MashaAllah ujumbe muhimu sana na mumeufikisha kwa njia nzuri sana ALLAH subhana awabariki ,, kazı haina utata wowote MashaAllah endelea brother Masud 👍🏼👍🏼
Shukran sana Baba yetu/ Kiongozi wetu/ Mwalimu wetu/ Muasisi wetu @SheikhYusufAbdi naitikia Dua yako Amiin, Amiin kwetu na kwako pia. Allah atuwezeshe zaidi tuweze kutenda haya kwa Ikhlaasw
Mashaallah Mashaallah Mashaallah nasheed mzuri sana yenye ujumbe mzur na pia yakutuhuzunisha Mashaallah kaz nzuri raudha kids Allah awahifadhi na awakuzieye kipaj chenu Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤
Am from Nairobi Kenya ni fan mkubwa sana wa Nasheed but ziko nasheed zinatoka kwenye malengo Siku hizi nasheed nyingi talk about love only zimekuwa like bongo flaver ila Allah akubariki Brother Masoud na kids wako bado mwatoa jumbe za maana na muzidi kutupa jumbe kama hizi

Maa Shaa Allah nasheed nzuri sana imelenga jamii katka uhalisia wake...😔
Mashaallah Ni ujumbe mzuri natumai jamii itafundishika vyema Mashaallah raudha kids
Kazi imetufikia na tumeipo mungu abariki vipaji vya Hawa watoto na walimu waoooo
😭😭😭imenigusa sana hiii nasheed nimetoka machozi wallah uzalilishaji saiv umekithiri sana katika jamii zetu ooooh 😭😭😭😭😭😭😭😭
Oohh pole sana Dada yangu@@asmadadi2349, Allah tatusimamia Inshaa Allah
Pongezi kwa kazi yenu mzuri sana, Allah awalipe kwa hili
Alhamdulillah I ws realy waitin for this Nasheed
Masha Allah mwalim wangu ujumbe utamfika umetuhuzunisha kwa ajemy leo
Asanten sana kwa kazi nzuri yenye ujumbe mzuri kwa jamii yetu..hamjawahi kosea raudhwa kids mola awahifadhi .Ameen
ujumbe mzuri maa shaaAllah raudhwa kids Allah awalipe kila lakheri kwakuelimisha jamii
Maashallah ujumbe muhimu ndani ya jamii😢😢😢
Kazi nzuri sana ujumbe mzuri sana
Unakuta baba wazazi wengine wanaamua kufanya huuuchafu 😭nimemiss mpaka wanangu kwahili wallah
@@asmadadi2349 pole sn
Mashallah nasheed nzur.sana kazi nzur kaka yangu allah akulipe inshallah dah lakin ina uzunisha sana na ime ni guza sana wallah 😔😭
Mashaallah haikuwa rahis
Hata mimi chozi limenitoka ...maasha ALLAH ....Wonder kids ......Hii nasheed inaapaswa kuchukua tuzo....cuz inaelimisha vizuri sannaaaa
Masha Allah wana raudha Allah awazidishie ❤
@@asmadadi2349 Ameen
Mashaallah Mashaallah Mashaallah nasheed mzuri sana yenye ujumbe mzur na pia yakutuhuzunisha Mashaallah kaz nzuri raudha kids Allah awahifadhi na awakuzieye kipaj chenu Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤
Brother Massoud umeupiga mwingi san wallah
Maashallah nasheed nzuri hongereni sana. Shukra nyote mliochangia.
Nakuelewa sana we jamaa Ahahahahaaaa. Tupo njiani kuelekea Zan Nasheed festival Inshaa Allah 💚
Kazi nzuri mashaallah, message nzuri
Kasida nzr na ujumbe mzuri uliofikishwa kwa njia sahihi❤❤❤hongereni
Tabaarakallaah Ahsanul khaariqiin
Masha allah kz nzr sn
MaashaAllah Kazi nzuri na ina ujumbe ulioshiba ❤
Maashaa Allah Allah awabark kaz nzr
Maa Shaa ALLAAH, Hongera brother kwa kazi nzuri #Raudha_Kids
Good job brother Masoud 🎉🎉🎉
My favourite mashallah ❤
Mashaallah ujumbe mzuri 😢
Hii ilipaswa kuwa trending
Mashaallah ujumbe swahihi
Maaashaallah ❤❤❤
Masha Allah 🌹🥰
Mashallah nawapenda watoto. Ujumbe umefika😢😢
Hongereni Sana nasheed iliyo kusanyaa ujumbe tofauti Wanafunzi wa raudha kids na mwalimu wao brother masoud
Brother mm nataka kozi ya kuwafundisha madogo mana naona mh madogo wamepita mnamotakiwa asa big sana kk
Ahahahaa sawa Inshaa Allah @@mahadgenius355
Maasha'Allah good Job my brother❤ Congratulation for Our Kids❤😂🎉
Mashallah kazi nzuri sana
Muomba kzi mashallh
Mashallah nasheed nzr sannnaaaaa inahuzunsh mno😢
Mashallah saf sana
Shukran sana Alhabby
MashaAllah ❤
MashaAllah walimu ❤
Am from Nairobi Kenya ni fan mkubwa sana wa Nasheed but ziko nasheed zinatoka kwenye malengo Siku hizi nasheed nyingi talk about love only zimekuwa like bongo flaver ila Allah akubariki Brother Masoud na kids wako bado mwatoa jumbe za maana na muzidi kutupa jumbe kama hizi
Na hii ndo raudha nnayoijua
Kaka masoud upo vyema sn endelea kutupa vizur zaid
Mashallah mashallah 💐🌹
Mashaa Allah
Mkuu nimekuona 🤝
Mashallah ❤
Big Up broo
Mashallah Allah awalinde na mahasad 😭😭😭
Mashallah jmniiii huundo uislam nahii nihalali kuitw nasheed au qaswida maaan ina ujumbe muhim san allah akulipen inshallah
Mashaallah ❤❤❤❤❤
Mashaallah Nasheed mzuri
Maashaallah Maashaallah Maashaallah Maashaallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Big up 😢
❤❤❤
Maashallah جزاكم الله خيرا
Mshallah kz mzur ila nmtian jmn
Ma sha Allah
Good Job
Uhakika wakongwe wa hizi kazi
Mashallah 🎉
Kwanini?
SAAF SANAAA
Mashallah 🙏🙏
Mashallah
Muomba kzi mashallh
❤️❤️❤️❤️
Mashallah
❤❤❤❤