ความคิดเห็น •

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 ปีที่แล้ว +10

    Diva utaishia kusema umewezaje miaka yote hio kwa ndoa wenzio watulia ww kaa huko instagram kila siku

  • @fatmashaban5186
    @fatmashaban5186 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada mume wake haishi hapa anaishi London ni mtanzani lakini ni raia wa uko mtoto wa mzee mazengo mgogo ndio maana mnamuona huyu Mara nyingi yuaenda London kwa mumewe, na huyo mume alikuwa anamtaka kumuona wema Sema wema anaamini Sana marafiki mwisho wa siku b dada kamsnich mwenzie ndio maana unakuta wema na huyu wako hiviea hiyo Familia kwao mikokocheni ndogo anaishi huyu kwa sasa

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +1

      Okay

    • @dolazdola9292
      @dolazdola9292 2 ปีที่แล้ว +4

      Wivu tyu

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 2 ปีที่แล้ว +1

      Mmh haya sasa

    • @cherylcheryl7694
      @cherylcheryl7694 2 ปีที่แล้ว +5

      Unawezaje kujua historria ya mtu kiundani hivyo na unajiachia kabisa kuelezea unaweza kuwa unajua hata anakunya saa ngapi ee

    • @Juke995
      @Juke995 2 ปีที่แล้ว +8

      Kama angekuwa kweli Kamsnich asingekaa kwenye ndoa miaka tisa wewe 😂hivi unaijua ndoa ya kuiba bwana wa mtu

  • @IamRaySmartTz
    @IamRaySmartTz 2 ปีที่แล้ว +2

    Nicely

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 ปีที่แล้ว +3

    Mkee mdogooo huyooo🥱🥱🥱

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 6 หลายเดือนก่อน

      Sio mke mdg huyo mme wake n mwanajeshi " kama unavyojua Kaz za watu wanaume wengine sio wa mitandao mbn aliwahig kuongea zaman na anakatoto kabongee😂

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 6 หลายเดือนก่อน

      @@PaulinaSemindu-ob3de oooh okay