HOUSE GIRL EP 26 | S4 | LOVE STORY 💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 391

  • @Cynaidercabby-A
    @Cynaidercabby-A 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    Hio sauti sio ya mama tasha😂😂😂😂 wenye wamegundua hilo pita n like.

  • @josephinamarko3323
    @josephinamarko3323 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +27

    Mama tasha 😂😂😂inako elekea anaenda rudiana na baba tasha wangap wanakubaliana na hili weka maua 🎉🎉twende kwao

  • @Bestnakaya
    @Bestnakaya 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +53

    Kama wewe na mimi tunaamini Mungu yupo sema Amina pia usiogop kwanzia sasa mungu yupo

    • @AbibaChindigwa
      @AbibaChindigwa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Amen

    • @NuraishaIssa
      @NuraishaIssa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amin

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +87

    Ila kilamba mungu anakuona yaani pesa ya kumlipia mgonjwa wewe unaenda kupunguza mahari

    • @RaelYeko
      @RaelYeko 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂ila kilamba

    • @sussymtunga3673
      @sussymtunga3673 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aki kilamba 😂😂😂

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kilamba ukwanju huyo 😂😂

    • @RoseMaya-n7t
      @RoseMaya-n7t 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @AzizaHamisi-m4s
      @AzizaHamisi-m4s 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @irenemosha962
    @irenemosha962 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Iyo sauti sio ya mama tasha mimi nimegundua ni ya warda dada yake na zatit 😂😂😂 jaman au nyie mmeonaje🎉🎉

    • @SabrahNibuka
      @SabrahNibuka 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Haswaa ni yy warda 😂😂

    • @zidanamir8998
      @zidanamir8998 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukweli

    • @Dijahabdully-d1g
      @Dijahabdully-d1g 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwel kabisa cy mam tasha

  • @AliceCharo-wz9oz
    @AliceCharo-wz9oz 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +29

    Tunaotazama tukiwa kwa kitanda tujuane😂😂team Oman from Kenya halooo

    • @MariamMustafa-w8e
      @MariamMustafa-w8e 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupo hapa team strong kutoka burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @Selma-n4l
      @Selma-n4l 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tup team oman

  • @AAl-r1s
    @AAl-r1s 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    chiko na ujuaji wake wote kapigishwa magoti😂😂😂

  • @TatianaAthanas
    @TatianaAthanas 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +27

    Walio Mumiss mzee mkoloni gongeni like zenu hapa😂

  • @officialbasheer13_tz
    @officialbasheer13_tz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Hiyo sio sauti ya mama Tasha tumepigwa hapo wazee nakitu kizito shtukeni basi😂😂😂😂

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    😂😂😂, baba tasha kashindwa kujizuia kabsaaa alafu anamwambia chiko asipiganie mapenzi 👐

  • @NeemaFelix-v5f
    @NeemaFelix-v5f 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +53

    alie pat mashaka na saut ya mama tashaa tulike kwapamoja😮😮😮😮

    • @mary-lx3hr
      @mary-lx3hr 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂tupo wengi kumbe sauti siya mama Tasha kabisa

    • @NeemaFelix-v5f
      @NeemaFelix-v5f 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @mary-lx3hr wametupiga zetu

    • @winfredsali9644
      @winfredsali9644 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Pia mm nmeshdwa ajielewi au n vipi

    • @officialbasheer13_tz
      @officialbasheer13_tz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Hiyo sio sauti ya mama Tasha tumepigwa hapo wazee nakitu kizito shtukeni basi😂😂😂😂

    • @BintiAmina-kh9oh
      @BintiAmina-kh9oh 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Siya mama Tasha kweli

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimefurahiswa Na Maneno ya Mr kanyai ❤ Na Mr chiko ninawasiwasi Na Hilo tabasam lkn mbon saut s, ya mama tasha akiongea Na Mr kanyai 🎉 love 💕 bustan TV mengi twajifuza Mungu awabariki wote❤❤

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Mmmh anayeongea nababa tasha sio mama tasha kama umeliona hilo gonga like hapa

    • @JamiraRobin
      @JamiraRobin 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Nimeliona hlo jamen😂😅

    • @janefrolakalinga5664
      @janefrolakalinga5664 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa hiyo sio sauti ya mama tasha.

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wametuona mazuzu kuwa hatujuwi sauti ya mama Tasha😂

  • @MatthewMasaka
    @MatthewMasaka 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Chiko hakupaswa kurudi anaharibu movie like zenu

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mmh hiyo sauti mbona kama ya Candy jaman😂😂😂 au ni masikio yangu tyu

  • @SarahEzekiel-d9n
    @SarahEzekiel-d9n 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mungu awafungulie milango ya baraka kwa yoyote atakae soma ujumbe huu Amen

  • @pamykeza
    @pamykeza 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +43

    Wakwanza Hapa mimi from Burundi nipe like zangu

    • @linahhsongoro678
      @linahhsongoro678 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Muburundi mwenzangu unafanya nini huku caha dutahe😅😅

    • @marymwatsum98
      @marymwatsum98 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Everyday I need Burundi of Jesus 😂😂

    • @AgnessMlowe-t5r
      @AgnessMlowe-t5r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapana chezea sambogo

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Twende wapi kombona twese twuzuye 😂😂😂😂​@@linahhsongoro678

    • @CynthiaNizigiyimana-w9h
      @CynthiaNizigiyimana-w9h 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tekana mujahe nn

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +30

    Mzee ganyai siyo kwa mashairi hayo

    • @ZZawadi-s5v
      @ZZawadi-s5v 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Muheshimu babako

    • @fatuma6011
      @fatuma6011 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @RehemaSalim-m8s
      @RehemaSalim-m8s 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂​@@ZZawadi-s5v

    • @MwanamisiMunnah-x3v
      @MwanamisiMunnah-x3v 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila tasha bhn 😅😅hujui kama ni babak uyo😂😂😂

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We mtt kua na adabu na babako 😂😂😂

  • @zuleykhasaid967
    @zuleykhasaid967 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Watoto wa busatiii njoeeni hukuu chakula tayari 🥰🥰😎

    • @RaelYeko
      @RaelYeko 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🚴🚴

    • @RosemarySulle-e9c
      @RosemarySulle-e9c 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂sawa

  • @MarykwambokaNyamboye
    @MarykwambokaNyamboye 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kilamba hiyo pesa ya mgonjwa wasambongo wataikujia😂
    Ila jiko umalizwe Kwanza b4 umumalize baba Tashia

  • @NadzuwaKilaga
    @NadzuwaKilaga 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Baba tasha wee kubebeleza wakujua Lakin ukisha ya mwqga haya zoleki tulia baba ww😂😂😂😂

  • @AAl-r1s
    @AAl-r1s 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    jamani n mm pekeangu nmesikia iyo sauti kwa simu ya ganyai haikua ya mama tasha😂😂😂

    • @desaumwaweza
      @desaumwaweza 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kumbe unasikio kama langu

    • @AAl-r1s
      @AAl-r1s 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @desaumwaweza kabisaa sauti sio 😂

    • @Nancy-l5e
      @Nancy-l5e 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sauti ya zuuri hiyo😂😂

    • @nasraramadhani4515
      @nasraramadhani4515 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sauti ni ya zatiti hii😂😂😂

  • @Salma1212-u3o
    @Salma1212-u3o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama Tasha kuwa mpole Akuna binadam mkamulifu msamehe baba Tasha kashajifunza mengi tafadhali msamehe Mzee mwenzioii😂

  • @UmayyaMunisi
    @UmayyaMunisi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Chiko cjapenda arudi😂

  • @etsareliza6687
    @etsareliza6687 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Aiseeee tunamtaka mama Tasha bila ivo movi itaalibika hiyo siyo sauti yake

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂 kilamba kweli hauna akilii umesahau huyu ni bibi zuu anajuanga Kira kitu 😅😅😅😅

  • @famidaally2665
    @famidaally2665 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 ila jiko umemuweza bosiwako bona yy anapiganiya mapenzi yake kwa mama tesha🎉🎉

  • @JumaaCharo-t6w
    @JumaaCharo-t6w 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii movie mafunzo yake nikazuri ila kilamba punguza jokes nyingi alàfu kule mmefika ladha imeisha mungemaliza muanze series mpya jamani tulipata ujumbe wandoa Ady ukaisha saahii nindoa imevurujika mmechanganya,,,twawapenda tukiwa Kenya 🎉🎉

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi kiramba ymenifurshishaje 😂😂😂 mkomeshe mpumbavu huyo

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MamaNuh-q3d
    @MamaNuh-q3d 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jaman mukimbadilisha mama Tasha mutakua mumeialibu move

  • @ZiadaKitenge
    @ZiadaKitenge 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅😅😅😂mwanaume shababi agombanii mapenz chiko 😂😂😂😂na boss wke bwana 😂😂

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu azidi kumbariki na kumtunza kila atakae soma na kulike comment hii 😍🥰.
    Haja ya moyo wako Mungu akutimizie🙏🏾😍😍😍

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ganyai kumbe wajuwa mashairi😂😂😂😂😂😂😂

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Alafu mmetupiga anayeongea na ganyai kwenye sim sio mama Tasha

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    😂😂😂kilamba anaogopa wasambongo 😂😂

    • @MynessMsopole
      @MynessMsopole 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @florahnavuja
    @florahnavuja 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana❤❤

  • @FakikhAsmah
    @FakikhAsmah 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwenye sauti ya mama Tasha mumetupiga huyu sjui km sirahma😂😂😂😂😂

  • @HappyCityMap-vs2tr
    @HappyCityMap-vs2tr 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mr ganyai umemhubiria chiko saiz walilia mapenzi wew😂😂😂, 🤣 wapi like kwake😅

  • @JudithSimiyu-ps7ee
    @JudithSimiyu-ps7ee 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akii chiko unacheka boss wako😅😅😅😅😅😅😅

  • @Suliman-w5d
    @Suliman-w5d 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Alieongea kwa simu ya mzee ganyai sio sauti ya mama Tasha mumetupiga hapo

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani nampenda sana huyu mama tarsha jaman ndo kapata mkwe wake zatiti wakuendana kabisaa ❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chiko chiko umerudi hapa we kipoci manyoya kweli usituharibie jamani

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee ganyai ni chiziiiiiii 😂😂😂😂😂

  • @RahelMhezi-f9o
    @RahelMhezi-f9o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani kiramba unajisahau sana humjui bibi zuli😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hatutaki kisikia mmembadilisha mama tasha mlete mwingine tunampenda.mamatasha huyohyo manahii sauti mmetupiga kai unaboa sana nakuchukia😢😢

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duuuuuuuu? nafurahigi KIRAMBA anaposikia WASAMBONGO anahaha sana duuuuu bibi zuhuuuuu muitie kiramba WASAMBONGO wamuonyeshe mana anafanya MR BALTAZAL awe nakibuli

  • @franktodory
    @franktodory 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    kilamba 🙌🙌🙌 kai ndo linanikela sana

  • @MaryClement-gq3se
    @MaryClement-gq3se 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hiyo sauti sio ya mama tasha 😢😢yan mkimbadilisha mama tasha radha ya hii move itapungua ata wafuatiliaji watapungua

    • @VivianKemunto-x8g
      @VivianKemunto-x8g 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maybe walimbadirisha

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu chiko and prison must shine😂😂😂😂😂

  • @VianeChaula
    @VianeChaula 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiramba unanfurahsha sna ukiskia wasambongo... Aaaan una haha kinoma poleee buana

  • @JulianaJustine-z7g
    @JulianaJustine-z7g 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 ila wee kilamba ww mungu anakuona yaan unapewa pesa ukalipie bili hospital wee unasema ukapunguze mahali daaah penda sana kilamba🎉🎉❤❤

  • @Hellen-rr4rt
    @Hellen-rr4rt 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aki Leo nimependezwa na Mr kany na mama Tasha waa🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂ILa wana busati munatujukuliaje tangu serie ya kwanza mpaka leo ya ine hatujuwi tu sauti ya mama Tasha mmenicekesha mujuwe😂😂😂😂

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyimbo za baba Tasha zimenichekesha😂😂😂mama yangu mama Tasha unakumbuka kawimbo???🤣🤣🤣 Jordan amecheka😂

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baba anampenda sana mkwewake zuuu anamanenomazuli sana

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jangili chiko ametabasamu kumaanisha chiko hawezi acha Vita vya zatiti masikini mungu wangu😮😮😮😮😮😮

  • @JoyDavid254
    @JoyDavid254 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakwambia iyo mistari ya baba Tasha imeweza 😂😂

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kiramba msije mkamtoa mpaka movie iishe 😂😂😂 alafu chiko na Jordani wanamcheka boss apa sasa hivi tu alikuwa anamsema chiko kwa kumpgania mwanamke 😂😂 baba tasha 😂😂

  • @asyaseif-y2n
    @asyaseif-y2n 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kilamba mambo mengi jmnii pesa kaenda kupunguzia mahari 😂😂😂

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiyo saut ya mama tasha kwny simu hata sio yake😜Mr Ganyai umetupiga😂😂🤸🏃🏃

  • @FrolensiaNgowo
    @FrolensiaNgowo 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahahaha 😂😂😂😂 Leo nimecheka kwa mahaba ya baba Tasha kwa mama tasha

  • @DaudyMassale
    @DaudyMassale 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iyo saut sio ya mama Tasha, tumepgwa apa😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    10:18 😂😂😂 vibaraka wanamskiza boss akimwaga mistari😊

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpunzi sana sasa hivi amemuambia chiko mwanamume shababi apinganii mapenzi na yeye amefanya nini

    • @MamrF-v9v
      @MamrF-v9v 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @MynessMsopole
    @MynessMsopole 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona saut ni ya canday 😂😂😂😂😂😂😂

  • @SuzanaJames-v3y
    @SuzanaJames-v3y 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwiiiii baba tasha 😂😂😂 umenoga sn❤😂🎉

  • @SimoniFeresian
    @SimoniFeresian 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman Tasha si apone tumemmsi sana

  • @UmayyaMunisi
    @UmayyaMunisi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asa kai pesa ya mauguzi ya Belinda yann abadiliki huyu anaboa😢😢

  • @JanethLeonard
    @JanethLeonard 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Et mwanamme shabab hapiganii mapenzi wakati yeye anatoka kupiga misitari kwa mama tasha😂

  • @PhilisNabalayo-i6u
    @PhilisNabalayo-i6u 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenye atafanya ujinga atowe kilamba kwi hii movie asubir mawe😊😂😂❤

  • @LumaisaYahaya
    @LumaisaYahaya 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤baba Kai upo vizuri sanaaa

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona huyo ni cendy siyo mamatasha msije mkambadilisha jamani😂😂😂😂😂

  • @neemamukeyuzi-nm4jf
    @neemamukeyuzi-nm4jf 15 นาทีที่ผ่านมา

    Hapo kwenye sauti y mama tasha tumepigwa hyo sio yey

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daah mama taxha upo vzr et🎉🎉🎉

  • @habibahabiba4693
    @habibahabiba4693 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hapo kwenye sauti ya mama tasha busati mumetupiga na kitu kizito sanaa😂😂

    • @RaelYeko
      @RaelYeko 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sana tena 😂😂😂

    • @annstamciawanzila2652
      @annstamciawanzila2652 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena sana😂😂😂

  • @IshimweAisha-x6z
    @IshimweAisha-x6z 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ganyaye anashusha mistali mbele ya vibalaka😂😂😂😂😂😂😂

  • @NuruMbuwa
    @NuruMbuwa 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    chiko ety mwanaume shababi hapagombanii mapenzi🤣🤣🤣

  • @AzizaHamisi-m4s
    @AzizaHamisi-m4s 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahahaha mwanaume shababi hapiganiii mapenzi CHIKOOOOOO🤣🤣🤣🤣

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmmh huyo sio mama tasha hapo mmetupiga basati

  • @MetrineNelima-i4w
    @MetrineNelima-i4w 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai milayas 😂😂😂😂mnaaribu movie tu

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nice movie 🎥❤❤❤

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nami sijachelewa kubata burudani safi❤❤❤❤

  • @JenipherRaina
    @JenipherRaina 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    chiko kawa mdogoooo😂😂

  • @MamrF-v9v
    @MamrF-v9v 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amesema hakuna kupigania mapenzi sahii anabembeleza mamatasha😂😂😂

  • @MRS-g2m
    @MRS-g2m 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mr ganyae😂😂😂😂😂😂

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo ya 26 nimeipenda❤❤

  • @AnnKimani-g8q
    @AnnKimani-g8q 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Busati tv you have a long way to go....normalize kuwatch chinga tv ...mpate hint

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kipocho manyoya chiko Leo umepiga magoti kumbe hakuna mkumbga anakosa mkubgayake😂😂😂

  • @HusseinAmour-o6v
    @HusseinAmour-o6v 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nishapata pakuanzia mahar 🎉🎉🎉

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hyo mbn n xauti ya kijana kbxa xio xauti ya mama taxha mmetupga😂😂😂😂

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉😂😂😂😂 Bata zali Leo sijui unajipya gan

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawapenda sana wanabusati kakazi zurisana😂😂😂😂

  • @EstherStephano-o6e
    @EstherStephano-o6e 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kai jitahidi usikalili sana maneno unayoandikiwa jaribu hata kuongezea na yakwako ulikuwa vizur lakin sasa hivi unaboa mwangalie candy,zatity mr tasha na chiko jaman please

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Next plz 🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤

  • @christinewanga7385
    @christinewanga7385 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo pa Mzee Kanyari kutoa Wosia kwa Chiko kuachana na Mapenzi na ilihali yy analilia hayo hayo mapenzi imenichekesha saana, patamu hapo🤭😂😂

  • @fashyahmed4135
    @fashyahmed4135 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kusema ukwel hi series ishakuwa mbaya

  • @FaithNgendo-f7g
    @FaithNgendo-f7g 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaa iyo sauti c ya mama Tasha

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂huyu kilamba ataniua, eti unambwelaaa

  • @najmajuma44
    @najmajuma44 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dadaangu zuu naomba tu ujistiri kichwa chanko itapendeza zaidi kma utafinika kicha chako

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mista ganyai kanichrkesha leo et mwanaume shababi hagombanii mapenzi wakat yeye anambebeleza mana tasha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣