Kila sehemu mko vizuri na NAPENDA kazi zenu . Ila shida naiona sehemu moja2 movie zenu karibia zote mmeegemea kwenye dini moja ya kislamu siyo vizuri ila samahani kwa ushauri wangu ila naona mpalekebishe hapo
Nimewavumilia sana nimeshindwa kwasababu nawapenda sana nimeamuwa kuwaambia ukweli sasa naomba kweli muweze kurekebisha sauti maana sauti kila ninapotazama movie sauti zenu nambaali labda sim Yangu ndo Ina tatizo jamani
Iyi kazi zuri kwa bahilam na wetu wake naipenda kabisa kotoka kongo 🇨🇩🇨🇩🫶🫶🫶❤️
Kazi nzuri bro bhailam Naomi mariam kheirat mzee simba Big up sana
Wakwanza mimi apa . Wanangu wa burundi 🇧🇮 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunafundishwa na kujifunza kua hasira yenye kisasi kilali huaribu afya yako mwenyewe,,tujifunze kisamehe na kuachilia vitu vinavyo tuumiza,,,pole Mzee Masoud umenifunza pakubwa sana wallah😢😢😢
Kuwai kote nimekuwa wa 100 aya team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda mno nawaomba tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Tukopamoja.❤❤❤😂
Nampenda khairat jaman katabasam kake basi nakapenda
kazuri sana
Wow na mm nimewahi Asante kwa Muendelezo 💐💐💐💐💐💐💐🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Kazi nzuri nawependa sana mungu awaongoze
Iko vizuli sana jamani mnajua kucheza movie na hakika tunajifunza vitu vingi sana 💐🎁💃🏼🇹🇿
Congratulations ❤❤❤❤
Ukitaka hamsa atowe siri mwite muze😂😂😂utamujuw yey nani
😂😂😂😂
❤❤❤ my lovely naomi
Jojo Yuko wapi jamani
@@witnessmaturege2944chuo
Chuo@@witnessmaturege2944
Bhailam nakukubali sana toto la kifipa❤
Mtoto wa shekhe ❤❤❤❤ team bhailam ipo kazin ❤❤❤
Kazi nzuri jamani nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉
Leo mmetunguzia dakika xijapenda turudixhieni dakika season inayo fuataa.....
😂😂😂Mze Hamza unamambo kwaiyo asiliye ju mze Masudi sio bb yake mzazi umesahau kama ni bb mlezi 😂😂parapanda italiya nini ndouzuri uwacane😂😂
😅eti parapanda Inalia parapandaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂ndo uzuli aache unafiki mzee hamza😮😅
😂😂😂😂ndo uzuli aache unafiki mzee hamza😮😅
😂😂😂😂😂😂😂 ndio uzuri huo
Hongeren Sana ❤❤
Huyu kaka doctor ni mzuri jamn
Ndi uzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nice 👍👍
Nimewa sana😂🥰🥰🥰
Amiin yarabi
Bwana yesu asifiwe 🎉asalam alaikum 🎉🎉🎉🎉 leoooo kabisa nataka like plz
Ameen kipenz,like unatak uzipeleke wap my dear😂😅😅
W,salaam na milele amina😂
Unataka likes uzifanyie nini😂😂😂
ALAAIIKUMKRISTO❤❤
Amen
Uzur ni kuchanae wataka kuropokwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yule si babako.ya hamza waniachanga hoi wallah
😂😂😂Mzee hamza anafanya hii movie iwe nzuri sana
mzee kidogo aropoke yote hapo😅😅
Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kazi nzur jmniii naomben like sjawah pata like ata moja jmniii😢
ety palapandalitalia 😃😃😃 ila nawapenda jaman mamu na naomi💯🌹
Ila hamza dar❤❤❤❤
Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉
Mzee hamza anaichangamsha hii movie
Kazi iko poa sana 😂😂
Ila mzee hamza kumbe bdo ako na kisasi cha mkewe😂😂😂
Good job B😊hailam
Mapema kabisaa❤❤🎉
😂😂😂mzee ndouzuri nkuchane naye 😂😂watu wanahuzuni yeye ameanza kubwabwaja umbea tu kuacha aaaah 😂😂😂
Good job
Leo chozi ñimenitoka 😢Mzee Simba una komfidens ya hii move vibaya sana yaani unaitendea haki sana Sasa akifa shehe massoud itakua dida ndio sababu😢
Mzee anza😂😂jouzuri
Anawacana watu
Awambiya ukweli 😂❤
Ndo uzur nkuchane😅😅 mzee hamza
Mungu akujariyee chehe masude 😢😢😢
😂😂😂😂
Somo bila gharama yoyote tunajifunza mengi mazuri hum ndani 🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Safi sana
Yani Huyu Mzee hamza duh kweli noma kabisa sijawai ona zee la ovyo ivyo
Nzur sana
Binti Hailat❤
Amiin
Hamza kidog atoboe siri😂😂😂😮
Mzee uzuri anataka kuropokwa😂😂😂
I wish you blessings 🙌 tunawapenda Sana huku Burundi 🇧🇮 pia Mmetufunza kabisa❤ tunawapongeza sana🤝
Wakwaza leo😂😂😂😂😂😂
Ndo uzuri alitaka kutumbua jipu bhn 😂😂😂😂
😂parapanda italia parapandaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
56.maua kwa mzee simba andi Naomi ❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅
Kila sehemu mko vizuri na NAPENDA kazi zenu . Ila shida naiona sehemu moja2 movie zenu karibia zote mmeegemea kwenye dini moja ya kislamu siyo vizuri ila samahani kwa ushauri wangu ila naona mpalekebishe hapo
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mauwa 🎉🎉🎉🎉🎉yako mzee Simba mzee msataarabu,mtaratibu na mwenye busara na hekima tunakupenda sana ila Bailam punguza wanawake ama tukuchape😂😂😂😂😂
Wa 122 kutoka dar es salaam
Ndo uzuri😂
❤❤❤❤👌👌
Mapenzi yanauma 😂
Ila huyu jamaaa eti ndo uzuri😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
❤❤❤
❤
Pongezi kwa kaz safi
tawile💖bwanayesu asifiwe,✨✨asalam alaikum🌺🌺like siwalazimishi
dida mzr na anarangi nzr
Tunae mkubali mzee uzuri wekeni link
Kama una roho kama ya Naomi ya kukubali uke wenza njooo hapa nikuone 😂😂😂😂😂je unaweza
mimi hpaaaa
@@nyamiziramadhani4232we kuweza😂😂
Na mm wapili😂😂
Wakwanza leo
Mzee hamza bana😂na utani wake
Noamy wew ni bora mke
Inamana sio mke bora😂
Heee makubwa kwaiy unamuuwa au we si umemwambia mwanao sio vizur kuuwa😢😢😢
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂❤❤❤❤❤
Mzee simba khatma yakufa anayejua ni mungu,huenda ukafa ww akabaki yy alokua anaumwa,ila umeongea hayo sababu ni filamu tu 😂😂
Mtu kama yuakaribia kufa kuna dalili hujitokeza. So mzee masoud ameziona izo dalili ndio mana kasema hivyo.
@@ramadhanmbwana2603kama zipi toa moja mfano
Kafkiria tu huyo mzee simba,dalili huziona ww mwenye kufa nasio mwenye kuuguza,mwenye kuuguza anawaza mtu afe au apone tu basi.
🎉🎉🎉🎉❤
Ila dida mzuri mashallah
Weeee mzee hamza una mambo 😂😂😂😂😂
Jamani shekhe masudi 😢😢
Roho mbaya yoooooote kwa baba yake Naomi ndomtu anaemsaidia😂😂😂
@@m.mmarckus6298 yaaani, tuishi na watu vizuri hujui nani atakekuokoa wakati wa dhidi 💯
😂😂😂😂😂
Ndo uzuli huo 😂😂😂
Wa pili mm
Masudi kwaheri😢😢😢
Wakwanza mm
Hamza ashamchana Hailati😂
Mzee Simba kwenye nafasi ya kuigiza kama maalimu wa kutibia mwenye waalimu wake kichwani utasema ni kweli anaona 😊
Nimewavumilia sana nimeshindwa kwasababu nawapenda sana nimeamuwa kuwaambia ukweli sasa naomba kweli muweze kurekebisha sauti maana sauti kila ninapotazama movie sauti zenu nambaali labda sim Yangu ndo Ina tatizo jamani
Acha niwasaidie kujibu maybe simu yako Ina matatizo saut Iko sawa kabisaa
Kazi nzuri sana
Really appreciate team
😂😂 uwouchuro sas hee ndouzur palapanda italia
Mzee hamza 😂😂😂kaitwa mzee kachafuka roho hadi akili
We gres uyi simume nipasua kichwa wauza kiwanja ili akamroge mariamu awe mchepuko wake
Team Mzeee Simba Naomba LIKE zenu
kazi nzuri 🎉❤❤
🎉🎉🎉❤❤❤
Du kipengere kweri 🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢
Je unaamina kama kama naomi atabadilika? Kama unaamini kama mimi
😂😂😂❤❤
Jaman mume wangu masudi unaniacha mjane mie😢😢😢😢
Pole 😂😂😂😂😂 Njoo Nipo TikTok masoud sultan
Yamoto 🎉