Kwanza mdada ni mdogo sana angekanywa tu mambo yaendelee jamani ,kosa kubwa alilofanya ni kuendelea kuwa na mawasiliano nae ,watu wanasema x hata akiumwa au akifa hata usiende wala kumsaidia ndiyo maana ya kumove on .pole sana mdogo wangu MUNGU BABA akuwezeshe zaidi akuvushe katika hilo
Nikweli nimeamini kuwa kama huna kibali cha ndoa ni mtihan avunje hiyo madhabahu ya kukataliwa maana huyo x wake hakuwa na kibali cha kumuoa ndomaana alikuwa akimchezea tu na alipopata wakumuoa tayar madhabahu ya kukatalia ikainuka na kufanya kazi yake pole sana dada
Mhh ila ww Dada huna pumba lkn ukweli mtupu ulio ungea nakubaliana Hilo ulilolisema kwamba nimeshaiona yaani uswahilini kuna vituko yaani hapo ndo uswahilini mungu akipenda atakunyoosha Ili uwe mfano kwa kila anaetaka kufunga ndoa ila na c kumuumiza kwenye haya maisha pesa zinatafutwa so km vp huyo mshkaji ambae ni x wa Hy Dada yy alishajua km mwanamke ni mtu wa kupelekwa so kwa nn alifanya hivyo au yy anaugomvi na beans harussi Ila mwambieni x wa Dada angekuwa yy angekubali au angeweza kustahamili hivyo tu port 2 baada jibu utajua Ila Kuwa muazi haya maisha yapo hivyo na c,, venginevyo pls😮
Naniliimanisha mumuulize huyu x wa Dada ingekuwa yeye bwana harusi angeweza kuleta stahamala kwenye kikisi na mmoja tafadhali Sana kwa umaarufu wananiita Malcom no x pls niite hivyo swsw you don't want me know when you're ready for your mom😢
Mi naamini uyo x wake wa zamani kaamua tu kumualibia kisa anaolewa angekuwa anampenda siangee muowa uyoo jamaa ni mshamba mapenzi awalazimishi kamualibia tu binti wawatu mbona
Nikweli huyo dada nidanga sana huwezi kunyanyua miguu yko unaenda kwa mwanaume ulie achananae harafu useme humpendi koma weee yani wew ninyoka sana hufai kuwa mke wa mtu muache yohana akapate alie sahihi kwake
Hii ishu so ya ukweli mnatafuta Kiki kama ingekuwa ya ukweli yohana angemuacha uyo dda ata Kama kamuoa Kama ampenndi anafata pesa Tu hapo uyo mdada hafai
Watu hawajui Tu.ndoa zinagubikwa na mengi sana.unakuta kweli kuna madhabahu za kishirikina zinafanya kazi.maana sio kawaida hii.huyu mama nae asichongoe mdomo kama ana mtoto wa anyamaze.anaweza lipwa ubaya na mola kwa kushangilia anguko la ndoa.huenda binti hakujua kama ex wake atamuharibia ye akapiga picha kiroho safi.huenda hata ex hajui imekuaje hata akapeleka picha zawadi.kuna uozo mwingi sana hapa duniani.bila kua na Mungu unaweza kuhukumu kumbe kuna MTU anawachezea akili.mi nilikpata zawadi nyingi kumbe katika zawadi IPO iliyokusudia mabaya.baada ya miaka 5 ya ndoa nilipata majanga makubwa sana pasipo kujua.kwahuruma ya Mungu nikajua mchezo wote uliofanyika.na halo baada ya hasara na maumivi mengi.ombeeni zawadi kabla ya kufungua.hata kama imetoka kwa mtu unaemuamin sana.watu wamekua mashetani yanayotembea.

Mhmhmhmhmh mama mwenyewe 😂😂😂, aya mshangazi
Mshukulu mungu kafuta mkosi duuh
Jamani SS wote binadamu hakuna mkamilifu asamehewe
Wewe mama uko mkweli na muwazi sana huyu bi arusi angemtesa sana maishani kweli huyu bi arusi ni kicheche TU.
Red flag!
Asante Dada yetu kwa mafunzo yenye ukweli.
Nasema tena Rudi mkayamalize kwa mshenga na wasimamizi wa ndoa yako mtandaoni sio Mahali pake
Nakukubali shangazi umeongea ukwel ,huyo kaka amejuwu ukwel mapema Yan asikubali kuendelea nae uyo nimalaya tu
Umenena vema🙏
Wemama waongea vibaya sana unachopanda utavuna unaushauri masifa tu
Mama huyu khaaah...🙄🙄🙄🙄
Nampa hongera shanganzi❤
Uko sahihi dada mungu anampenda
Nikweli nimeamini kuwa kama huna kibali cha ndoa ni mtihan avunje hiyo madhabahu ya kukataliwa maana huyo x wake hakuwa na kibali cha kumuoa ndomaana alikuwa akimchezea tu na alipopata wakumuoa tayar madhabahu ya kukatalia ikainuka na kufanya kazi yake pole sana dada
Mhh ila ww Dada huna pumba lkn ukweli mtupu ulio ungea nakubaliana Hilo ulilolisema kwamba nimeshaiona yaani uswahilini kuna vituko yaani hapo ndo uswahilini mungu akipenda atakunyoosha Ili uwe mfano kwa kila anaetaka kufunga ndoa ila na c kumuumiza kwenye haya maisha pesa zinatafutwa so km vp huyo mshkaji ambae ni x wa Hy Dada yy alishajua km mwanamke ni mtu wa kupelekwa so kwa nn alifanya hivyo au yy anaugomvi na beans harussi Ila mwambieni x wa Dada angekuwa yy angekubali au angeweza kustahamili hivyo tu port 2 baada jibu utajua Ila Kuwa muazi haya maisha yapo hivyo na c,, venginevyo pls😮
Naniliimanisha mumuulize huyu x wa Dada ingekuwa yeye bwana harusi angeweza kuleta stahamala kwenye kikisi na mmoja tafadhali Sana kwa umaarufu wananiita Malcom no x pls niite hivyo swsw you don't want me know when you're ready for your mom😢
Kama ameolewa mbn hakuna pete uongo huo
Kabsa mama uko sahihii
Mama harusi bado mdogo sana kwanini asi achane na iyo ndowa ya fujo kwanza ame isha ona wabaya wake na ako ka kijana labda kame tumwa ka vuruge
Mshangazii, hapo sasa 😂😂na weupe wako bila ya doa😮😮
Mi naamini uyo x wake wa zamani kaamua tu kumualibia kisa anaolewa angekuwa anampenda siangee muowa uyoo jamaa ni mshamba mapenzi awalazimishi kamualibia tu binti wawatu mbona
Mshangaz hakuna hela😅
Kweli haja meza mate kabisa
Kbs usemayo mdada
Mshangazi maua yqko
Nikweli huyo dada nidanga sana huwezi kunyanyua miguu yko unaenda kwa mwanaume ulie achananae harafu useme humpendi koma weee yani wew ninyoka sana hufai kuwa mke wa mtu muache yohana akapate alie sahihi kwake
Nimestuka hii sio kweli michezo hiyo
Huyo alie olew ndo mjinga haswaaa hajitambui bora alivyo achwa ndo ajifunze mj8nga san utaendaje kwa mtu ambae hajamuoa wanawake hayujitambui
Kaongea bila kumeza mate😂
Pole sana yohna kwa hayo uliyoo tokeaa mi nipo 0man nikiludi uje tufunge ndoa
Unajipakulia minyama tuuu!!
Umejichubuwa eti we nimweupe🤪🤪🤪 mdomo mweusi ti
Umenipenda😂😂
Aaaa!!!! Kumbe hii ni kiki. Huyu mama si kundi la mama HADIJA, na MAMA HASSAN huyu.
Baaaasi mmeisha nikata mori, siwafuatilii tena.
Mshangazi oyeee
Hii ishu so ya ukweli mnatafuta Kiki kama ingekuwa ya ukweli yohana angemuacha uyo dda ata Kama kamuoa Kama ampenndi anafata pesa Tu hapo uyo mdada hafai
Mama yupo sahihi
Mshangazi pambe kwakwel
Dada umeongea ukweli kabisa huyu dada siyo
👍🫵
Yohana me Niko oman nikiludi uje tufunge ndoa
😂😂😂😂 wewe utauponza
Kiki hii
Tena anafanya kutoloka hiyo sio akili
KUNGURU HAFUGIKI ! Alozowea udangaji, ndoa mtihani !
Jamani Mungu mtie nguvu huyu dada,kijana akujua anacho taka,harusi zina mambo mengi,inzi zawadi vizuri kambla kufungua mnaita mchungji anaziombea ,mwingine kafungua akapata tandu ata waleo akipata mimba zinatoka,
Watu hawajui Tu.ndoa zinagubikwa na mengi sana.unakuta kweli kuna madhabahu za kishirikina zinafanya kazi.maana sio kawaida hii.huyu mama nae asichongoe mdomo kama ana mtoto wa anyamaze.anaweza lipwa ubaya na mola kwa kushangilia anguko la ndoa.huenda binti hakujua kama ex wake atamuharibia ye akapiga picha kiroho safi.huenda hata ex hajui imekuaje hata akapeleka picha zawadi.kuna uozo mwingi sana hapa duniani.bila kua na Mungu unaweza kuhukumu kumbe kuna MTU anawachezea akili.mi nilikpata zawadi nyingi kumbe katika zawadi IPO iliyokusudia mabaya.baada ya miaka 5 ya ndoa nilipata majanga makubwa sana pasipo kujua.kwahuruma ya Mungu nikajua mchezo wote uliofanyika.na halo baada ya hasara na maumivi mengi.ombeeni zawadi kabla ya kufungua.hata kama imetoka kwa mtu unaemuamin sana.watu wamekua mashetani yanayotembea.
Watu wengine wajinga eti ex ujingaaas sense akajiuze