Umefanya reaction ya hii Ngoma bila kuisikiliza Kwanza na kutafakari maana umeacha point kubwa kama swala la gigy + papa na swala la dax pia umeacha umeacha point nyingi kubwa mzee
Aliwaambia wamjibu na mabwege wanamjibu.. 😅 Kila jibu ni Ushindi kwa KALI maana he is becoming more and more Popular dominatig the whole of Rap Industry in TZ.. bila kutumia mapromoter walakulipia Adverts 😂
Hii ndio reaction nilikua nasubilia kwa hamu longtime,thank you
Nimewahi leo
Wapili Rapper tz🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Nakubali vanisikaka nataka unifanyie reaction ya zee cute na kontawa na anjella.
Hiyo Sasa nini
Nomaa sana
Kesho nazama studio hiii nihatafi kazi safiiii waaaaaaah namba Moja iyo
🙌🙌
Anatixha uyo jamaa😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂tangazo😂😂😂😂😂chaijamb
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿
𝐀𝐑𝐀𝐏 𝐌𝐎𝐈 𝐉𝐑 𝐔𝐋𝐈𝐖𝐄𝐙𝐀𝐀𝐀
Kali ashike mkono akina Elisha Elai Montra sure bad.
Noma
Bango ni kubwa.... Mutra the pest rapper in tz........big up sana ma men
I’m still waiting the reaction of huku from my favourite video reactor
Van huyu jamaa bado sana hawe kwa OG hatakidogo.
Check this out Edrin Finity 🇰🇪 - Marapper Bongo Lala🇹🇿/ "Diss Track" [Official Video]
itakua motra hajamsikia breeder LW the cobra sio 😂😂
React goma ya EDRIN FINITY rappers wa bongo lala
Umefanya reaction ya hii Ngoma bila kuisikiliza Kwanza na kutafakari maana umeacha point kubwa kama swala la gigy + papa na swala la dax pia umeacha umeacha point nyingi kubwa mzee
🎉
Rap ya kitoto...
Safi
Kabisa hata mm nilifam baada yakuiba tembo
Tuletee ya reaction ya mzandiki by fidq ft richmavoko
Em really know sisi wa🇸🇴 hasira kwetu sio halisi 😂
Nilikua naisubiri hii
Hii ni soft hakuna kitu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🔥
Hujui 😂Kitu Kuhusu Hip Hop Ushazoea Kelele. 😂 Pole Brotheee
kingereza ingekua deal ingemtoa kimya we kubaff. Kimya na abbas NI WASANII wa k-south waliochana uzugu tangia zamani.
Hiyo rap Iko down bado the OG rules.
Haujaitendea haki hii ya motra
Aliwaambia wamjibu na mabwege wanamjibu.. 😅 Kila jibu ni Ushindi kwa KALI maana he is becoming more and more Popular dominatig the whole of Rap Industry in TZ.. bila kutumia mapromoter walakulipia Adverts 😂
Hakuna lolote, khy nani saiz anaemkumbuka tena?
Uyu montra atafute pesa bana,flow moja tu😂maneno anayo lakini akili ndogo
Tufanyie ya kiba na tommy ya Huku
Jibu nalo mkalipata, mwamtaja Arap Moi nyinyi..😀😀
.
th-cam.com/video/nmE3hswGq6g/w-d-xo.htmlsi=yOWbfy5HsHVpnsHK
.
Sikia jibu Hilo. 👆👆👆
A week plus 1 day 149 views 😢motra the future has no future 😅😅😂
Its just too soft n boring 🤦🏿♂️ weak punchlines! #facts