UDHIHIRIKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @idefoncenicholaus9834
    @idefoncenicholaus9834 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni nyimbo mzuri inayoleta tafakari ya kiMungu

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @JosephPaul-qm1gu
    @JosephPaul-qm1gu 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa kazi nzuri mliyoitendea haki katika uwasilishaji
    Mdada aliyecheza mwenyewe mda mwingi ❤

  • @amossamaka2914
    @amossamaka2914 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU UDHIHIRIKE MAISHANI MWANGU!, AMINA

  • @YustaMsakila-dc3bb
    @YustaMsakila-dc3bb 4 หลายเดือนก่อน

    Maua kwenu Kmmmm.
    Mnasukuma tu gurudumu la gari la Yesu.❤❤❤❤

  • @happyngowi8360
    @happyngowi8360 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzurii sana Mungu awabariki

  • @barnabaskurubone7019
    @barnabaskurubone7019 4 หลายเดือนก่อน

    ❤Ninakutegemea Wewe tu. Mungu Udhihilike maishani mwangu ❤

  • @helenaluchenja7403
    @helenaluchenja7403 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu adhihirike Kwa watu wote❤

  • @hermanbonitus866
    @hermanbonitus866 4 หลายเดือนก่อน

    Majaribu yakanifundishe kukitegemea wewe, wewe ukawe ni msaada wakati wa Magumu.
    Mwl Thom 👏👏👏
    KMMMM Bravo familia yangu.

  • @raphaelfidelis4846
    @raphaelfidelis4846 4 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa Kwenye majonzi, Mungu udhihirike kwangu. Hakika ni wimbo utiao faraja na Tumaini jipya. Nainuka, nasonga mbele.
    Hongereni sana Kwa kazi nzuri, Mungu awabariki kwa uinjikishaji huu.

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Mwl Asante Sana!.....

  • @PriscaAkalima
    @PriscaAkalima 4 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwatia Nguvu katika Utume wenu 🤝👏👏

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante Sana ndugu yetu

  • @holyhapp
    @holyhapp 4 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana. Hakika anaeimba anasali mara mbili

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante Sana Mungu akubariki

  • @CastoryKapinga-nb7ht
    @CastoryKapinga-nb7ht 4 หลายเดือนก่อน

    MMEUPIGAAA MWINGII MN9OOO MTWARA MBARIKIWE SANA

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante ndugu yangu

  • @shinjengalula7637
    @shinjengalula7637 4 หลายเดือนก่อน

    Mbalikiwe sana kwa kazi nzuri

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante Sana kwa kutuunga mkono

  • @happyvasco4546
    @happyvasco4546 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @kasimkanti7618
    @kasimkanti7618 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @FaustineCare
    @FaustineCare 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sanaaaa🤲🏻🤲🏻🤲🏻

    • @Kmmmm2022
      @Kmmmm2022  4 หลายเดือนก่อน

      Asante

  • @williamamos8180
    @williamamos8180 4 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kwa kazi wapendwa ,

    • @MathewRockman
      @MathewRockman 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu awabariki na awe pamoja nanyi katka magumu na Raha na awafungulie njia sahihi paka hatima mungu aliyowapangia.mnapendeza mkiwa Ivo ktk bwana ila binadamu mmmh mungu atawapa njia ya kuwathibit🤝🙏🧎

    • @williamamos8180
      @williamamos8180 4 หลายเดือนก่อน

      @@MathewRockman Asante Sana ndugu yetu Methew popote ulipo Tanzania!