Wanawake magolikipa cyo hongera mama wakati nyie mnasubiri kudaka na wizi acheni kuiba hela za mmeo ukiachiwa hela ya matumizi utahakikisha hadi ubane hata buku sasa wewe umeolewa ili kusaidiana maisha na mmeo au kumuongezea ugumu wa maisha mwenziyo magolikipa mbadilike
Subhanallah ninavo ogopa kubaishiwa weee maana kuna midume ingine ikisha pata joto la mwanamke basi kazi unayo kwanza kwa ss waisilam iyo kazi ni haramu
Fatwima Makungu yan nyie waisiram kira kitu kwenu niharam hiyo syo dini nikichaka chadin kumbuka huyu mama anatafuta riziki utasemaje niharam au akija kwenu msikitin mtamsaidia pumbavu
Mama hongera kwa kazi yako
Hongera mama
mashallah bado uko vizuri , miaka 59 bado unapendeza zaidi ya miaka miaka 39 , nikija mtwara napanda yako tu
Safi sana mama nimekupenda unajielewa
Wanawake magolikipa cyo hongera mama wakati nyie mnasubiri kudaka na wizi acheni kuiba hela za mmeo ukiachiwa hela ya matumizi utahakikisha hadi ubane hata buku sasa wewe umeolewa ili kusaidiana maisha na mmeo au kumuongezea ugumu wa maisha mwenziyo magolikipa mbadilike
hongera sana mama huyu mama namjua käbisa
Hongere mama, unasitahili sifa nyingi sana.
Subhanallah ninavo ogopa kubaishiwa weee maana kuna midume ingine ikisha pata joto la mwanamke basi kazi unayo kwanza kwa ss waisilam iyo kazi ni haramu
wee nenda huko na uharamu wako. familia yake utailisha wewe?
Fatwima Makungu yan nyie waisiram kira kitu kwenu niharam hiyo syo dini nikichaka chadin kumbuka huyu mama anatafuta riziki utasemaje niharam au akija kwenu msikitin mtamsaidia pumbavu
We muislamu gani eti haramu???, kifungu gani hicho??? Huyo mungu anakuambia ufanye kazi sasa we unaropoka tuuu, kwenda hukoo.
MA SHA ALLAH MAMA, SAwA mama
muongo uyo ana iyo miaka
Kaza kamba mama kazi ni kazi au sio mkenya ujerumani
Hongera sana mama
Kujiamini kitu kizuri sana
Wee lbd unkosea miaka 56yrs aaai wee kaa 30yrs hapo sawa u mdogo sana ww
Hongera!
Hongera mama kila kitu kujiamini2
mashaalhu
Hahahahaaa piga kazi mama
Ukoo juuu mama
asante mama pia hongera
pambana mama
saf
big up mamiiiiii
Muslim huyo mama Haifai abiria wanaume watakushika matako haibu mama Haifai hio kazi wacha zako hio Ni kazi za malaya
familia yake utailisha wewe
Hongera mamiy jitahid ubebe abiria wa kke na watt ambao hawajabalehe ila una mbwebwe unavyo achia mikono ukiwa kwenye mwendo hahahaaaa unatisha mamiy.
Haifai halamu
Shika Neno haifai nenda bas kaumpe pesa kuma ww
safii
cyo kweli 36years
anaweza kuwa nayo,ndio nimukubwa
anayo huyo nikwasabu anafanya sana mazoez
mtwara news tv safi sana, naomba unitafute kwa 0659 979 786
Mnapenda kutukaana,basi semeni nyie miaka yake lo muwe na haya
Acheni mambo ya kizamani, eti haramu, anafanya kazi hiyo Kwa kuwa nyie wanaume mmeshindwa kutimiza wajibu wenu kuwatunza wake zenu
ok
Acha usenge 60 unaijua ww au unazngua
acha uwongo wewe miaka 60 unaijua wewe ?
Ni kweli. 59 huyu haiwezekani