YANGA KESI YA KUNUNUA MECHI | KISA NJAA TIMU YAUZA MECHI | FREDDY ATOLEWA KAFARA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa pointi nzuri Simba wamezidi midomo

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana mwenye kofia uko bomba sana.

  • @JumaMigezo
    @JumaMigezo 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenye shati la blue anapiga kelele wamfukuze apo studio

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 หลายเดือนก่อน

    Uwezo wa tim kaka yangu

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaipaka matope ligi yetu watu wataanza kufikiria kuna upangaji wa matokeo hasa watu wa nje ya nchi

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali 2 หลายเดือนก่อน

    Wambie ao alafu mbna Azam amsemi

  • @Emanuelrama-jk1nn
    @Emanuelrama-jk1nn 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwenye shat la blue haaifai kujandili mpira mana anacho jandili simba amefungwa malanyingi hata misimu hii 3 simba amepotenza tena kwa aimbu leo unahofia nn

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน

    Vilabu vidhaminiwe, hatutaki mambo ya kizamini timu zikose hata nauli za kusafiri.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kuna tuhuma si vyombo vya uchunguzi vipo, vifanye kazi yake?

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 2 หลายเดือนก่อน

    We mwenye shati ya blue acha ujinga akili zako fupi sana brother

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h 2 หลายเดือนก่อน

    Mdhamini mkuu wa Yanga ni Sport Pesa siyo GSM!!!

  • @AbdallahYamba
    @AbdallahYamba 2 หลายเดือนก่อน

    Adidas sio tim matokea anapangaji

  • @husseinkahanju2506
    @husseinkahanju2506 2 หลายเดือนก่อน

    Hao madrid na wakubwa wengine wengi tu wanafungwa acha ubwege

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 2 หลายเดือนก่อน

    Fala ww Adidas hana Team kwenye league ya ujerumani

  • @michaelpeter441
    @michaelpeter441 2 หลายเดือนก่อน

    Mawazo ya umaskini na ya uyanga na simba ndiyo yanayoturudisha nyuma kimpira, binafsi sioni athari zozote kimsingi kwa company moja kudhaini timu zaidi ikiwa tunabakia kujadili tu na hakuna hata mmoja miongoni mwetu anayejua na kufuatilia uendeshaji wa hizi timu, Huwa tunabakia kutamani kuona Yanga au simba zishinde kwa kuzifunga timu dhaifu.

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji hamna kitu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 หลายเดือนก่อน

    Msumi acha uzwazwa, umiliki (share holder) na udhamini (sponser) ni vitu viwili tofauti! Elewa hilo na uwe msikivu.
    Aidha, topic yenu ni fake, haina uhusiano na maendeleo ya mpira bali is full of unafiki na husuda!

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 2 หลายเดือนก่อน

    Msumi buuree tuu

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani Simba Wana akili finyu hili walilolianzisha kama kichochoro kikiwashinda watatafuta uchochoro mwingine

  • @AbassAbdalla-e7j
    @AbassAbdalla-e7j 2 หลายเดือนก่อน

    Nsajigwa wewe koloo