Kuna mishabiki isiyojua boli unakuta inamlaumu kocha,kocha ambaye hajawajua wachezaji vzr,kocha ambaye ndio kwanza anatafuta chemistry ya timu wakat huu ambapo kuna kibarua kizito cha ligi ya mabingwa na ligi kui
Watakuja kumuelewa! Ila Wachezaji nao bado hawachezi kwa viwango! I hope atawarekebisha hasa kwenye kupass, pass nyingi kwa MICHEZO yote ya CAFCL hazifiki,KUTOMILIKI MPIRA kwa MDA mrefu,nayo NI shida! Kutowin back mpira wakiupoteza,nayo shida! Mbele bado butu sanaaa pia! WA Algeria wamepoteza Leo, kundi SASA liko wazi has kwa nafasi ya pili! Tukiutumia uwanja WA nyumbani vizuri na kushinda 2 games na draw moja,tunavuka !
Ume ongea point bro👍