Je ni sawa kuwatoza watu kwa ajili ya huduma za kiroho?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024
- Ni ukweli usiopingika kwamba huduma zinahitaji raslimali fedha na Mungu ameagiza kwamba tumtolee sadaka. Lakini je ufalme wa Mungu unaendeshwa kama falme za dunia hii? Neno la Mungu limetoa mwongozo gani? Tafsiri ya kubarikiwa katika Neno la Mungu ikoje? Je unajua kwa nini si wengi wenye uwezo walioitwa? Sikiliza huu ujumbe wote ili ujifunze.