EXCLUSIVE: MPENJA, MZINGA, HINJO WASHINDANA KUTANGAZA MPIRA/WAZICHAMBUA MAMELODI/AL AHLY/NOMA SANA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo.
    Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.

ความคิดเห็น • 207

  • @amneseif410
    @amneseif410 6 หลายเดือนก่อน +11

    Nawapenda nyote watangazaji wetu ❤nikiwa mwananchi ❤mashallah

  • @YohanaLuchapa
    @YohanaLuchapa 6 หลายเดือนก่อน +3

    Bro mzinga hua nakukubari kinoma Yan uko vizuri

  • @musamakuhana2200
    @musamakuhana2200 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mpenja umekomaa umepevuka ni zaid ya watangazaji sana ww ni comenteter haswa wanapaswa kharbu hinjo wajifunze kwako big up sana brother

  • @MlokoziMjeruman-yf4uu
    @MlokoziMjeruman-yf4uu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daah imekaa poaa sana mpenja upo sawa sana..ukimuweka nazeret upete hapo duuh nihatari sana❤ very super

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 6 หลายเดือนก่อน +2

    James samweli ndio anapokea vizuri

  • @RashidAdamu-k3u
    @RashidAdamu-k3u 6 หลายเดือนก่อน +1

    gharub mzinga ndio noma sana mpka mpenja mwenyewe ana tabasamu

  • @mussangalawa2403
    @mussangalawa2403 6 หลายเดือนก่อน +8

    Baraka Mpenja × James Samwel🔥
    Gharib mzinga × Ayoub Hinjo🔥

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 6 หลายเดือนก่อน +1

    much respect sana kwenu brothers mmenikosha sana na talented yenu i wishes iyo siku itimie nyinyi wote muwepo mtupe icho kipindi simba vc al ilal yang vc mamelod

  • @shabanisalimu7391
    @shabanisalimu7391 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda hii mashabiki ndo wanapiga kelele ila watu wanaishi fair sana

  • @EmmaEmma-k7x
    @EmmaEmma-k7x 6 หลายเดือนก่อน +32

    Mpenja umefanya kitu kizuri kuwakutanisha hao brothers wa azamu but Kuna kiumbe kingine kipo TBC ( UPETE) mkalibisheni kwenye hio track muwe four brothers pia na yeye anajua kama nyie mnavyo jua 🙏

    • @IsackLaizer-of6vm
      @IsackLaizer-of6vm 6 หลายเดือนก่อน +1

      Upete no mtangazaji mzuri sana ila anasifa na ushabiki ndani yake

    • @HusseinMenenger-yq7ps
      @HusseinMenenger-yq7ps 6 หลายเดือนก่อน

      🎉

    • @HusseinMenenger-yq7ps
      @HusseinMenenger-yq7ps 6 หลายเดือนก่อน

      Hii Kali sana

    • @FabianPiusMghanga
      @FabianPiusMghanga 6 หลายเดือนก่อน

      Upete anaujua mpira aisee. Yupo vizuri

    • @SanguyaKeiya-q4t
      @SanguyaKeiya-q4t 6 หลายเดือนก่อน

      Upete ni shabiki wa al ahly
      ila anajua kinyama 😊

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 6 หลายเดือนก่อน +9

    Watangazaji boraaaa wamekutana,,,yaan nlikua naona tyr TV mechi live,,hizo mechi muwepo wote plz

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mko vizuri

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mpenja yuko very positive, unaonyesha ukomavu...

  • @ZakariaSimon-gp1gr
    @ZakariaSimon-gp1gr 6 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ mxinga nakukubali sana mpenja hjo wote 3 mpo vzur ❤❤❤

  • @AfidhaBakari
    @AfidhaBakari 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa kumbe huyo ndoayubu sauti yake namuonekano wake tofauti anajua sana nampenda pia

  • @Saikalyasi
    @Saikalyasi 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mpenja intro 🔥, mzinga kwa takwimu na history ni 🔥 hinjo kwa sauti ya mamlaka ni 🔥
    😂😂😂 Adi raha tunajivunia uwepo wenu Azam tv

    • @dbtechnologypro
      @dbtechnologypro 6 หลายเดือนก่อน

      umemsahau pia james samweli, hapo mambo yanakua🔥🔥

  • @mamiclassicbaby
    @mamiclassicbaby 6 หลายเดือนก่อน +5

    We mpenja utasababisha watu tuzimie ila nimekupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AfidhaBakari
    @AfidhaBakari 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooo wallah nimefurai wote mnajua nawote nawapenda

  • @fesalhumoud9380
    @fesalhumoud9380 6 หลายเดือนก่อน

    Huu niupendo wa thati hongera sana kaka mpenja mushikamane kwa upendo usije tengana kwa maneno ya haji manara tunawapenda wote sisi mashabiki utangazaji wenu hakika tuna enjoy sanaa❤❤❤

  • @HaruniMwandandila
    @HaruniMwandandila วันที่ผ่านมา

    Baraka mpenja nomaaa sana akiwa na James samweli

  • @ikotilissu5380
    @ikotilissu5380 6 หลายเดือนก่อน +4

    Much love to you all

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 6 หลายเดือนก่อน +1

    hongeran sana mbalikiwe sana

  • @yussufabdalla9377
    @yussufabdalla9377 6 หลายเดือนก่อน +1

    This is incredible 😅😅😅😅😅 nimeona km tyr Nipo live thanks guys 😅

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awape maisha marefu watangazaji wetu nawakubali kazi zenu ❤❤❤❤

  • @harrsmgaya8141
    @harrsmgaya8141 6 หลายเดือนก่อน +9

    Mwamba wa UMALILA ume cheza na fursa. 🙌🙌 Safi sana

  • @KudraKilangi
    @KudraKilangi 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana sana Mungu awajalie afya njema na awainue kwenye kipaji chenu

  • @StanleyJohn-c1u
    @StanleyJohn-c1u 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ndio Jemsi Samweli yule kaka ni zaidi ya fundi akiwa msaidizi wa Baraka mpenja na mpaka Kuna muda tunaangalia mechi za zamani kwasababu ya utangazaji wa Mungu ambariki Jemsi huko alipo

  • @sakhomerko8095
    @sakhomerko8095 6 หลายเดือนก่อน +8

    Nawakibali sana watangazaji wangu mnanipa furaha Kila nikisikiliza sauti zenu zinanipa furaha sana sana sana sana sana

    • @AzhadSaid-j1t
      @AzhadSaid-j1t 6 หลายเดือนก่อน

      Mwamba wa malilaaa uko byeee

  • @eliyakibacha7587
    @eliyakibacha7587 6 หลายเดือนก่อน

    Safiiii Sanaa broo naona Kama mpira umeysha.

  • @JohnJonas-b6e
    @JohnJonas-b6e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Saut ya raaaaaa💥💥💥

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 6 หลายเดือนก่อน +5

    Good combination

  • @djbonfire4683
    @djbonfire4683 6 หลายเดือนก่อน

    Daaaah ❤❤❤❤❤ nifuhaa sana kuona mnachagiza kuelekea michezo mikubwa kama hiii na joto liko juuu sana

  • @kubwayoshomarytv
    @kubwayoshomarytv 6 หลายเดือนก่อน

    Barack Mpenja, Gharibu Mzinga, Ayubu Hinjo, Ramadhan Ngoda na Nazareth Upete ni Commentators bora sana Tanzania kwa sasa❤❤❤

  • @NahashonLeken
    @NahashonLeken 6 หลายเดือนก่อน

    Gharib weeee Gharib nakuita mara 3 umetishaaa my brother 🔥🔥💚💛💛

  • @rashidabdallah752
    @rashidabdallah752 6 หลายเดือนก่อน

    Big up our football commentators

  • @hassanswale
    @hassanswale 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana MPENJA

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda Sana watangazaji Bora sanaa 🎉🎉🎉🎉

  • @MichaelLeonard-c5g
    @MichaelLeonard-c5g 2 หลายเดือนก่อน

    Gharub ww no hatari mnafanya vema wote hongera mpenja kwa kuwa na watangazaji wezako oficni

  • @Dula707
    @Dula707 6 หลายเดือนก่อน

    What a combination my broda mpenja

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana ma brooo

  • @FaidhanRajabu
    @FaidhanRajabu 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mzingaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @charlesmasele8454
    @charlesmasele8454 6 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama kabisa nimeipenda hiyo ❤❤

  • @ReiphanLusungu
    @ReiphanLusungu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mpenja umetuvuta sana always mko vinzuri sana 💪💪

  • @SaidMasoud-ng1fd
    @SaidMasoud-ng1fd 6 หลายเดือนก่อน

    Superb❤

  • @ephraimedward2351
    @ephraimedward2351 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ nakubali Santa

  • @AsmahMohammed-q9c
    @AsmahMohammed-q9c 6 หลายเดือนก่อน

    Mnajua mnajua na mnajua tenaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @maximilianprosper1420
    @maximilianprosper1420 6 หลายเดือนก่อน +1

    Upete ni jitu

  • @elimodaudi4800
    @elimodaudi4800 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Mungu atuweke tuone

  • @Mohamedmwijai
    @Mohamedmwijai 6 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali sana mpenja umetisha ntakupa anti

  • @BarakahAnthony
    @BarakahAnthony 6 หลายเดือนก่อน

    Kubababake nyieeeeee nomaaaaaaa napenda kazi yenuuuuu

  • @lucasmatinya8039
    @lucasmatinya8039 6 หลายเดือนก่อน

    Sio utani mpenja Mimi wewe ndio ulinifanya nianze kushabikia mpira ,,lakini hapo mmekutana mpaka mnanitoa machozi ya furaha duu,,,mungu awatie nguvu Sana na awasimamie sanaaaaaaa😂❤❤❤❤❤

  • @YustaYustan
    @YustaYustan 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka Kaz nzur

  • @Papyprince29B
    @Papyprince29B 6 หลายเดือนก่อน +11

    Wote nawakubali ila wakiniambia nipange mimi naanza na Mzinga.
    Pasiwe mtu ataguza comment yangu😅

    • @HamzaAlawi-ql3wu
      @HamzaAlawi-ql3wu 6 หลายเดือนก่อน

      Asee hata Mimi pia napenda anavyotangaza

  • @massoud77mbarouk3
    @massoud77mbarouk3 6 หลายเดือนก่อน

    baraka baraka mm naomba sana hii mechi ya yanga atangaze mzinga

    • @BasuleBasule
      @BasuleBasule 6 หลายเดือนก่อน

      Kwan baraka ndo anapanga

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 6 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi yames samwel hyo pia anakombination mzuriii Sana na mpenja Aki mnanifurahisha Sana yaan mnamaji ya kutosha kwelikweli

  • @ElizabethLoth-lq8vt
    @ElizabethLoth-lq8vt 26 วันที่ผ่านมา

    aa nilikua najuaga huyu minga bongo la mtu nene sana kuokana na sauti take barikiwa sana mtu wa mungu

  • @SlyversterMwita
    @SlyversterMwita 6 หลายเดือนก่อน +1

    watangazaji, ote mnaweza

  • @obby-M
    @obby-M 6 หลายเดือนก่อน

    mpenja💥💥

  • @CosmasNicolaus
    @CosmasNicolaus 6 หลายเดือนก่อน

    ongereni san watangazaji wetu

  • @EcaSadiki-ds9cr
    @EcaSadiki-ds9cr 6 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali sana

  • @roi2554
    @roi2554 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeendaa wazeee😊😊😊😊

  • @castoriarogatus3675
    @castoriarogatus3675 6 หลายเดือนก่อน

    wote mko vizur Sanaa ila kwa upande wangu MPENJA nakukubari mno

  • @Specialsuperkiller
    @Specialsuperkiller 6 หลายเดือนก่อน

    ASie Mungu awalinde sana!

  • @kubwayoshomarytv
    @kubwayoshomarytv 6 หลายเดือนก่อน

    Waalike Nazareth Upete na Ramadhan Ngoda. Ni wakali wa matangazo ya Mpira

  • @MbiaJoseph
    @MbiaJoseph 24 วันที่ผ่านมา

    Hii nzuli sana nimeipend

  • @Danieljoseph46
    @Danieljoseph46 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa mwana simba kwa kweli nawakubali sana

  • @abubakaralifoum7499
    @abubakaralifoum7499 6 หลายเดือนก่อน +1

    Combination ya baraka mpenja na james samwel🧠

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 6 หลายเดือนก่อน

    Yani Hawa Jamaa Nawakibari Sana..tena Sana....kila mtu mtu Anasauti yake na Unatamani Uwasikilize...Allah Awajalie kila la kheri In sha Allah.

  • @maxezeaguttu7821
    @maxezeaguttu7821 6 หลายเดือนก่อน

    Mzingaaa🙌🏻🙌🏻

  • @MtoroTengu
    @MtoroTengu 6 หลายเดือนก่อน

    hinjo na mzinga ni watangazaji wa kisasa mno daah kongore sanaa

  • @MussaRamadhan-v2c
    @MussaRamadhan-v2c 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka Sana daa hadi raha

  • @mirajimrutu7977
    @mirajimrutu7977 6 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha sana

  • @barakamude7914
    @barakamude7914 6 หลายเดือนก่อน

    Mnapiga kazi kisawa sawa

  • @khamisjuma578
    @khamisjuma578 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kipindi bora xna wapambanaji wangu unite and solidarity together ❤️

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 6 หลายเดือนก่อน

    Mpo vizuri tunawapenda kil mtu ana sauti yake nzur

  • @AllyMasoudi
    @AllyMasoudi 6 หลายเดือนก่อน

    Kiukwel Azam wanapaswa kujivunia vijana hawa mnafanya kaz nzur nawaombea kwa Mungu awape maisha marefu mnatoa burudan nZur na mzee baresa waongezee mshahara vijana hawa wanafanya kaz kubwa sana kwenye michezo

  • @MajaliwaMasanyiwa
    @MajaliwaMasanyiwa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzinga kiboko kweli kweli!!

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure 6 หลายเดือนก่อน

    Mnajua mpk mnajua ten mnakera banaaaaa😂😂😂😂😂😂 mungu awaweke miak mingi❤❤❤❤❤

  • @JumaJuma-ro1eu
    @JumaJuma-ro1eu 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo mambo nmazuli sana msalimie,hinjo

  • @salumutaida9452
    @salumutaida9452 6 หลายเดือนก่อน

    Mumetisha sana wakuu,congole kwenu

  • @shabanisaid-vl6wf
    @shabanisaid-vl6wf 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba mechi ya yanga namasandawana watangaze gharibu na hinjo kiukweli nafuluhiaga sana

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥💚💛🇹🇿jmn toka nizaliwe kumbe atujawai kutana hadi nikapata mtoto ndo tutashuhudia mechi eeh mwenyezi Mungu tusaidie tuweze pata ushindi mbele ya mamelod 🤲🤲🤲

  • @godsonboniface3100
    @godsonboniface3100 6 หลายเดือนก่อน

    Gharib mzinga Vs Ayoub hinjo alafu Baraka mpemba Vs James samwel hawa watu wanakuwaga 'na vibe sana wa kukutana pacha kama hivyo

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mpenja ndo mwanzilishi wa aina hii ya utangazaji..vionjo vingi, halafu hana maringo.. naona yule mfitini haji manara akinuna.

  • @VictoriaLeonard-yh9rc
    @VictoriaLeonard-yh9rc 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri San lkn amekosekana upete tu

  • @frontoffice8676
    @frontoffice8676 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa mala yakwanza namuona honjo😮

  • @hassanabdul7141
    @hassanabdul7141 6 หลายเดือนก่อน

    Wote mpo vizur mashaallah

  • @Danieljoseph46
    @Danieljoseph46 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapendea mpira mnatangaza kwa history yake ndio vitu nataka😊

  • @mussasheshunda
    @mussasheshunda 6 หลายเดือนก่อน

    ila mpenja na james samwel mnauwa sana brother

  • @NegileTanzania-k5r
    @NegileTanzania-k5r 6 หลายเดือนก่อน

    Da! Kama wangekuwepo wote Hawa ilikuwa Safi sana aise

  • @ShukranKawind
    @ShukranKawind 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzinga nakukubali sama

  • @matutusimangwi3003
    @matutusimangwi3003 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mm ninawapenda sana my

    • @mariammkota-pn4xh
      @mariammkota-pn4xh 6 หลายเดือนก่อน

      Kaka mpenja uko vzr san nakuomba ongeza maic itapendaza zaid

  • @rahimzuberi2673
    @rahimzuberi2673 6 หลายเดือนก่อน

    Namkubali zaidi mzinga ana vitu vingi

  • @AhmadFakh-tv3zz
    @AhmadFakh-tv3zz 6 หลายเดือนก่อน

    Mumetisha sana

  • @thomasmagumba6662
    @thomasmagumba6662 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mmefunikana ile mbaya

  • @bashirabdulrazak9034
    @bashirabdulrazak9034 6 หลายเดือนก่อน +1

    Katika mechi izo tunaomba azam tv James samuel japo game mmoja ashirikishwe

  • @sylivesternyanda
    @sylivesternyanda 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza nipeni like zangu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 หลายเดือนก่อน

    Shikamoo watangazaji

  • @wallysaidi4861
    @wallysaidi4861 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mzinga unatisha mwamba

  • @REHEMAOMARY-b2u
    @REHEMAOMARY-b2u 6 หลายเดือนก่อน

    ASE mmetisha