@@jimj8285 mimi iko pande za milimani kabisa kwenye baridi kali,veve swahili penda sana dawa swahili jinga sana kila dawa nakunywa, alafu inapona, haha swahili kichwa ngumu sana.
@@jimj8285 weee achana na mimi mind your business, tena usipende kunizoea, sasa kinachokuuma ni kipi kama wewe ni from manzese or whe ever mimi yanihusu nini, kwani umelazimishwa kusoma mbulukenge.
Mkali wangu khanjabali umenimalizaleo🇰🇪😄😄😄😄😄
Mtanga unaweza sana kakangu napenda tutazama nikiwa kanairo kenya 🇰🇪 bboy Melvo
Dah nimecheka sana mtanga akili hana hata kidogo....🤣🤣🤣🤣
Sijachelewa leo from Zanzibar
Nimecheka sana mtanga katisha muc luv.
Lazima nifalikoo 🤣🤣🤣😂 bambo
wakunyumba unatuwakilisha vzr xnaaaaaa ata Vumilia mbawala analijua ilo ndani y bombambili sokoine atuna mda wakupoteza
😄 🤣 😂 😆 Leo mtanga umeniuwa waa panadol kila ugonjwa kwanza huku kwa WARABU 😄 🤣
Ha ha ha mtanga umenichekesha, swahili jinga kabisa, akiumwa kidonda, panado,akimwa kila kila kitu panado. 🤣🤣 love from Switzerland.
Hatmae nmemuona mariam wa swiz😂😂
@@shijaenock7638 ndio mwenyewe 😅
@@jimj8285 veve jinga zaidii veeee
@@jimj8285 mimi iko pande za milimani kabisa kwenye baridi kali,veve swahili penda sana dawa swahili jinga sana kila dawa nakunywa, alafu inapona, haha swahili kichwa ngumu sana.
@@jimj8285 weee achana na mimi mind your business, tena usipende kunizoea, sasa kinachokuuma ni kipi kama wewe ni from manzese or whe ever mimi yanihusu nini, kwani umelazimishwa kusoma mbulukenge.
Msichoke baba zangu 😘🙏
huyu Kanjibhai au Mmasaii😅😅😅😅uuuwwwiiii😅😅😅
Hii Kali sana🤣🔥
Baba swahili jinga Sana 😁😁😁
Broo unajua kipaji san 🔥🔥🔥🤣🤣
Bambo mzee wangu nakukubali
Amesomea mining Bombay na anatoa kitamba Tz
Much love from Kenya
Mtanga nomaa sana
Dah huyu jamaa nafurah Sana akiekti muhindi anawapatia sanaaa bora tuletee comedy izo za kanjibay
🤣🤣🤣Twaha kiduku,Dullah mbabe
Skio ziii 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo kwa kusomea 😂 😂 😂 😂
Uko vzr sana lkn Vizur pia kuweka maandish ya English hapo chini muwe na viewers wengi zaidi
😂😂😂😂😂legendsssss!!!
Watu wa Afya wanaipenda sana hi🤣🤣 pharmacist
Nenda katoe mimba 🥴🥴😂😂😂😂
Bandama baba 😁😁😁
Walahi kanjibai yo the best
Just cant stop loughing😂😂😂
Kkkkkk hoje hoje bom trabalho
Huyu ni mmasai si mhindi
Kanjibai unazarau eti swahili umwa umwa hovyo🤣🤣🤣🤣🤣
Swahili napenda panadol
Naona swahili ilivyoooo😄😄😄😄
Aiseee nyie jamaa ni hatariii sana 🤣🤣🤣🤣
Safi sana..hahahah Swahili mtu ya ajab Sana ..
Mnaua sana wazee
Hahahahahahaha Swahili akiumwa na kichwa, tumbo, mshipa, mguu, nywele, jicho, pua zote ameza panadol
😅😅😅😅 Swahili mutu ya ajabu sana
Nanywele anaumwa
Swshili Umwa Sanaa Hii Swaaahili😂😂😂😅
Duuu kutoka kwenye mining mpaka madawa duu
Mtanga ni msanii OG jmn
Dah hawa jamaa hatari unaweza ukacheka peke yako, eti dawa ya kutoa mimba a a a😂😂😂
fyunzi ile nalia boom
Awa wawili noma sana
Bambo nakukubali sana
Khanjibai kiboko!!kasomea mining!!!
🤣🤣🤣🤣 huyu mtanga daaah
Baba swail shida san😂😂😂
Nakushtakooooo
ana ana doo lol
Mimi nakushtako
Et nitatoa NN ,😄😄😄
Nikijambo mavo yanatoka ya moto 😂
Pamoja from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
hahahhaha swahili shamba sana dawa ya kutolea mimba
Aah 2:32 aaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha, sawa ya kutoa mimba
Hahaaaa, SWAHILI JINGA SANA....SIJUI IKOJE SWAHILI JINGA KABISA...!
Mtangaaaaaa
nzur
Swahili jinga sana ikiumwa inajua gonjwa yake bila kupima swahili ya ajabu sana
Daah munanivunja mbavu
😂😂😂mtanga bana
Hhh hhh jmn mimi fuuu kanjibai
Swahili inatembea na maabara
Safi wadau
Haya bambo ushameza dawa ya kutoa mimba 😃😃😃
Sijui naitoa wapi
@@jimj8285 Nipe namba yko bc
Dawa ya kutowa Mimba hahahaha!!!!
Nikijambo😂
Anatisha sana jamaa
Ukikonda unaambiwa unaumwa ukimwi,waswaili bana.
Mtanga
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🙌🙌👏👏
Hhhh yakutoa mimba hatar
😅😅😅😂😂😂2023/10/27Nafurahi sana kuwaona
Dawa ya kutoa mimba😂😂😂😂
Hhhhhhh too much laughing
Nmecheka sana
🔥🔥🔥
😅😅😅😅mm naku shitako
Mhindi wewe tibu wagonjwa kazi yako lawama tu hahaha.
Marelio 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂 eti Fyunzi
Hhhhh ile nalia pa!
Chizi mziki inaendelea lini tunasubiria mtanga ukienda mjin kutafta campn tunaona kimy haindeleii part ifuatayo
Wiki ijayo boss
Ok tunasubiria kwa ham from Zanzibar na mukij Zanzibar lazm munishtue man mm nip mpenz wenu mkubwa namaliz band kwa ajili yenu
Hapo kwanza homA imeisha bamboo
Mariam fiksi unamjua kumbe utu wetu WA pangani
Ha ha ha mtanga wananijua sana, wa sakura na pangani ndio sisi sisi .
Tumia akir tumia na tope yk chiengezeee
Yan muind copyright nakubali mtanga
Mtanga vx bambo
Wakwanza
Wewe Bambo ya nini polisi hio dawa itakusaidia kupunguza tumbo tulia banaaa achana na Kanjibai
Wamerudi na nguvu
Mi nakushtako
Nikiumwa malaria najijua
Usiogope tupo pamoja nitakupigia
Maleriooo
Hehehe
Kanjibhai
😂😂😂👌
Eti haitatoa mimba itatoa bandama
wa pili
Mgonjwa ndo anataja dawa
😂😂😂 🔥