Ufafanuzi: Jinsi ya kuegesha magari kiusalama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1

  • @spinkssolo
    @spinkssolo 5 ปีที่แล้ว

    Nimependa kipindi kilivyoendeshwa na uwezo wa Benjamin Mzinga kuuliza maswali pamoja na Mhandisi Michael Kyando.. Binafsi ni elimu ambayo kila mwenye gari anatakiwa awe nayo.
    Nawaomba timu inayomsaidia Benja kwenye kuhariri taarifa kwa kuweka picha au video inayoendana na kinachokuwa kinaongelewa. Uwepo wa video husaidia mtu kupata uhakika wa unachowaza maana kwenye maelezo inalazimu tuvute picha ila kwa kuweka picha na video sahihi mnatusaidia zaidi kuelewa uhusika wa tukio.