado waliitaj nguvu ya wakubwa ✍️🤝
Wameona vanny boy anakuja juuu
@@davidsika5292 na hiyo inaweza kuwa sababu
Rayvanny ni msanii ambaye ukimpa ..remix😂akufunike mwenye nyimbo
🙌🙌 Ahsante bro unasikiliza maoni ya fans wako tumeiomba hii umeifanyia kazi
❤❤❤ ndani ya uswege moja hiyo
Umetisha 😂😂😂
Sipend nyimbo za vanny sijui niko pekeyng 🤣🤣
Nazani uko peke yako
Shukran sana
Uswede 😂😂 ety ilkwa nimejipanga kukutetea lkn 😂😂😂
Eeeehhh wah MR MAREMIX RAY 🤣🤣🤣🤣
Rayvany anasave sana chipukizi, Grow big bro
Hadi love mwattii
Wale tulia irudia tujuwane apa 😂😂😂🎉
Nimerudia kwa kujua kwamba kuna ngoma kali nilikua sijazikia kwakel ❤❤❤
Vanny wewe piga kazi tu😂🎉🎉
Uswege Kweli Wew Unatisha , Ila Anawapa Shavu Wasanii Wa Changa
haswaa!
Ukooo good
Ety rayvanny maremix 😂😂😂😂😂 we jamaa mkorofi
Ndo mwaka wa kufosi na mtake msitakeeee😅😅😅
Kumbe vanny Hana ngoma n marimix tu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 maua wangu
Acha afanye, atupe vibe
Mbona umesahau na siri😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣tumemchok n remix zak...ameishiw na kutung nyimb zak mpya...amuachie kond boy mtaalam wa mashairiiiii
Kabisaa
😂😂😂😂😂unanuna nini ndugu yangu
Mojaaa
Bado hamjasema
Shida ya Vanny Anapenda kupita na upepo Ajabu Sasa ndio hazifanyi Vizuri ona Kama na Misso misondo yaan nyimbo inavo anza2 unaona Kabisaa hatulii anakupuka2 ili aonekane yupo Aache hizoo Mbona Ni mwandishi Mzuri tuu Atulie Atunge
Punguza Ushamba Elewa Kila Msanii Ana Aidia Zake Nayeye Hizo Ni Aidia Zake
Fanya Mambo Yako Muache Nayeye Afanye Remix Zake
Unawashwa Nini
Pumbafu Kweli Wewe
Sio kwel niambie alich arib katk song ya misondo au kwa dayoo shekh Wang
@@kitilingaKorigwa-hw1cv sio kwamba Kaharibu hatulii akutunga vitu Kama zamani Misso katrend siku1 ya 3 Vanny kashafanya nae Ngoma Apo b4 Msanii anatulia adi miezi anasuka chuma kweli Asa yey sahv akiona Mtu katrend tu kapita nae chap Afuu ki kawaida wanadamu tulivo uleumakini wake unapoa hawi Kama Mwanzo
We nae acha ufala sasa ivi hawa wadogo underground watasaidiwa na nan wew tu apo ukitaka ukitaka kufanya kitu lazima kuna watu watakushika mkono ukikwama boya wewe
@@erickjonh3204 Fala wewe Boya familia yako illiyo kuwa na Mtoto Mpuuzi Kama wewe una hoja lete hoja sio unatukana2 Kama upo haja kubwa
Rayvanny ashaishiwa saizi anapita na upepo wa madogo
🔥🔥🔥
Nice ❤ comedi
Nakubali kijan🤙❤
Amestafu huyo,amebakilia ma remix tu
ana itwa raymex
Maliza kesi ya manara na makabila
Maremix ayo 😂😂😂😂
Mpaka mseme😂😂😂😂
Hamna msanii hapo
Umesahao na mbona haongei
Mbona hacheki
😂😂😂, bado hamjasema
😂😂😂 kazi kwer kwer
😅😅😅 Mr maremix
😂😂😂😂😂😂😂🇨🇩
Huu jama amezidi na remix tumemchoka
Lack of creativity
KAMA KAWAIDA NIMERUDI MOJAAAA
Kashasema mwaka wakufosi
❤❤
😂😂😂 Hamna msanii apo 🚮
Bila Remix atoboi
Aloooo
Sasa watu wana mshirikisha sasa mnataka awakataliye nani pesa ndiyo wana mpa mbona mnataka kinitibuwa miye mimi team vanny boy mbona wana mshurikisha wenye nyiye vipi😏😡 nabado amja sema yani paka mseme na roho zenu mbaya kwani kushurikishwa zambi?
Liki Waku
Za kwenu zkwap tuzione
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😀 😀 😀 😀 😀
😂😂😂
😅😂😂😂😂😂😂
Liki Waku
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂