Wanawali Kumi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Wanawali Kumi
    Mtunzi: Gospel Flames
    Key: F Major
    Wanawali kumi walimngojea Bwana wakiwa na taa zao;
    Wote walilala, taa zikazima, wakimngojea Bwana wao.
    Waliposikia kelele -- wakaamka,
    Waliziwasha taa zao -- kwenda kumlaki;
    Wale wapumbavu wakashangaa --
    Hawana mafuta kwenye taa zao;
    Wakatoka kwenda kununua mafuta wakafungiwa nje!
    Je, taa yako inayo mafuta Bwana harusi akifika?
    Kama taa yako haina mafuta ujiweke tayari.

ความคิดเห็น •