Nyi mnabooo haifai kua Evo alafu mtu akifikiwa mnawaste time hamko chapchap vile inafaaa....mtu mwingine akisimamisha ufai kutoka na any piece unachia apo😆😆😆
Fel hii game hamjaicheza poa....once you manage to flip the bottle to stand,yu pick one piece of pizza then you continue with the game,next person pia aki win anapick one anarudi Kwa line kucheza....si kuketi kukula Hadi wakati mwengine atawin.....some of us are slow eaters....wengine they eat fast kama huyo dem alikula pieces 4 and she won only twice just like you,who yu also won twice and yu ate only 2 pieces
Feli unaliaga saa ngapi surely 😂😂😂😂😂we na kucheka ghaaaaiiii😅
I love watching Nigerians/ghana ones . Soo enjoyable 😂 to watch.... They are always ready to attack food
Nyi mnabooo haifai kua Evo alafu mtu akifikiwa mnawaste time hamko chapchap vile inafaaa....mtu mwingine akisimamisha ufai kutoka na any piece unachia apo😆😆😆
Majunkie ndo ameninice ....mbio kwa sink😂😂
Welcome back to the channel majunkie, fels friend long time
Leo me ni number 32 kwa comments Guys now road to 300k subs
The fact that they're not even in a hurry makes it boring
Aki fel amereduce sana
Mimi ningekua fel ningemaliza hiyo pizza na round ya kwanza
Fel mtu akiflip bottle mwenye anakula pizza anafaa aache si kubeba aendelee kucheza nayo 😅😅😅🙌pitienu kwangu guys ☺️😀
Ziiii watu watakaa njaa sana
Hivo ndivo inafaa kua 😀😀boss
Hadi Fel alikua anajua coz ameuliza majankie
Nipitie pia
Done fika kwangu 🥰
@@Jabuya done pita kwangu pia
Mm ningekua hapo nala tatu si eti kula kama uko palace, hii n challenge 😂
Gonja kidigo ....Swali 2 kwani mulihama ...sijaona house tour
😂😂😂
Walirudi kwa nyumba yao ya kitambo ,ile ingine walisema iko cold sana kwa mtoi
More na pluto akue
😂😂😂😂😂😂😂fel unakula pole pole unaurumia pizza
😂😂THIS SEEMS TO BE FUN...WE'RE GOING TO TRY THIS CHALLENGE ON OUR CHANNEL😂
Sijaamini venye Fel amesmamisha 😂
Aty ujashiva naumepata chance ukaslay 😂
Hebu endeni uko kwa kina nyathira muone vile hii game hukuwa bana hamna haraka mnahurumia pizza hii hainaga courtesy na table manus bana😉
Fel nakupenda bure😍
Wahhh number one kufika huku wapi likes jamani ❤️❤️
❤❤❤❤
Fel zawadi ikam
Uko fiti
@@totobianka6581 zawadi ipi
Mnipitie pia wadau
Lexy looks like Ruth Gachiri deleon's Gf
She is the one
@@leadysnjeru3484 Haiyaaah😂😂 so Lexy is just a stage name ama
@@nimoofficial8747 Rexxie😂😂😂😂😂😂
Majangi nowadays ameng'ara 🤩
😂😂😂😂ety majangi bana
Tunataka match 😂😂team jayboy
Nice one ❤️❤️ fel nataka kufanya content na ww siku moja
fel chezeni money scooping
Wapi likes za kufika mapema 🔥🔥 Alf so mnifikishe 2k subs🎉🎉🎉
Fel si ukule haraka
Fel hii game hamjaicheza poa....once you manage to flip the bottle to stand,yu pick one piece of pizza then you continue with the game,next person pia aki win anapick one anarudi Kwa line kucheza....si kuketi kukula Hadi wakati mwengine atawin.....some of us are slow eaters....wengine they eat fast kama huyo dem alikula pieces 4 and she won only twice just like you,who yu also won twice and yu ate only 2 pieces
Y'all don't judge but kwani Fel na Pluto walihama kwa ile mansion?
Hamjui game bana😅
Fel kula yote🤣🤣
Engage with your funs madam watu watakua encouraged kucomment
Gooooosh😅😅
Hii game Si mtu anafaa aache kukula..na majunkie anabeba
😂😂😂next time mniite nakula hio pizza yote
Next time make it fun mmenisngusha hamna haraka
Fanyeni ya money scoop challenge
Fel next mcheze ya kukula kuku
Fel sasa pia funs 😂utuite tucheze n ueke kuku🤣
Wow amazing 😂😂😂😂 challenge
Please consider the challenge na Fans 😂😂, itakua fun
Enjoy mama zeoy❤❤❤❤
Inafaa ukiamka kwa kiti unaweka pizza yrnye umebakisha chini,yaani you stop eating
Top 10🎉🎉🎉
Next fanyeni scoop the money 💸💸💸💸 challenge
This is so funny
Fel unakula aje pole pole
Ss wa kuwatch iko wapi ye2?😅😅😅😅😅😅😅
Fel you guys went back to your old house
This is so fun
Team Retty did it 💪💪💪💪💪
Team fel 😂
Fel.acha feelings
Sema kukopi kina nebs na kina Ruih🤣🤣🤭🤭 i come in peace
Sasa nini ya kucopy hii game iko kila mahali NKT
@@gidgetalvin3313 mwambie ata kina diana,bavakas,walicheza hii game
Hi game inachezwa na watu wengi kucopy doesn't matter
Nothing like peace, just a hater. Diana bahati did this challenge many months ago and many people have also done it. Take a seat
Enjoy it❤
😍😍😍😍😍😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Game poa ya chagamsha
Content copied and pasted
Welcome back to the channel majunkie, fels friend long time