MPYA: GAIDI MWENYE MOYO WANGU - 1 & 2 SIMULIZI YA UJASUSI UGAIDI NA UPELELEZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 8 วันที่ผ่านมา +4

    Asante sana D'oen kwa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 8 วันที่ผ่านมา +5

    Waaa SRR kafanya mambo huku ❤❤❤❤

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 5 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @margepeter6697
    @margepeter6697 8 วันที่ผ่านมา +3

    Jina tu ❤❤❤❤

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 8 วันที่ผ่านมา +4

    Smix tunayo na tunatamba nayo. 🥰😍Mwaaaaaaah

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 8 วันที่ผ่านมา

      Hata Wewe.😂😂😂 mbona hukuniita😊

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 8 วันที่ผ่านมา +1

      Yan nimekutafuta kipnz sijakuona kwanz leo nilijua hamn simuliz wang 😁weng tumestukia saa nane nimeingia online ndio naon hv vitu

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 8 วันที่ผ่านมา

      @@MYME-u5d Ata Mimi nilikuwa nachungulia chungulia mpka nikakata tamaa 😂😂mara nikaona kitu hichoooo

    • @MYME-u5d
      @MYME-u5d 8 วันที่ผ่านมา

      Leo Smix wametuweka haswaa

  • @Wakiomiss.78
    @Wakiomiss.78 8 วันที่ผ่านมา +3

    Leo nimewahi🙏😃😃😃😃💃💃💃💃

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asant sana D'Oen nilikuwa nagukumbuka🎉🎉🎉🎉 kitukipya mukuyeeeeeeeeeeee piga kererereeeeeeeekwa Oen wetu💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥inaonekana nikaza mimiwakwanza🎧🎧🎧🪑💐💐💚💚💚

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ooooh asante 🙏🔥jaman ila mnajua kututesa akii😂😂

  • @Saida-tv2vj
    @Saida-tv2vj 8 วันที่ผ่านมา +8

    Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 8 วันที่ผ่านมา +3

    Tupo pamoja sana

  • @salumrashid5153
    @salumrashid5153 8 วันที่ผ่านมา +3

    Twende kazi

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 8 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂 nahic Brenda anawafanyia makusundii anahakilii zake vzr 2

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 7 วันที่ผ่านมา

    Hii simulizi ni nzuri sn ina mafunzo ndani yake pia ina chekesha sn jmn 😅😅😅😅Asante sn simulizi mix na D'oen 🎉🎉🎉😊na muandishi pia kazi nzuri sn jmn Mubarikiwe sn jmn 😊😊🎉🎉

  • @AnastasiaWanja-g3u
    @AnastasiaWanja-g3u 8 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wanakesha hapa😂😂😂😂

  • @AshuraMtiko
    @AshuraMtiko 8 วันที่ผ่านมา +2

    Pambeeh 🎉🎉

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ila anko fredy ni jasusi wa kimya kmya anajifnya mjinga kmbe htr 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 7 วันที่ผ่านมา

    Heee afadhali Bi Salma R amekuja kutuchekesha 😂😂😂ofwiiii mana tulikuwa twapambana na vita tuuu thanks simulizi mix 🫡

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 8 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤🎉

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 8 วันที่ผ่านมา +2

    Duuuh vibay jaman 😂😂😂dah kumbe huku kunasimulizi hata hamkunishtua😢😢😢

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 6 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤🎉

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 7 วันที่ผ่านมา

    Hey d oen sauti jma ya umiza mtima wangu

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 7 วันที่ผ่านมา

    Ila apa n full vaib aky n ntku ❤❤😂😂

  • @Aishwaraimasiennah
    @Aishwaraimasiennah 8 วันที่ผ่านมา +2

    Brenda ni mgonjwa ama anamchezo😂😂😂😂

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@Aishwaraimasiennah michezo hiyo 😂😂😂 ngoja tutajua tu

    • @Aishwaraimasiennah
      @Aishwaraimasiennah 8 วันที่ผ่านมา

      @@AnnaMelikion 😅😅😅

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yani hapo kwakusengenya mtu halafu pap ametokea hii mbayaa isikupate iishie humu ndani yani rechoo kazi hana haha walimuua baba babu lkn bibi mjukuu vitukuu vyamtume hawafii leo wala kesho..sasa huyu mama brenda fake ilikuaje akatelekeza mtoto wake halafu anakuja kulea mwingine nimali mlifuataa😂😂wakati mwenye mali kumbukumbu imerudii kaxi mnayoo mali bila jasho nikama maji yanapanda mlima mana haiwezekani

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 8 วันที่ผ่านมา +2

    Gaidi wa moyo tena jmn kafanyaje?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @IsackYahona-rs3qi
    @IsackYahona-rs3qi 3 วันที่ผ่านมา

    Jaman simuliz ya inoncent killer iko yap

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu brenda atanyoosha watu kweli kweli yani mlimuulia babayake mkafikiria hana kumbukumbu huyu mpelelezi arudi chuo awachiewengine kesi

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 8 วันที่ผ่านมา

    Mlevi tena daah😢

  • @AnanaAnana-r5v
    @AnanaAnana-r5v 7 วันที่ผ่านมา

    JAMANI MUENDELEZO

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 6 วันที่ผ่านมา

    Salma 😂😂😂😂 unajua kutukosha unakawia lakini ukija mbavu lazima ziumee 😂😂😂😂

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 7 วันที่ผ่านมา

    Yani hii ni kuvunja mbavu mwanzo mwisho 😂😂😂maana huyu salima hajawahii kutuacha salma kabsa 😂😂😂

  • @aminah9557
    @aminah9557 7 วันที่ผ่านมา

    Ila huyu breda anaigiza kuwa hana kumbukumbu