UZURI WA MUNGU ( FINAL HD VIDEO), by Salome ,Leo & Francis

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @eliasemmanuel1130
    @eliasemmanuel1130 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumebarikiwa sana kupitia uimbaji wenu katika wimbo huu mzuri wa shukurani. Na Mungu mwenyezi akaendelee kuwaongoza katika kuitenda kazi yake.

  • @pendosusuma8550
    @pendosusuma8550 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa uimbaji mzuri salome

  • @laurentkomba4923
    @laurentkomba4923 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah mmepiga mziki mtamu ongereni sana upo vzr Grayson

  • @maryjohn4408
    @maryjohn4408 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana,nimebarikiwa sana.Mungu awabariki na kuwatunza daima

  • @emmanuelsamba1112
    @emmanuelsamba1112 4 ปีที่แล้ว

    Waoohhh...
    Kazi nzuri sana kww kweli...
    Hongereni sana kwa wote mlioshiriki

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki Kwa utume uliotukuka🙌🙌

  • @eliasprosper4595
    @eliasprosper4595 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana na Ujumbe umefik a..hongera kwa Team nzma iliohusika

  • @christianpesambili9709
    @christianpesambili9709 4 ปีที่แล้ว

    Kazi mmeitendea haki...
    Ubunifu wa hali ya juu kabisaaa ..
    Mbarikiwe sanaaaa...

  • @enilickmgani1608
    @enilickmgani1608 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni kwa mzik mtakatifu,kijanaa wangu leonard.Hakika hata mbinguni mtachap mzk mtakatifu.

  • @evodiaaloyce3670
    @evodiaaloyce3670 4 ปีที่แล้ว +1

    Waaa.Salome you amazed me. Masinde too, hongereni guys.in love with your work

  • @salomeboniface2443
    @salomeboniface2443 4 ปีที่แล้ว

    Waoooh! Kwakweli kazi iko makini hakika charity ni chaguo la kweli . tunazidi kuwombea mafaniko na kukua kwa kazi yenu.

  • @samsonmadatula2238
    @samsonmadatula2238 4 ปีที่แล้ว +1

    See you madam Salome!! It's amazing song! May God be with you all

  • @filomwageni1348
    @filomwageni1348 4 ปีที่แล้ว

    Kazii nzurii🎵🎶😘😘

  • @michaellwinga3818
    @michaellwinga3818 4 ปีที่แล้ว +1

    Congrats for amazing song

  • @Blessedhopefamily
    @Blessedhopefamily 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana, kazi nzuri, mtunzi makini na waandaaji swaribu.
    soko gani inapatikana

  • @joshuasarutwe2412
    @joshuasarutwe2412 4 ปีที่แล้ว

    Producer pia mbunifu safiii sanaaa

  • @geraldnyeho4525
    @geraldnyeho4525 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sanaaa , , , 👏

  • @tonotvonline3070
    @tonotvonline3070 4 ปีที่แล้ว +1

    ....Mungu awabarikii

  • @leoneboniface7151
    @leoneboniface7151 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sanaaa much love

  • @sarafinakigola3980
    @sarafinakigola3980 4 ปีที่แล้ว

    Congratulations! am in love with this song

  • @dativabarongo4213
    @dativabarongo4213 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwainua🙏

  • @stardreyworldwide6443
    @stardreyworldwide6443 4 ปีที่แล้ว +1

    congratulations family!

  • @stardreyworldwide6443
    @stardreyworldwide6443 4 ปีที่แล้ว +1

    the song is so great!

  • @modestambwilo5245
    @modestambwilo5245 4 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana

  • @orpadaniel6325
    @orpadaniel6325 4 ปีที่แล้ว

    Wow😍😍😍

  • @joshuasarutwe2412
    @joshuasarutwe2412 4 ปีที่แล้ว

    Muziki umetulia ,uko vzr hongereni

  • @henrysteveobuya6710
    @henrysteveobuya6710 4 ปีที่แล้ว

    wimbo mzuri umetulia

  • @Iampanther_
    @Iampanther_ 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏✊