MASKINI!! NUHU MZIWANDA/NAKOSA HADI 100 YA KULA/NAISHI MAISHA MAGUMU/NINA WATOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 4 วันที่ผ่านมา +6

    Pole sana ndugu yangu,sishangai unaposema ulikosa hata 100 ya kununua kashata,binafsi nilishafikia hiyo stage na mpaka nikaambiwa na baadhi ya watu kuwa nimechanganyikiwa,kumbuka nilikuwa vizuri kiasi cha kuweza kujikimu mahitaji yangu,usiskie,usijali itakuwa poa insha'Allah amini usiamini,ila nafahamu si rahisi,subra ni muhimu lkn kumbuka subra inamaumivu

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa inamana Wimbo wa Numziwanda ushatoka tumsaport mana nikweli wanawake soo wazuri mkiachana alafu yeye akifanikiwa jipangeni wanaume shilole kashatumika kwenye hizo pande kwaiyo mashabiki tumkataeni atatuaribia wasaniio wetu asanteni ❤❤❤

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 4 วันที่ผ่านมา +10

    Huyu mtoto alizimwa nyota na mshangazi tafuteni wanawake wenye utu wanawake wengi wakiachana na mwanaume hutaka asifanikiwe

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 4 วันที่ผ่านมา +1

      C wanataka vitonga

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@verobecamfipa8655jamani acheni tu Kuna wamama wanaharbu sana wakaka zetu

  • @rahimhemed1219
    @rahimhemed1219 4 วันที่ผ่านมา +5

    TUJIFUZEN AWA WADADA WANAROHO MBAYA AFU WANAMAMBO YAKISHIRIKINA
    YULE DADA MMUONE VLEVLE WANAOMJUA
    WANAMJUA

  • @rahimhemed1219
    @rahimhemed1219 4 วันที่ผ่านมา +4

    YUKO SW KUONGEA SABABAU IYO KUKAA KMYA AMESHAKAA MIAKA MINGI BORA ATUAMBIA KWANI YY SHILOLE NANI ILA
    YULE MDADA NINOMA MSIMUONE SISTER DU
    ILA YULE ZAID Y BIBI W MIAKA 90 EH DUNIA HII

  • @InnocentBirdNest-nl4eg
    @InnocentBirdNest-nl4eg 4 วันที่ผ่านมา +5

    Nyie nao vip sa mnavyosema asiongee mlitaka anyamaze kimya

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl 4 วันที่ผ่านมา +2

      Na mimi nashangaa bora alivyosema na pengne kavumilia kaona nitakufa bora kusema mungu yupo atafanikiwa

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE วันที่ผ่านมา

    Binadamu wanakuwekea LIMIT, pia yamewahi kunikuta haya nilishudhwa na MEDIA kutokana na kushindanwa na watu wakubwa hapa KENYA

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 วันที่ผ่านมา

    Nuh shishi ameakuacha mweupe sahii huna pesa

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 วันที่ผ่านมา +1

    Toa namba za cm tutakusaidia.

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo autakaa utoboe kama umekiri udhaifu na kuwa bila mtu fulani autatoboa. Be hungry, be humble, and be go getter utafanikiwa jiapize uwe mkubwa aje kukuomba number dadeki

  • @OmarMaro-o2v
    @OmarMaro-o2v 2 วันที่ผ่านมา

    Huu sio mda wakuongea kujjisikitisha mbele ya midia kumbuka kwamba nayeye anapo sikia ndio kama hivi unajisikitisha unaongea shida zako za maisha basi anasikia raha alafu anamsifia mganga wake umefanya kazi nzuri so kitu nitakacho kushauri mm bro jiangaikie ili kufungua njia zako

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 3 วันที่ผ่านมา

    Pole xana dogo binadamu ndivyo tulivo hatuombeani mema usnich ndo unaotawala siku hizi nakuombea mungu yatakaa xawa

  • @wajumbe996
    @wajumbe996 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama akupaswa kumtaja mtu ambae kamsaidia mbona nyinyi mmevujisha mtu aliyemsaidia

  • @rahimhemed1219
    @rahimhemed1219 4 วันที่ผ่านมา +2

    TUNAOJUA WALIMWENGU TUNAKUEREWA VZR XN UNACHOPITIA MWANANG ILA YULE SHILOLE NIBORA UMKOSEE BIBI W MIAKA 80
    KULIKO YULE

  • @verobecamfipa8655
    @verobecamfipa8655 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu mwenyewe mwijaku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tupo apa

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 วันที่ผ่านมา +3

    Uyo jamaa mwacheni,,nayoyasema jamaa yapo,,,nilikuwa nakula nachokitaka muda ninaotaka,,badae yakachange,,mi nilikosa hela mpaka ikawa asubuh chai mchana chai usiku chai,,kitafunwa ni mkate..1 divide by 3,,kuna mda mtu unapitia magumu sana,,ad unasema iki nini...

    • @youthchanel8612
      @youthchanel8612 วันที่ผ่านมา

      Hii ni kweli kabsa lkn watu wanauhakika gani kama shilole ndio chanzo ujue tunaishi na maadui wengi tusio wajua na lawama zinaenda kwa tunao wahisi

  • @tatuathmani883
    @tatuathmani883 4 วันที่ผ่านมา +1

    Pole nuu

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 3 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku na Shishi sasa hivi mashost😂

  • @ZalkiaBendera
    @ZalkiaBendera 5 วันที่ผ่านมา +1

    Aileeerr

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wenwe mwanaume lakini ukupsawa kuongea mengi

    • @GodfreyJuma-f9r
      @GodfreyJuma-f9r 4 วันที่ผ่านมา +4

      Ukiona mwanaume anafunguka ujue yamemfika shingoni

    • @OsuBei
      @OsuBei 3 วันที่ผ่านมา +1

      afe na njaa au

  • @sirleemally5314
    @sirleemally5314 4 วันที่ผ่านมา

    😂pameanza kuchangamka😂

  • @jastinedaudi-qi9vr
    @jastinedaudi-qi9vr 4 วันที่ผ่านมา

    Duuh pole xn nuh

  • @anorider5510
    @anorider5510 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha unyooshwe

  • @DuxMauriginal
    @DuxMauriginal 3 วันที่ผ่านมา

    Kipindi hiko huwa kigumu sana ..then at that tym hsta rafiki zako uliokuwa nao kweny kampani hukimbia

  • @eryclassictz6011
    @eryclassictz6011 3 วันที่ผ่านมา

    Kaongea Fact

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 4 วันที่ผ่านมา +2

    DOGO ANAPITIA MENGI.ILA NJIA NZURI ALIPASWA AKAE KIMYA TU ASISEME LOLOTE INGAWAJE INAUMA. ILA MUNGU NDO MWENYE MAAMUZI KIBWA APAMBANE TU MANAISHA RIZIKI INATOLA KWA MUNGU SIO LAZIMA MZIKI. AANGALIE HATA KAZI ZAMTAANI MAISHA YASONGE MBELE.

    • @IsiahMosl
      @IsiahMosl 4 วันที่ผ่านมา

      Pengne kavumiloa ukimya kaona hapa nitakufa bora aseme anaweza pata msaada kwa watu waliopitia magum kama yake mungu yupo atafanikiwa.

    • @mwinyihajjsalim4405
      @mwinyihajjsalim4405 4 วันที่ผ่านมา

      @IsiahMosl yani uyo alichofanya ndo amearibu kabisaa.amna msaada wowote atakao pata ndo kwanza ameongeza matatizo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 4 วันที่ผ่านมา

      Asiseme lolote vipi Kwakumuogopa shilole, mbona tuwaogope binadamu nasio Mungu

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 3 วันที่ผ่านมา

      Acha aongee man, naamini nuhu hawezi kusema uongo

  • @FeisalKhatija
    @FeisalKhatija 4 วันที่ผ่านมา

    Hyu nuh mziwanda cjui kma akienda jela c chakula cha watu aiseee duh

    • @OsuBei
      @OsuBei 3 วันที่ผ่านมา

      na ww pia utakua chakula changu

  • @Abbychibu
    @Abbychibu 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu hajamove on wallah

  • @jerryclassic3140
    @jerryclassic3140 4 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa kka uyo Dem kama anasikia hii inter view c ushamchoma uyo alokusaidia iyo million Moja na laki mbili

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 3 วันที่ผ่านมา

    Umemchomesha aliokusaidia

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyo mfadhili kama alikuw na nia nzuri kiukweli sio kinafik kwa nini hajakusaidia zaidi ya kuku snitch

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kadata na maisha magumu

  • @LukasMakunda
    @LukasMakunda 5 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu

  • @Marjeby
    @Marjeby 3 วันที่ผ่านมา

    Acha utoto aiseee hakuna mtu anaweza kuziwia rizki yako hata kwa dakika moja

  • @MwambaWanaman
    @MwambaWanaman 3 วันที่ผ่านมา

    Zako ulikula nanani maisha yakiwapiga ndio mnaanza kutusumbua

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 3 วันที่ผ่านมา +1

    Anza kuimba gospel

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa kadata.

    • @OsuBei
      @OsuBei 3 วันที่ผ่านมา

      ww ndo uliedata

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 3 วันที่ผ่านมา

      Huna akili mbuzi wewe