Tembea Kenya: Ngome ya vita vya Mau Mau katika misitu ya mlima Kenya na Aberdare

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ค. 2016
  • Katika makala ya Tembea Kenya tunaangazia ngome ya vita vya Mau Mau dhidi ya Wabeberu katika misitu ya mlima Kenya na Aberdare ndani ya eneo la kati. Ziara yetu ilitufikisha katika mapango ndani ya mlima Kenya yaliyotumika na Mau Mau waliokuwa wakiishi ndani ya msitu. Carol Nderi ametuandalia makala yetu ya leo ya tembea kenya.
    Watch KTN Live www.ktnnews.com/live
    Watch KTN News www.ktnnews.com
    Follow us on / ktnnews
    Like us on / ktnnews

ความคิดเห็น • 9

  • @kathireen1385
    @kathireen1385 8 ปีที่แล้ว +1

    pongezi kubwa sana kwa Mzee wairegi kwa kazi waliofanya wakati wa mau mau.....ina faa sirikali amwangalie sana sababu hao ndio walifanya kenya ikawa kwa uhuru..asante sana mzee wairegi mungu akuongeze nguvu.

  • @marymary2090
    @marymary2090 8 ปีที่แล้ว +1

    The Most High continue to bless you all the Mau Mau fighter and your family, for the freedom you brought to our country because when people talk talk they have no idea how Mau Mau, suffered for our bread today.Unfortunate most of them still live in poverty it's a shame.

  • @faithpullen1551
    @faithpullen1551 8 ปีที่แล้ว

    Hat off sir God bless

  • @anglepower2736
    @anglepower2736 8 ปีที่แล้ว

    nice

  • @marywangui2310
    @marywangui2310 8 ปีที่แล้ว

    TUNANJUA HIYO NYARUMURU ILIKUA KARIBU HIYO CAVE

  • @marywangui2310
    @marywangui2310 8 ปีที่แล้ว

    TULIENDA UKO NYARUMURU STUDENTS KWA HIYO CAVE TUKAONA MANY SKULLS

  • @Kibaet
    @Kibaet 2 ปีที่แล้ว

    Sisi wenyewe waafrika tunafaa kuandika historia yetu

  • @marymary4357
    @marymary4357 6 ปีที่แล้ว

    C nariukaga jaluo walisema ni raila amepigania kenya

  • @mwangaza6618
    @mwangaza6618 8 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu Mau Mau ndio mashujaa halisi. Nitakapokua rais, 2022, kila mmoja wao atalipwa.....nyumba, gari, na 100,000/=.