Ni kweli siku hiyo Yanga walizingua mpira usio na speed na Gamondi asiwe mshamba anapochelewa kuingiza machine pale forward wanapopungukiwa maarifa na siyo kuishiwa God haelewi ni mpenzi tu
Tusiwabeze wachezaji kwa mechi ya leo tukumbuke wametoka kwenye mashindano ya kimataifa bado hawakuwa sawa kwa maandalizi haya Hill alishaliona GAMONDI mapema tukumbuke hawatumii mashine tuwe na upendo na wachezaji wetu
Kazingua Nini kama kweli we mwana Mpira huwez kumlaum dube pale watu wanakosa penat yeye TU na golkipa Yani chagua mwenyewe ufungie wap lakin Wana kosa
@@benjaminchristopher219 we nawe ndio wale wale.. unataka streiker apate nafasi ngapi ndio afunge? Dube kaanza kuzingua toka mechi iliyopita na kagera.
Nakubali god hiyo ndio yanga
Yanga bingwa💪💛💚😂
Dube yuko vizuri na anajua sana kukaa kwenye nafasi yake lakini leo kawa na presha sana akitulia atakuwa vizuri tu.
😂😂😂
Nimekuelewa sana god yanga
Sanaa god umewapa fact
Fact tupu God pia vigoli vidogo na kiwanja kidogo lakini Yanga tunashinda popote
Upo vzr Goddy umeongea vzr,Dube ni mchezaji mzuri mno,
Akhui God upo vizuri waambie hao wasoujua mpira kwakweli
God YANGA.wapashe Hao washamba wa Soka.
Broo God mpira unauelewa
Tunafunga popote💚💛💚💛🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Bigap saana god
Yanga bingwa
Nimeipenda hiyo chambuzi Yako god
Dube huyo, Dube huyo
Ni GOD YANGAAA
Madunduka wanakeleka sana dube bomba moja la forward
Ni kweli kaka god
Ni kweli siku hiyo Yanga walizingua mpira usio na speed na Gamondi asiwe mshamba anapochelewa kuingiza machine pale forward wanapopungukiwa maarifa na siyo kuishiwa God haelewi ni mpenzi tu
Nimekumbuka wao makolo kawafunga sngida akiwa of side lkn alisifiwa vibaya mno. Angekuwa ni mchezaji wetu angesemwa mno,
Naowaona Madunduka wanavyopaniki 😂😂😂😂 poleni sisi tunaenjoy tu na yanga yetu
God jaman kwann awampi tikiketi ya ndege awe beneti ya timu
Yanga tunacheza kibingwa bna nyie wpaki bas na kwa mkapa fanyeni hivyohivyo muone mtakacho fanywa
Tusiwabeze wachezaji kwa mechi ya leo tukumbuke wametoka kwenye mashindano ya kimataifa bado hawakuwa sawa kwa maandalizi haya Hill alishaliona GAMONDI mapema tukumbuke hawatumii mashine tuwe na upendo na wachezaji wetu
Mwamba aongeze umakini bana, hali hii ikiendelea atatukwaza, Gamondi mwenyewe alimaindi
Atakukwaza nini wewe mpira sio mdako
Tnasubili makolo tuwashone tano ndo mtaelewa dube ninani??
Ni kweli Ronaldo kafunga magoli mengi kuliko aliyokosa . Acha kutetea ujinga! Dube kazingua l
Kazingua Nini kama kweli we mwana Mpira huwez kumlaum dube pale watu wanakosa penat yeye TU na golkipa Yani chagua mwenyewe ufungie wap lakin Wana kosa
@@benjaminchristopher219 we nawe ndio wale wale.. unataka streiker apate nafasi ngapi ndio afunge? Dube kaanza kuzingua toka mechi iliyopita na kagera.
Godi achana nao kaka dube tunae na tunatamba nae
Una fananisha Dube na Ronaldo ujui mpira ww
hukumwelewa sikiliza tena..
Uyo dube kiande tu anatukost
Nyau wew usitegeme kila wakat mchezaji atakuw kwnye ubola wake
😂
We chawa tu unasifia ujinga
Dube msenge usiteteeujinga namushauri ajitasminitena
We Kuma hujui yanga tuliza kijambilo
Aunt unaumia
Frank wacha kuongea pumba wee huujui mpira kabisa. God Yanga kesha kujibu hapo kenge wahed
Nina wasiwasi na uraia wako😊
@@StevenMatimba achana nae huyo dogo dunduka hilo brth litupe jalalani
We chawa tu unasifia ujinga
Bishana kwa fact ndugu😂