'I WILL QUIT POLITICS!' Oscar Sudi says as he lectures Boni Khalwale!!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Join this channel to get access to perks:
/ @kenyadigitalnews
Kenya Digital News brings you the latest news as they happen in a DIGITAL way.
For more news, subscribe to our TH-cam Channel because the future is Digital.
Click here to subscribe to our TH-cam Channel: / @kenyadigitalnews
#KenyaDigitalNews
Hujaenda leave.Umeenda kuponya depression
Genz ushajua 2027 hawakurudishi Parliament bro, 😂😂
budgeted corruption. tunajua mahali mnatoa pesa.
Akuna kitu unasema hapo... Utasalimiwa we ni mwizi
Tha arrogance!!! its unbelievable!
Unaenda leave mwaka moja,tangaza umeshindwa uchaguzi ufanyike,
Soon, we will do a forensic audit of government business, development and budgets for the last 17 years- 5 years of Nusu Mkate government, 10 years of Uhuruto and the last 2 years of Rutochagua….corruption in Kenya must end!!!!!!
Yes. Sai akili ya Saudi is gone
Mnafanya wizi wenyu,,halafu mnajificha makanisani muonekane watu wa maana....thugs😢😢😢
Unaenda leave na ruhusa ya nani. Tax yetu si ya kulipa watu hawafanyi kazi. Hiyo mshahara ya hiyo miezi unaenda leave ikatwe😂
Resign and share your loots to Kenyans, mwizi wewe
Small mind big mouth 😮😮
Nenda usome ili mungu akujalie ujue kuongea vyema
wewe ni kupora mali ya uma
Just quit but you we will investigated and if found guilty you utalipa mali ya Uma na ufungwe. We are tired of impunity
Empty debes makes the loudest noise
Kingeresa nayo....😮🙆🏿♀️🤷🏾♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️???
USIRUDI..... ENDA SHULE KWANZA.... ##
Money cannot fix illiteracy. How did he get to parliament? 😅
Unachua utaenda home 2027 broh ,, weka hyo pesa vizuri
Anaitwa Mr Oscar 'Chibuike' Sudi.
Mweke pesa za makanisa Kwa budget
Leave ya 2 years......mp mzima......Waaaah... Hii ni maajabu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa hvyo nyumba ya Mungu ijengwe na loot...😂😂. Kanisa ni mioyo ya watu wanaomwabudu Mungu kwa haki na kweli, sio show offs
They have started running away. Kamata hii mwizi. Utatapika everything you have stolen.
Na bado haujasalimiwa
After kupora pesa😅
Sudi just quit politics wewe ni bure kabisa
All that looted money and you can't fix a smile?
Kuskia njeve when it's hot outside is real. Kama mtoto anaomba asifikiwe kuitishwa kitabu ni mwalimu juu hakufanya homework juu anaona kiboko kwa meza😂
Tumia hiyo pesa kuenda shule...
Iyo nini unaongea we kojoa ulale
Say again...
You people are jealous of God' church. The darkest of the world. God will help our president Dr. Ruto.
Mheshimiwa, tafathari usiende juu ya mtu, sisi tunakupenda
Mungu alikujalia na pesa ya wanainchi ?,wewe juu ulimalizia class 6 ,unadhani kila mtu ni fala ...Uezi toa ujinga na pesa .
Umeiba Pesa Ya County Deadly millioni ya Wakenya umeiba
Ameonekana Dubai akivificha. Akijivinjari
Ati any kind of whatiii naona unaongea lusungu eee mungu nisalimie❤❤😂😂😂
But u have said u r going for leave.
Wachana na kanisa ya khalwale plz
Aluale wewe sio mungu wacha wale wana tumia mungu wajenge kanisa wewe uki kunywa yako shauriyako bure
Oscar punguza Shashiolaa
Mungu hataki pesa ya uwizi..... afadhali acha ikae matope... umuhimu ni ibada sio jengo.
Mungu alizaliwa kwa zizi la ngombe soma bibilia and God is so humble
Whaat.. very unfortunate statement don't belittle God like this
WhT😮 Don't belittle the Lord ,He doesn't beget (give birth) nor was He begotten (was born).Please let's be serious with religion, you can't just associate with the lord qualities of human beings .
@@alimahad1967Christ was God, second person of the Holy trinity...Jessus said,, "I and the Father are One"
He grew as a lowly man, who was hated and despised by many. All in order to show that status and prestige are not what earns one salvation & eternity
Nothing wrong with that statement...Jesus is Lord and was born by Mary...beleive ur own BUT don't use ur own religion as a yardstick to judge others....the bible cannot lie to say Jesus is Lord....John 1:1
We are very serious and honest to what the bible says....unless you want us to beleive that bible is not a holy book
NANI ALIKUDAGANYA MUNGU ANAISHI KWA BUILDINGS , MUNGU HUWA ANAISHI NDANI YETU
Was waiting aseme ataleta motion ya kuginga harambees.
Hizo pesa zote Oscar haezi nunua meno,hata ka ni ya mbuzi kama ya Rafiki yake!
This guy is going through depression,Ile mbaaya😂😂
Sudi haujawahi ongea kwa bunge sasa unapumzika kubeba gunia za pesa? Wewe na rafiki yako Murko-money mambo ni ma tatu vile Zakayo alisema
Ashajua hakuna kurudi
Kingeresa mingii😅😅
Woi Sudi, you are on remote control and sorry for that. You are reminding us that you are out of your minds now and you will only work when you regain it. MADMANUUU HEYY😆😆😆😆😆
kanisa ata ya matope ni bora kuliko kanisa ya wezi kama wewe na ruto.
He should do everyone a favour and resign
We enda na mwende na murkomen muko na kiburi sana
He needs to give a full speech in English he is an Mp he should express himself fully
It only in Africa where people build churches and not factories we have miss guided priorities
Wewe unaiba Mali ya uma unasema eti mungu amekujalia.
Amepugukiwa na Mawazo
Mungu yuko kila mahali kiburi achana nayo
Akikujalia saa ngapi, kwani ww ni MUNGU
Sudi hadi usalimiwe
Church ya matope. You think God is for rich only
GOD is humble despite possessing everything, we can never offer anything to him cause everything is his and you'll never hear him boost.
Ata huna haya ya kusema jina ya mungu wewe
Resign mwizi
Sudi ni kiburi ya pesa ya uwisi
We kwenda gumbaru
You still don't get it... you can't be moving around with such amount of money and act victim now my friend, infact you are one of the main person who has brought problems and exposure to our president
Gz wana kukujia jinga wewe menzi wewe ukusoma wewe muwaji wewe mjinga. Sudi
Chibike stop making things worse.
Sudi wewe ni Haga sana you said loud and clear that you will never rebuild the church you burnt down in kiamba why go for this one?
Church is the heart not a building when we die we leave church buildings behind. This man cried for his stolen whiskey yet he never cried with that mama that lost a child.
Devil worship is too much in Kenya, we worship strange gods that’s why we have problems
Unabeba pesa na gunia
20 mike surely
Kwenda huko.
What are you saying?? Quit today
Pamoja mweshimiwa
Miaka moja my foot!,,,
unisalimie mungu😂
Wapi watu wanaendaga leave one year sudi you are a joker and should have resigned tutafute another MP
Depression is real.. One year leave 😂😂😂😂
Whats the source of this guys wealth????? Sometimes i tend to think hawa ndio masters wa wash wash here kenya hata kama ni baishara nooooo9
Bure kabisa
Kindly Hon sudi i would like to meet you mheshimiwa
😮thug 😂😂😅😅😮
God is omnipresent as long as you call for him iwe kwa kanisa ya matope or what it doesn't matter but naksia hukusoma so i won't blame you
Genz wamekufinya
Enda ukienda
I think they are leaving the country
Yes seeking citizenship in a western country he has all the evidence of threats and he will be accepted
Sudi usiongee vibaya, weka kiburi kando ba kubali mungu akutumie kwa ajili ya sifa na utukufu wake, you can be a better person when you humble yourself, you allowed power ikuingie kichwani and actually vile umesema akili ikirudi vizuri, nakubaliana na we we
Did he say he's going for 1 or 2 yrs leave?????just quit already kwanini mmeanza kujifanya or maybe your boss wants you to quit coz wewe ndio uliwasha moto ya harambees aone kama watu watatulia
Harambe si mbaya but it should be realistic
Ata ww unajua mungu kweli
Eti to change our minds🤣🤣🤣 yours and whose🤣🤣
Shida kubwa .
Better quit coz you have no one to elect you.
Why should we know?
Wewe Oscar sham on you
Very arrogant man.
Mjinga enda shule.
Great ideas
Any kind of that😂😂😂
Lazima uchangie kanisa??
Please spare us your rhetoric.
quit
Sudi ni one of the big thief in uda
Quiting politics or sign of failure?