NAMPENDA SANA LULUDIVA LAKINI NA MPENDA IRENE UWOYA ZAIDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 34

  • @shadyamohd4651
    @shadyamohd4651 3 ปีที่แล้ว +2

    m just here for divas voice,shout out to diva❤️❤️❤️

  • @amourdelicieuse2961
    @amourdelicieuse2961 3 ปีที่แล้ว +6

    Una color nzuri ,ila izo nywele jameni rasta aziko nzuri

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 3 ปีที่แล้ว +5

    Nilijuwa mwanamke kwenye hiyo packeg ya diva

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 3 ปีที่แล้ว +2

    Mi mwenyewe Lulu diva nampenda sana

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 3 ปีที่แล้ว +6

    Miondoko yako unavohojiwa cjaipenda.Jibu Kama men mtoto wa kiume Acha kuchekacheka

  • @sangiwamsangi9365
    @sangiwamsangi9365 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongeeni kiswahili msijifanye wazungu

  • @rehemakahabwa1586
    @rehemakahabwa1586 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh si ulimvisha Pete ya uchumba mdada video queen au nimekufananisha

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 ปีที่แล้ว

    Mbegu z kike unazo mwenywe boya wew...

  • @jihadjiha1017
    @jihadjiha1017 3 ปีที่แล้ว +3

    Mshamba sana uyu mshkaji anapagawa alafu mdwanzi tu

  • @selestinarugemalila255
    @selestinarugemalila255 3 ปีที่แล้ว

    Nyau huyuu kasema irine because of money 💰, alafuu unajifanyisha niko single

  • @nurrymaseekhamis8651
    @nurrymaseekhamis8651 3 ปีที่แล้ว

    Me nmempenda huyo mkaka

  • @romeo_papi2
    @romeo_papi2 3 ปีที่แล้ว

    Cant get intouch

  • @isaacmbade6955
    @isaacmbade6955 3 ปีที่แล้ว +4

    Lkn boss ww si ulimvesha mtu pete ya uchumba au ww sio Koy Mzungu

  • @celinamgundoi8420
    @celinamgundoi8420 3 ปีที่แล้ว

    Me bado jaman njoo kwangu

  • @alexmbulano5178
    @alexmbulano5178 3 ปีที่แล้ว

    Shonga uyu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa rasta zimemsitili kichwa kama sabuni ya mche

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @tsaonethapelo6373
    @tsaonethapelo6373 3 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu jamaa hajui kiswahili?

    • @janethsulle2830
      @janethsulle2830 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapo Sasa, Yani wabongo tukijuwa kingereza wengine hawapumui kiswahili pembeni duu😳😳

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว

    Huyu koy siyo yy aliye visha dem fulani pete yule dem anaomba kanisa moja na masanja.

  • @hassannuru349
    @hassannuru349 3 ปีที่แล้ว

    Uyu si alimvalisha mtu pete juzi tu apa jaman bongo ni noooma

    • @pendolazaro4686
      @pendolazaro4686 3 ปีที่แล้ว

      Ndio yy yule mdada anayesali kanisa la masanja mkandamizaji

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kwani anaitwa nani? Anaye hojiwa