Mziki ni chombo kinachotusafirisha kwa haraka Sana kwenye past life hususan ukipata mwimbaji mtam kama uyu dada. I don't know where she is now days but angekua ni moja ya artist wakali mno
Hadi 2019 bado nasikiliza ngoma zako Renee nilikuwa NAKUPENDA Hadi leo bado napenda kazi zako japo zingine hazipo u tube kuacha kwako mziki niliumia Sana na bado nafasi yako ipo Hadi leo though umeokoka.
in 2005 i was in standard 5 & i guess it was the time this song came out , renee lamira i grew up listening to your music .this was my favorite song back then plus fitina .... i love your music
Acha nilie kwa furaha nakumbuka nikiwa darasa la pili wakati napanda daladala kwenda shule naipenda sana hii nyimbo hata kama haupo kwenye game saiv ila asante sana kwa ngoma zako zitaishi milele Renee Lamira hakika ulitokosha sana
yani hujui tu how long nilikuwa nikitaafuta this song every were, leo nikasema ebu ni endelee kujaribu, hii nyimbo imetoka nikiwa mdogo sana, mi nilishika maneno ya chours i always thought nyimbo inaitwa inogile hahahahah, ndo nicho kuwa na sachi siku zote
Huyu dada angekua mbali mno cz ni type ya kina vanessa,yan lugha ya kingereza anaiweza plus her talent angekua very far.Nakumbuka aliwah kuwa nominated Kora miaka hio,na alishawahi ku perfom pia mara kadhaa.Naskia aliokoka na story kwenye mziki ikaishia hapo.
Been looking for this song for years!!! ❤❤❤❤🎉🎉
The last time I listen this song I remember the last day I finished form two necta exam, how wonderful the song is connected to my history
Imagine having two or three songs at the time and she went on to perform at the Kora Awards. She was a Tanzanias Finest.
Nimeamka na memory ya huu wimbo leo, am happy nimeupata!! 2023
amigsdalahuggy wuggy kombolewa
more
I have spent half of my life searching for this song, now i can die in peace😊
Lucky me. 2 searches nikapata. Last time I heard this song must be 20 years.
😂😂😂😂😂
2024 watching ❤
Wimbo huu ni mzuri sana uko fire 2024 nausikiliza tena
who watch ths in 2020!
nilikua nautafuta huu wimbo nmeufuma leo, uko wap we dada ulianzaga vzr
kombolewa!!!
This is still my best song 2021...... rudi tuu kweny game unajua sanaaaa
yeeea! slayed
Nimeamkaa na memory ya hii nyimbo 2025
Tabasam flan kama la tiwa savage
ighhia
kombolewa, urrutia!
Mziki ni chombo kinachotusafirisha kwa haraka Sana kwenye past life hususan ukipata mwimbaji mtam kama uyu dada. I don't know where she is now days but angekua ni moja ya artist wakali mno
ya!!! Kombolewa bona, lamira urrutia
Hadi 2019 bado nasikiliza ngoma zako Renee nilikuwa NAKUPENDA Hadi leo bado napenda kazi zako japo zingine hazipo u tube kuacha kwako mziki niliumia Sana na bado nafasi yako ipo Hadi leo though umeokoka.
nora Frowin alifariki kitambo
2021 niko hapa jamani🥰🔊
in 2005 i was in standard 5 & i guess it was the time this song came out , renee lamira i grew up listening to your music .this was my favorite song back then plus fitina .... i love your music
No it was 2003
Fauzi Abudallah duh zaman sana
it was actually when kombolewa was releaed!!
Urrutia
I have been looking for this song all my life, now I can die in peace.
😂😂😂 you're not alone
👍😁😁
im dead🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I loved this song when I was in primary😍😍😍2020 still sweet
x3!!!
Acha nilie kwa furaha nakumbuka nikiwa darasa la pili wakati napanda daladala kwenda shule naipenda sana hii nyimbo hata kama haupo kwenye game saiv ila asante sana kwa ngoma zako zitaishi milele Renee Lamira hakika ulitokosha sana
kombolewa! Hódar, urrutia bona el equisvenir
i cant escape the comment section, been here since 2018.
It's not an option. Help.
MAN IM DEAD, kombolewa
maskin hv upo jaman dada? yaan huwa naipenda hii ngoma haswa kolas ndo uliua kinomanoma jamaniiii inanikumbusha mbali sana hii ngoma
yess urrutia jkombolewa
Ngoma ya kwetu moja kati ya nyimbo bora sana kwangu na mavazi ya asili yetu
Throw back when music has meaning and manners!!!!!!!
whatd oes this mean to you? SLAYED
🕺 💃
dance dance!!
Straight from tiktok
Leo nimekufumania nilikuwa nakutafuta siku nyingi
I have been looking for this song for 5 years without remembering the title. Am so happy to finally find it
been searching for this jam forever
Kati ya nyimbo nilizozitafuta kwa muda mrefu hatimaye nimeipata😁
kombolewa
Ngoma hyooooo uhuuuuuuuuuu kitambo sana 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
duh nakumbuka mbali kinyama hili songi na songi la fitina dah
Fitina mbn haipo utube
Ipo bana jmn
Aisee! Back in times, Renee kipaji chako kinaishii.
Renee Lamiraa,,, kitambo sana aisree,, way back. Kipaji anachoo
Daaaaah izi nyimbo za zaman zinanipeleka mbal sana kikumbukumbu
Nimekumbuka miaka mingi sana zamani.😊😊
Yuko wapi siku hizi Renee?
daaaah jaamaan what a best song rudi tens dadaaaaa hiii ni hatari
Inanikumbusha mbali sana
weee dada jamaniii bado tunakupendaa na nyimbo zako bado tunazipenda rudi kwenye mziki jamanii
Ivi yuko wapi huyu msanii anajua kazi huu wimbo au remix upya ashirikishe Mafiki zoro utakuwa hit song
Hii ngoma kweli imekolea beat..ngoma inogire.
Where are you nowadays.? Why you left music at your pick and younger age.?
I saw you in South Africa, the performance was great
Huyu Dada yuko wapi jaman
are u a hilichurl!!?? KOMBOLEWA
Breakdown ni Tam. Kumbe ameokoka Safi sana
nakubali sana mpaka sasa
Ilove you so much
yani hujui tu how long nilikuwa nikitaafuta this song every were, leo nikasema ebu ni endelee kujaribu, hii nyimbo imetoka nikiwa mdogo sana, mi nilishika maneno ya chours i always thought nyimbo inaitwa inogile hahahahah, ndo nicho kuwa na sachi siku zote
Divyesh Patel hata mm ndo nimekuja kuiona leo
Nimekuja kugundua umma wote ulikua ukiitafuta hii nyimbo bila mafanikio. Hatimaye sasa tumeupata.
Ogopa fitina Mimi nakuhusia ni sumu ya taratibu itakuumiza
❤❤❤❤❤
nili hahaa kuitafuta huu wimbo
yaaani mimi nakumbuka nilihaha mno pia..niliwahi kuiona eatv mara moja tu..nyimbo nzuri mnooo
💗💗
Huyu dada angekua mbali mno cz ni type ya kina vanessa,yan lugha ya kingereza anaiweza plus her talent angekua very far.Nakumbuka aliwah kuwa nominated Kora miaka hio,na alishawahi ku perfom pia mara kadhaa.Naskia aliokoka na story kwenye mziki ikaishia hapo.
Dah aisee kumbe aliokoka
2020
Tumwekee video ya fitita
nmeutafuta huu wimbo mbaka basi bado ile ya fitina
What happened to her. She was brilliant
Yan siamini kama hii keo naiyona tena maana nikikua dogo sana
Sijuy kwanini asirud tena kwwnye gam
Weka video ya fitina
mhh, alikuwa wapi huyu? ataweza kurudi kushindanA na v~money
Huyu dada yuko wapi? Watanzania wengi hawakumuelewa kabisa ila ulaya angeuza mno.
Kati ya nyimbo nilizozitafuta kwa muda mrefu hatimaye nimeipata😁