Hii michezo ni mizuri sana,kwakweli inatujenga na kutusaidia kusahau kelele za siasa za vyama,maana kila kula kukicha ni habari za vyama tuuu mpk tunakuwa na wasiwasi wa maisha.Hii inatuunganisha pamoja
Pole sana Avata,punguza hasui,tuwie radhi tulisimamisha production ya Mizengwe kutokama na tatizo la Corona lakini tumerudi na tupo sawa na mori kubwa sana ya kazi, na tumekwisha ziweka zingine mpya, Enjoy.
Kuna watu wnachngulia hela😊😊
We mama si ulitka kwenda nyumbni nenda utanigombanisha na baba angu😂😂
😂😂😂😂 aisee mnafundisha sana nyie watu
Hahahahahaha hawa jamaa mkwere hahahahaha
Hawa watu ni balaa mizengwe babalao👑nawavisha taji mnajua banae
Mko vizuri sanaaa.
R. I. P Mzee Matata
Boge la vunzo
Huyu ndie king mkwere
Nawapata vizuru kutokea 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 najiona kama nipo bongo big up ujumbe mzuri sana
Shaghala 😁😁
@@rakbinhemidi3992 it means!!!
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mkweree bana hahahahahaha
Nimeipenda sana Yani
Mkwele kaleta mganga 😂😂2023
Hawa jamaa wako real,hawafeki maisha ,wanaonyesha maisha ya ukweli ya kitanzania
Is true
Busara mwakaniiii 😃😃😂 cd nimekosa shika nauri 😃😃😃
Nimecheka sana mkwere kiboko
Si Umng'ate Akuachieee😂😂😂😁😁😁
hahahaha skuhiz sinunui umeme wee unatosha kuongea vizur sana
Haya wale wanacheki mizengwe wakiwa kwa kabusi kama mimi like zenu apa💃💃💃
Hii michezo ni mizuri sana,kwakweli inatujenga na kutusaidia kusahau kelele za siasa za vyama,maana kila kula kukicha ni habari za vyama tuuu mpk tunakuwa na wasiwasi wa maisha.Hii inatuunganisha pamoja
Daah eti hela zake utampelekea 😂😂😂😂😂😂
Story nzuri haya mambo huwa yanatokea mijini.
Yani kitu pesa kwa binadamu ndio rafiki mzuri kuliko mtu
Tunajifunza wazee wetu tuwalee lakini kwasisi vijana tujipange kwakua vijana wetu baadae watatulaumu kwa leo yetu
Kiukweli nainjoi sana MIZENGWE COMEDY.. ILA I TV TANZANIA PLEASE MUWE MNAPOST KILA WIKI ILI TUJIPUNGUZIE STRESS ZA CORONA....😎😂
😂😂mzee matata hatarii
Duuu mkweleeee
Realy funny
Safina wewe ni ndumila kuwili unajidai kumtetea baba Mkwe wako hapo mwanzo ulitaka kuondoka kwako kwa ajili yake.
mkwere kasikia hela kabadili kauli ghafla na kumpenda baba ake
Kipindi kizuri na elimu nzuri ongereni sanaaa
😀😀😀😀😀😀😀 from zaire 🇨🇩🇨🇩
Mnafundisha sna.
Dah aisee hivi vipindi vyenu vinatufundisha sana
Sanaaa yaani.. haya yote yapo kwenye jamii yetu
Nan akufukuze baba afukuzwe? Tkupa talaka saiv
Yani babake amegeuka mganga jamani
mko vizuri sana mizengwe
Baba mwenye nyumba njoo bwana. Naomba Nisomee msg 😂😂
Hela zake utampelekea?😂😂😂
Mhh Mkwere umeona baba yako ana fedha sasa ndio unajipendekeza ulishamfukuza
Pumzika kwa amani mzee Matata.
Hahaha bora ugeni wa kitambi😜
Nimekubali bonge LA comedy lamafundisho yakutoshakabisa
I TV munazingua
Munachelewesha sana
Kupost izi comedy
Munatuboa sana
Wengine hatuna ving'amuz
Wazee whay?
Pole sana Avata,punguza hasui,tuwie radhi tulisimamisha production ya Mizengwe kutokama na tatizo la Corona lakini tumerudi na tupo sawa na mori kubwa sana ya kazi, na tumekwisha ziweka zingine mpya, Enjoy.
Mkwere Mheshimu Mzazi wako.
Maringo umeongea kwa Hikma kweli Mkwere aongee na Baba yake vizuri.
Eti nimesikia una KISONONO, unasononekaa
Kwa kulia tu Mzee Matata ni Kiboko.
Iko vzr
Mko vzr
Eti watu wanajua nimemleta Mganga kumbe baba yangu
Wako wengi mazuzu wa kujali mke kuliko yoyote
Duuuuh
MUNGU AWABARIKI SANA SANA NDUGU ZANGU WAIGIZAJI MKO VIZURI SANA KWA KUJALI MAADILI YA WOTE MOVIE ZENU NI ZA HESHIMA MNO NA YA KUJENGA SANA
Helena Kennedy nimeipenda eti watu wanajua nimemleta mganga kumbe babaabgu bwana
mambo
Sijiwezagi mie mbele ya Mizengweeee
❤😂🎉
😁😁😁😁😁
Mzee wa lukose katulua nime muelewa.
Katulia
Mkwere unamfukuza Baba yako Mzazi?
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'uun.
yaani hii nyumba wanaipenda kweri
Haaaaahaaaaaaa
Safina nikikuona ni kama namuona mke wangu,wewe ni mke wala sio mwanamke
JACOB MWALITUKE
Wanawake mnajuana
😃😃😃
Mizengwe hamna mpinzani...Hatr sana
Ludi nyumbani mzee vp
Hi inafundisha,hongereni
the real commedy show in Tanzania
I realize Im pretty off topic but does anybody know a good site to watch new movies online?
@Denver Nicholas Flixportal :)
@Reed Baylor thank you, I went there and it seems like they got a lot of movies there =) I appreciate it!
@Denver Nicholas glad I could help =)
R.i.p mzee wetu
Hatakama unaumwa utapona dunia nzurisana na inawenyewe
Mnajua ila muwe mnapost vipya vipya mapema
Wanatisha
Content yenu imeenda shule
😃😃😃😃😃😃😃😃
Hahaha
😂😂😂😅
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Nmejifunza kitu